nyondoloja
Senior Member
- Nov 10, 2010
- 189
- 52
Nyie Chadema kuweni wakweli Banaaa.
Si msema wanahojiwa kutokana na kauli zao walizozitoa katika mikutano yao zenye kuashiria uvunjifu wa amani na uchochezi.
na ikibainika Nguvu za Doula lazima ziwaangukie kwa kishindo kikubwa sana mpaka wajute kuzaliwa nchi hii.
zimeshindwa kuwaangukiya mafisadi wanao liangamiza taifaletu haolitawaweza tujiulize jee? Kinachosemwana cdm nikweliau uzushi umatiwawatu unaoitikia maandamano hawanaakili?auhawanakazi? Vitisho kejeli sisuluhu kama madaiyao niyamsingi itashangaza kumwonamama anamfinya mwanaeanapolianjaa hatakikumnyonyesha wara kumpauji unategemea nini? Kamasimauwaji kupanda hgarama zamaisha umeme wanafunzikufeli okosefumadawahosipitalini umeme ufisadi nk kwambahayakunakuitaji kunawauso iliuyaone atakipofu anayaona kiziwi anayasikia tuachekibuli penyeukweli uongohujitenga wanasiasa wenyemajibumepesi kwenyemaswali magumu mudaumeisha