Elections 2010 Dr Slaa ndani ya Bukoba

Hakika saa ya ukombozi imewadia. Leo nakunywa bia yangu kwa raha sana huku nikitabasamu. Mungu yu pamoja nasi.
 
icon1.gif
Dr Slaa na Lwakatare wapiga Magoti kuomba Kura Bukoba?


Eti kweli Dk slaa, Lwakatare wamepiga magoti kule bukoba kuomba kura?
JEE inamaana sasa Dk slaa anatumia mbinu mpya? mbinu ambazo ms aliwahi kumshauri.
lkn mbona amechelewa? atarudi tena mikoa aliopita kupiga tena magoti?
watz hatudanganyiki.

Mbona sijaona Dr. Slaa akipiga magoti kuomba kura? Hivi mtu anapocheka akipinda magoti kidogo ni kupiga magoti?

Kwa njia hii, Malaria Sugu, utadanganyika na ghiliba za CCM Chama Cha Mafisadiiiiiiiiiiiiiii
 
CCM wameinama wameinuka wanaona moto unawaka, moto unawaka kweli moto unawaka.
 
Zipo tofauti sana... Ila wewe binafsi unahisi zipo sawa!
Mbona Mod amenielewa? jamani wana sisi m mmechakachuliwa ufahamu?
Huyu Malaria sugu ameduplicate tu thread niliyoanzisha kwa kubadilisha jina. Hata hivyo imeshashughulikiwa hakuna noma.
 
Leo Bukoba vijiwe vyote vya wana sisi m wanakovinjali kupanga uchakachuaji vilikuwa wazi kabisa. Wengi wamekili wazi kwamba ni dhahili wanalipoteza jimbo na wanampoteza rais. Wengi wa wana sisi m niiozungumza nao inaelekea hawamhitaji tena Jakaya. Wanamtuhumu kuendesha chama kama taasisi binafsi na kusababisha anguko kubwa. Wte wanakiri kuwa ni vema wampe Dr Slaa kura zao.
Bila shaka malaria sugu atawaunga mkono.
 
dahhhhh hali hii inanitia moyo sana...Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo woteeeeee
 
Mchukia ufisadi mbona pc yangu inagoma kudownload hizi picha ulizoweka. Kila nikijitahidi..chafu! natamani niivunje pc yangu. hebu toa msaada wa namna ya kufungua kaka.
 
Eti kweli Dk slaa, Lwakatare wamepiga magoti kule bukoba kuomba kura?
JEE inamaana sasa Dk slaa anatumia mbinu mpya? mbinu ambazo ms aliwahi kumshauri.
lkn mbona amechelewa? atarudi tena mikoa aliopita kupiga tena magoti?
watz hatudanganyiki.
WaTz kama nani?
Mimi ni Mtz na nimesha mvote off JMK ktk kichwa changu. Nasubiri kukamilisha ktk sanduku la kura.
Bora nimpigie mwanangu kura ktk begi lake la shule kuliko JKM.
 
dr slaa for our unity, diginity and hope. This is the new hope for our country and no one else. We want to be the first country to fight against frauds, in africa. Ccm stop dreaming of descriminating the people's powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
ur avatar is amazing!
 
Mchukia ufisadi mbona pc yangu inagoma kudownload hizi picha ulizoweka. Kila nikijitahidi..chafu! natamani niivunje pc yangu. hebu toa msaada wa namna ya kufungua kaka.
Nimekuwa nje ya net kiasi cha kutojibu post yako haraka> Hapa nilipo nimekuwa na power shortage kwa siku nzima.
Ukitaka picha hizo wewe right click picha yenyewe kisha chagua "SAVE IMAGE AS"
Bila shaka umepata kunielewavizuri ukipata shida uliza tena usijali.
 
kivumbi na jasho atakapoukosa huo urais....
Sipati picha chaka mtakalopitia na nyuso kuwashuka kama ***
 
Back
Top Bottom