punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Mkuu, kwa nia njema kabisa naomba unieleweshe umesema 'hata pwani watu wengi walishaanza kuchagua vyama vya upinzani kama zanzibar', ni pwani ya wapi hiyo??? Na ukisema kama zanzibar unamaanisha pemba au unguja?Ukitaka kugundua kuwa wazanzibari ndio waelewa zaidi pima toka ulipoanza uchaguzi wa kwanza mwaka 1995 utagundua kwamba wazanibari ni watu wenye uelwa mkubwa sana na hata hawajalala kama munavyodhania angalieni mapinduzi ya kisisa yalivyotokea zanzibar halafu pimeni na bara hasa bara sio pwani maana hata pwani watu wengi walishaanza kuvichagua vyama vya upinzani kama znz hii inaonesha wazanzibari ni kiio cha watanganyika kuyaendea mapinduzi ya kisiasa na kiuchumi.
Fafanua tafadhali pwani yenye kuchagua upinzani na unguja yenye kuchagua upinzani.