Elections 2010 Dr Slaa ndani ya Bukoba

Naomba mwenye kumbukumbu atuwekee picha za Prof. Lipumba alipokuwa uwanja huu huu wiki iliyopita.
 
slaaa akiwa bukoba
 
Attachments

  • Msafara wa Slaa BK.JPG
    Msafara wa Slaa BK.JPG
    97.2 KB · Views: 125
  • Slaa kuhutubia BK 2..JPG
    Slaa kuhutubia BK 2..JPG
    72 KB · Views: 144
Eti kweli Dk slaa, Lwakatare wamepiga magoti kule bukoba kuomba kura?
JEE inamaana sasa Dk slaa anatumia mbinu mpya? mbinu ambazo ms aliwahi kumshauri.

mwenzetu bangi unayovuta inalimwa na kutengenezwa wapi?
 
Hiyo ilikuwa baada ya siasa, kilichofuata ni socialization, kumbuka Dr.Slaa alikuwa ukweni lazima aonyeshe unyeyekevu kwa wakwe ni kawaida ya mila na desturi za kibantu.Na HAUTAONA tena akitoa heshima hiyo na ndiyo maana hukuwahi kumuona akifanya hivyo
 
Nimeikubali nguvu ya umma, SLAA usirudi nyuma , mapambano ulioyoanzisha ndio kero halisi ya watanzania wote wenye kuona mbali......
 
Eti kweli Dk slaa, Lwakatare wamepiga magoti kule bukoba kuomba kura?
JEE inamaana sasa Dk slaa anatumia mbinu mpya? mbinu ambazo ms aliwahi kumshauri.
lkn mbona amechelewa? atarudi tena mikoa aliopita kupiga tena magoti?
watz hatudanganyiki.
 
Last edited by a moderator:
Baadaye, ukaanza wakati wa kuburudika na wananchi, Dr na Lwakatare wakaamsha vicheko toka kwa wananchi, hebu angalia kwa makini kicheko toka kwa Dr:

attachment.php
 
Eti kweli Dk slaa, Lwakatare wamepiga magoti kule bukoba kuomba kura?
JEE inamaana sasa Dk slaa anatumia mbinu mpya? mbinu ambazo ms aliwahi kumshauri.
lkn mbona amechelewa? atarudi tena mikoa aliopita kupiga tena magoti?
watz hatudanganyiki.

Kipi afadhali .... kupiga magoti kuomba kura au kuanguka na kuzirai jukwaani ili upewe kura??

Malaria Sugu hiki choo cha kike. Jiondoe JF
 
Nimeona hata mimi hapo aliyepiga ni SLAA si ndio na aliyeshika picha ya Mrembo ni MALARIA SUGU.................

Jamaa aliyeshika picha ya JK kakomaa mashavu kama jiwe.

Hicho chama kina wenyewe ndugu yangu. Njoo huku chawote Chadema.
 
Baadaye, ukaanza wakati wa kuburudika na wananchi, Dr na Lwakatare wakaamsha vicheko toka kwa wananchi, hebu angalia kwa makini kicheko toka kwa Dr:

attachment.php

Kisha ona na picha hii ndio utakapoona tofauti zake
 
Attachments

  • KAWAMBWA.jpg
    KAWAMBWA.jpg
    24.1 KB · Views: 34
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom