Mgombea ubunge kwa tiketi ya chadema Bukoba mjini akiomba kura kwa ajili yake, madiwani na Rais Dr Slaa.
Asante sana Mchukia Ufisadi picha zaidi zinahitajiwa tuletee na huko Muleba itakavyokuwaJamani nyingine nitaleta kesho. Bado mwahitaji picha?
ungetumia IMG tag
Rais wetu mtarajiwa Dr Wilbrod Peter Slaa yupo leo Bukoba. Amekuwa na mkutano maeneo ya Kibengwe Bukoba vijijini na anategemea kuwa Kanyigo baadaye.
Sasa hivi anategemewa muda mfupi ujao atakuwa katika kata ya Ijuganyundo katika Manispaa ya Bukoba. Kisha atahutubia katika viwanja maarufu hapa mjini kama Uhuru Platform. Watu ni wengi sana walio katika maandalizi ya kumpokea na kumsikiliza. Naona bendera kila mahali.
Nimepata habari kwamba kule Karagwe jana Dr alipokelewa na umati ambao haujapata kuonekana na kwa wale wakazi wa Karagwe inasemekana watu walijipanga njiani toka Kayanga hadi Nyaishozi ili kumlaki mwaka huu namshauri Kikwete aondoke kwa amani ikulu.
Habari zaidi na picha baadae wakuu wangu. Ngoja niwahi mkutano!
Pepleooooooooooooooos Poweeeeeeeeeeer!
Mambo ya Josephine na Dr. ni ya binafsi wala hatuyahitaji hapa jamvini..
Hiyo haipo mwaka huu! 1995 watu walikuwa bado.Tatizo ni kua sisi tunao ongea hapa ikifika siku ya kwenda kupiga kura hatujitokezi sababu kibao .
hicho ndicho kinacho niboa