Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

mimi hii kitu siielewi kabisa, kwanini CCM/SERIKALI inafanya vitu makusudi kabisa kuipandisha chati CHADEMA.
-Dowans (mitambo na deni lao)
-Bei ya Umeme,
-Kutumia nguvu kuzuia maandamano ya amani
-kumkamata Dr Slaa.
-kutowajibisha mtu kwenye mabobu yaliolipuka
etc

au JK anafanya makusudi Chadema wachukue nchi akimaliza muda wake? au kuna watu ana "beef" nao ndani ya CCM ambao anajua watachukua nchi kwenye uchaguzi ujao?
 
kahama or wherever alipo Dr. Slaa; mtujuze kinaendelea nini huko??
 
kubwa jinga! 2kuulize wewe mke mdgo wa mkwere kiltokea nin mbna mumeo bdo presha inamsumbua hata baada ya kupata dawa za mganga wa Loliondo? Huna akil na hujui ulinenalo! Unatia huruma! Au ni hasira za kuachwa na mumeo safar ya france? Atarud tu shost wala ucwaze khvyo mpk akil znakupotea unaanza kuongea upupu! Shame on u! Utaishia kuwa bwabwa la mkwere! Huna jipya!
Chadema muulizeni mbunge wa Arusha town Godbless Lema kilimtokea nini. Sasa Dr Padre Slaa atawekewa kiboko zaidi ya kamanda Zuberi na atajuwa kilicho mnyoa kanga manyoya.
 
To my knolegde, jana Dr Slaa alikuwa Mhunze (Shinyanga vijijini) na Mr Mbowe alikuwa Kahama, Masumbe then Ushirombo,pia CDM walifanya mkutano Maswa, hilo la Slaa kuhojiwa Kahama ndo linaleta utata wakati mikutano yake ilikuwa sehemu nyingine tofauti

na huo ndo ukweli jana alilukuwa maswa je hilo la kuhojiwa linatoka wapi?
 
Uchochezi wa kikwete huu sasa unatimia..............anataka kuchezea nguvu ya umma........tujuzeni vizuri jamani kwani hapa ndipo kikwete,ccm na ccm-b watajua watz bado ni mbumbu au la..........hatutaki utani hapa....................
 
kwani slaa yeye nani kama akikosea? acheni ushabiki, jiulizeni ivi wao ni wajinga wanaweza kumkamata bila kosa? kwanini mwanza hajakamatwa au Msoma? acheni ushabiki na mapenzi ya kinafiki.
 
Chadema nidhamu imekuwa ni mgogoro mkubwa sana kwenu.Acheni ushabiki na jiulize kama nyumbani kwako huwa unayatatua matatizo ya kifamilia kwa kufanya vurugu. Kufanya vurugu ni dhahiri kuwa busara ni ndogo pia na subira ya kuyaendea mambo
 
Ndugu yangu jazba za nini.

Kumbuka nchi hii inaendeshwa kwa kufuata utawala wa Sheria. Sasa sisemi umwondoe basi wewe au hao Chadema wajaribu tu kutaka kumwondoa waone nguvu za Doula zitaafanya nini.....


Hafif ingawa kiswahili si lugha yangu ya kwanza hili neno DOULA lina maana gani??
Hayo maneno kwenye rangi bluu ndo kabisa sijaelewa??

Hebu fafanua!
 
slaa ni rais wa watz! Una jingne? Nijuavyo mm hakuna polic mwnye akil kwny huu utawala wa Jk! Kwan walvyowakamata Ar walikuwa na akil? Kumbe humu kn nyumba ndgo za mkwere kibao! Kumbe na wewe ni mbumbumbu mwngne! Pole kwa ku2mika vbaya!
kwani slaa yeye nani kama akikosea? acheni ushabiki, jiulizeni ivi wao ni wajinga wanaweza kumkamata bila kosa? kwanini mwanza hajakamatwa au Msoma? acheni ushabiki na mapenzi ya kinafiki.
 
wanajisumbua sana,polisi baada ya kuwasifu, wanaanza tena kufanya kazi za kisiasa.
 
Nyie Chadema kuweni wakweli Banaaa.

