Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari nimegundua kwamba Dr Slaa pamoja na chama chake cha Chadema huwa siwasikii kuyaongelea sana masuala ya Zanziabar na hata hizo harakati zinazofanyika Tanganyika yaani upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano hazihusishi sana upende wa pili wa Muungano yaani Zanzibar je kwa mtazamo huo, Tunaweza kusema ya kwamba Chadema na uongozi wa Chadema hawana habari na Zanzibar. kwa nini Chadema wasipeleke nguvu zao Zanzibar maana naamini Zanzibar kama upande wa pili wa muungano chadema haijulikani kama vile CCM na CUF.(nao pia wanahitaji kusikia sera zao, kwa nini wanawatenga wanzanzibari)
Naomba kuwasilisha.
Naona hapana haja ya kumlaumu Dr Slaa kwa hili kwani tunajaribu kudanganyana kujidai kuwa Zanzibar ni sehemu ya Muungano wa Tanzania. Tunasema hivyo kwa lengo moja tu nalo ni kuizuia Zanzibar kujiendeleza kivyake.Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari nimegundua kwamba Dr Slaa pamoja na chama chake cha Chadema huwa siwasikii kuyaongelea sana masuala ya Zanziabar na hata hizo harakati zinazofanyika Tanganyika yaani upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano hazihusishi sana upende wa pili wa Muungano yaani Zanzibar je kwa mtazamo huo, Tunaweza kusema ya kwamba Chadema na uongozi wa Chadema hawana habari na Zanzibar. kwa nini Chadema wasipeleke nguvu zao Zanzibar maana naamini Zanzibar kama upande wa pili wa muungano chadema haijulikani kama vile CCM na CUF.(nao pia wanahitaji kusikia sera zao, kwa nini wanawatenga wanzanzibari)
Naomba kuwasilisha.
Si rahisi kwa Chadema kufikiria kufanya kampeni au kuelekeza nguvu Zanzibar. Hiyo inatokana na mfumo wao walijiwekea na malengo yao yapo tofauti kabisa na Zanzibar.
Mfumo wao mkuu ni ukanda, Ukabila na Udini kitu ambacho kinawawia vigumu sana kufikiria Zanzibar.
CCm ndo wamejaa udini wa vibarakashekhe + CUF wanatamani iwe nchi ya wavaa misuri.
Hilo swala la udini limeletwa na huyo M-dowans wenu akidhani ataungwa mkono yeye na CDM ichukiwe kumbe sivyo.
kuwa huwasikii wakiyaongelea haina maana kuwa hawayaongelei!
Wakuu sorry nime lazimika kufuta post ya Jesuit pamoja na zote zilizo mquote. Hii ina tokana na ukweli kwamba Jesuit ana leta uchonganishi. Kwa post zake zilizo pita inaonyesha kabisa ana jichanganya. Kuna post ajidai ni Mkristo na zingine ajidai ni Muislamu ili mradi basi tu kuchonganisha. Endeleeni na mada wakuu.
Hahahaha,azibue masikio
Zanzibar ni sehemu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania (Yaani muunganiko wa nchi mbili ya Zanzaibar na Tanganyika) katika kupitia habari nyingi kutoka kwenye vyanzo mbali mbali vya habari nimegundua kwamba Dr Slaa pamoja na chama chake cha Chadema huwa siwasikii kuyaongelea sana masuala ya Zanziabar na hata hizo harakati zinazofanyika Tanganyika yaani upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano hazihusishi sana upende wa pili wa Muungano yaani Zanzibar je kwa mtazamo huo, Tunaweza kusema ya kwamba Chadema na uongozi wa Chadema hawana habari na Zanzibar. kwa nini Chadema wasipeleke nguvu zao Zanzibar maana naamini Zanzibar kama upande wa pili wa muungano chadema haijulikani kama vile CCM na CUF.(nao pia wanahitaji kusikia sera zao, kwa nini wanawatenga wanzanzibari)
Yaheeee hutambui kuwa Zanzibar ni NCHI,huwezi ingia nchi ya watu hivihivi lazima uwe na permit.
Dudusssss!!!Wazanzibari ndio waelewa zaidi? Waelewa wa nini? Kuolewa na CCM ndio uelewa? Laiti mngejua mlivyousaliti upinzani usileta porojo zako hapa.
Wazanzibari ndio waelewa zaidi? Waelewa wa nini? Kuolewa na CCM ndio uelewa? Laiti mngejua mlivyousaliti upinzani usileta porojo zako hapa.