Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

Alilolisema JK linatimia, kwamba wao kama serikali wako makini, watahakikisha amani haivunjiki, kaacha maagizo wakamatwe wakati yeye hayupo. Atasababisha machafuko, timing sio nzuri. watu waliohamasika kuandamana wanaweza kuhamasika kumfuata Slaa, kitakachotokea JK anakijua.

Nashukuru kwani umeonyesha ukomavu wa fikra na mawazo juu ya hatma ya utumbo wa JK, Bravo.

Yule mzee ni mnafiki sana, Haijawah kutokea kuwa na raisi asoweze kufikiria kama Baba yake LIZ
 
mjinga tuuuuu
huyo sharobaroo
na hao alowaagiza kumkamata
rais we2 wa tunaojitambua na wabunge wetu
 
Tena bahati yaoo kweli kweli tulikuwa tumeisha jiandaaa kwenda kumtoa kwa nguvuu...
 
Alilolisema JK linatimia, kwamba wao kama serikali wako makini, watahakikisha amani haivunjiki, kaacha maagizo wakamatwe wakati yeye hayupo. Atasababisha machafuko, timing sio nzuri. watu waliohamasika kuandamana wanaweza kuhamasika kumfuata Slaa, kitakachotokea JK anakijua.

Anayajulia wapi haya Jk?
 
Safari hii RA ame recruit makuwadi kibao kutetea mafisadi hapa jamvini, lakini uzuri ni kuwa hatudanganyiki, halafu hoja zao zimekaa makalioni. HAKUNA KULALA MPAKA JK AACHIE NGAZI, ASIJIDANGANYE HAWEZI KUPAMBANA NA UMMA ULIOKATA TAMAA.
 
Dr. Slaa (PhD) na msafara wake ulisimamishwa na wananchi wakagoma asipite mpaka aseme neno angalau kwa dakika chache. Ikabidi azungumze japo mawili matatu hatimaye wananchi wakaridhika kuzungumza na Rais wao. Huo ndio unaoitwa mkutano usiokuwa na kibali na ikawa sababu ya yeye kushikiliwa kwa muda. Mkutano utakuwepo kama kawaida, ni saa ya ukombozi.
 
Maandamano hayapati publicity bila vurugu kidogo, na ikibidi mnawachokoza polisi ili wakukamateni na kupandisha munkari wa watu wenu.
Haya ya kufanya mkutano na kuondoka kimyakimya hayasaidii sana kisiasa.
 
Jamani nimesikia hizi habari kutoka kwa mfanyakazi mwenzangu. Zina ukweli wowote naona vyombo vya habari havikutoa.
 
Nikweli amekamatwa huko kahama kwakosa lakufanya mkutano jana huko maswa bila kibali,nimeiskia toka capital radio leo saa 3.25am asbuh yaleo,na kuna kiongozi wa chadema walimuhoji live akasema nikweli amekamatwa.
 
Maandamano hayapati publicity bila vurugu kidogo, na ikibidi mnawachokoza polisi ili wakukamateni na kupandisha munkari wa watu wenu.
Haya ya kufanya mkutano na kuondoka kimyakimya hayasaidii sana kisiasa.

Inaelekea wewe ni mgomvi
 
Wana JF mko biased sana. Nilipotoa hii taarifa mwanzo kama tetesi mkanikomalia kwa maneno MAKALI oh CCM. Sasa watu wamekuja na update ya the samething mnajifanya mnakimbilia mada. Acheni hizo. Nchi hii haiendi kwa JAZBA. Amani lazima ilindwe kwa gharama zozote.
 
Back
Top Bottom