Si msema wanahojiwa kutokana na kauli zao walizozitoa katika mikutano yao zenye kuashiria uvunjifu wa amani na uchochezi.

na ikibainika Nguvu za Doula lazima ziwaangukie kwa kishindo kikubwa sana mpaka wajute kuzaliwa nchi hii.

Dah naona umetumwa tayariii mmmh
 
Watamwachia tu. Vinginevyo wasubili wauote moto wa THE PEOPLES POWER. Mkwele anaweza akabaki huko majuu maana ikulu kutakuwa moto.

naona aliondoka na ndege yetu. tutamtuma Pirot aend kuichukua baadaye.
 
nguvu ya umma ikishinda....wakianza kushitakiwa utasikia "ohh, sisi tulikua tunafata amri tu"
 
Serikali ya CCM inaingia kichwakichwa katika kukabiliana na hili la maandamano. Wao hawajui kuwa wananchi wanasubiri kuona viongozi wanaowatetea wanabughuziwa ili moto ulipuke. Hakuna yeyote hapa mwenye uwezo wa kupambana na nguvu ya umma ikilipuka, kashindwa Gaddafi na midege yake itakuwa sie? Tumeshuhudia kila mahala CDM walipofanya maandamano yamekuwa ya amani ya hali ya juu ni ujumbe tu unaokuwa mzito. Sasa uchokozi wa nini?


Maajabu kwa serikali yetu hayawezi kuisha... Mwenzako akinyolewa wewe anza kusuka!
 
chonde chonde police mwataka kuturudisha kule arusha kwa nini mnataka kuharibu amani,kazi yenu ni kuhakikisha kunakuwa na usalama na sio kumkamata dr,acheni kutumika kama mashine mna akili zenu timamu.
 
Oct 2010
"Tuchagueni sisi, hao wengine ni vyama vya msimu. Wanaibuka wakati wa uchaguzi tu, wameishia kukaa mjini Dar es salaam, vijijini hawaji kunadi sera zao. CCM Oye." kiitikio Oyeeeeeeeeeeeeeeee!

Feb 2011
"Katika nchi ya kidemokrasia na kwa wanademokrasia wa kweli, mnapomaliza uchaguzi mmoja, mnajiandaa kwa uchaguzi mwingine. Mnajenga upya chama chenu, mnaongeza wanachama, mnaboresha sera na hoja zenu pamoja na namna ya kuziwasilisha ili watu wawakubali nyinyi na kuwakataa wenzenu. Na, uwanja muhimu wa kufanya sehemu kubwa ya hayo ni katika Bunge na Halmashauri za wilaya kupitia Wabunge na Madiwani wenu."

Nimenukuu kauli za JK juu ya vyama vya upinzani, maswali yangu:
1. Ipi ni kauli yake na ipi ni ya mwandishi wa hotuba?
2. Kuna kanuni zinazoruhusu chama cha siasa kisicho na wabunge au madiwani kuingia kwenye mabaraza haya ili kujinadi??
3. Kama kumbi za bunge au halimashauri zimekuwa sehemu ya kunadi sera za chama, ni nani atafikisha sera hizo vijijini ili uchaguzi ukifika asiwepo wa kumbeza mwezake??
4. Chama kisicho na wabunge, madiwani au wenyeviti wa mtaa kifutwe?

 
Kitu ambacho JK na wenzake hawaamki kutoka usingizini, ni kuwa CDM ni kioo tu cha jamii, wawakilishi wa watu, kwa hiyo kujaribu kuizuwia CDM ni sawa na kuzuwia maji ambayo yanatafuta njia, hayazuiliki. Karibuni watagundua kuwa wakizuia Shinyanga, yatapenya Dodoma, Mbeya, Arusha, Morogoro, Tanga, DSM, Tabora, Kilimanjaro, Mara, Zanzibar....Tanzania nzima. R.I.P CCM
 
UPDATE: baada ya kuhojiwa kwa muda na polisi Kahama, Dr Slaa na wabunge wawili wa CHADEMA waachiwa hadi upelelezi utakapo kamilika. Wanaelekea kagera. RADIO1 STEREO.
 
Back
Top Bottom