Dr Slaa na wabunge wawili wakamatwa

Kinachotakiwa ni kuzikamata na kuziweka ndani fikra za Watz waliochoshwa na maisha magumu. Ikiwa ni pamoja na ukosefu wa huduma muhimu. Kibaya zaidi ajira zote muhimu wamepewa wageni kwa baraka za Wizara husika
Ujumbe umefika
 
sasa saa ya kumngóa mkwere iko dirishani.
Jaribu kmweka ndani Dr, uone nguvu ya umma.
 
wanahojiwa na polisi kwa kuendesha mkutano jana. Cha ajabu jeshi la polisi lilikuwepo wakati wa mkutano kutoa ulinzi. Radio one

To my knolegde, jana Dr Slaa alikuwa Mhunze (Shinyanga vijijini) na Mr Mbowe alikuwa Kahama, Masumbe then Ushirombo,pia CDM walifanya mkutano Maswa, hilo la Slaa kuhojiwa Kahama ndo linaleta utata wakati mikutano yake ilikuwa sehemu nyingine tofauti
 
sasa saa ya kumngóa mkwere iko dirishani.
Jaribu kmweka ndani Dr, uone nguvu ya umma.


MKUU YAANI TAYARI NILIKUWA NSHAKAMTWA NA HASIRA MBAYA SANA..KWA KUFANYA LLTE NIKO READY ...BAHATI WAMEMWACHIA...Slaa my president God Bless U.:msela:
 
Mwambie Mkwere afanye kazi yake si aliiomba mwenyewe kwani sisi tulimlazimisha? Sisi tunahitaji majibu kwenye masuala ya msingi yeye analeta hoja za juu kwa juu - sisi wananchi ndiyo waajiri wake na lazima ariport kwetu, tunaweza kutengua uteuzi tukiamua. Hata kama ni kweli kumshikiria DR. wala hakutasaidia lolote.

Miaka 50 ya uhuru hata umeme na maji vitu basic kabisa hakuna - sasa mnakusanya kodi zetu za nini kama hamuwezi kutupatia basic needs?

Na wewe HM Hafif acha ushabiki wa kizamani.

si ulimsikia akisema miaka 23 ya Mzee Nyerere(TANU + CCM) , 10 ya Mwinyi (CCM), 10 ya Nkapa (CCM ) , 5 ya awamu ya kwanza ya JayK (+ 5 mingine , CCM) haitamaliza matatizo ya Wananchi wa Tanzania.......hapo alikua anakubali kwamba CCM haina tena ideas za kusaidia kutatua matatizo ya Nchi na Wananchi wake.

Vile vile matatizo kama ya umeme kunamchakato bado (tangu 2007) wakuyamaliza, bila kuongelea ufisadi wa Dowans na Richmond. Kutokana na maelezo ya Waziri wa juu KAYANDA PETER , mafisadi wameshikilia uchumi wa nchi , wakiguswa basi nchi itatikisika....kwa kifupi tena, CCM haiwezi kutatua tatizo la ufisadi....
lakini wananchi kwa kupitia nguvu ya umma wako tayari waichukue nchi yao wamalize haya matatizo ..ila Serikali inaita huo ni uvunjifu wa amani!
 
Habari za uhakika kutoka kwa diwani hapa kahama ni kwamba alipokuwa anapita kahama kuelekea Bukoba walimkamata kwa makosa haya:

1. Kufanya mkutano Malampaka bila kibali
2. Kwamba ametoa maneno ya uchochezi kwenye mkutano wa Maswa
3.kwamba kuna nyaraka za siri wanazitafuta, wanahisi yeye anazo- hapo alikataa kukaguliwa

Magari mengi ya CHADEMA yalionekana kituoni na wananchi wakanusa kwamba Dr. amekamatwa wakaanza kusogea kituo cha polisi,

Wamemwachia na ameendelea na safari yake kwenda Bukoba muda mrefu.

Polisi wanasema ilikuwa ni mahojiano tu!!

Unajua CCM hawawezi kusoma nyakati kabisa hilo nimeliona. Watu wanahasira sana kwa sasa. Kumkamata Dr. wa kweli ni kukiongezea CDM umaarufu hao CCM hawajui kabisa hilo ngoja waendelee waone nini kitatokea. Narudia tena watu wanahasira. Maafisa usalama hawamwambii ukweli Mkwere. Wachunguze watapata majibu sahihi jinsi watu wanavyomchukia Mkwere.
 
JK asifanye kosa la kumghasi kwa namna yoyote Dr.Slaa...Tena sasa tushamjua mchawi wetu, maana ashaonyesha kuwa na hasira na maandamano ya cdm, kwahiyo kwa lolote litakalotokea, hana pa kutokea, wivu umemjaa mtu mzima!...kazi yake sasa aombe sana kwa Mungu Slaa asishikwe na mafua, wala tumbo, maana sisi tushajua kuwa mbaya wetu ni nani!
 
Mwambie Mkwere afanye kazi yake si aliiomba mwenyewe kwani sisi tulimlazimisha? Sisi tunahitaji majibu kwenye masuala ya msingi yeye analeta hoja za juu kwa juu - sisi wananchi ndiyo waajiri wake na lazima ariport kwetu, tunaweza kutengua uteuzi tukiamua. Hata kama ni kweli kumshikiria DR. wala hakutasaidia lolote.

Miaka 50 ya uhuru hata umeme na maji vitu basic kabisa hakuna - sasa mnakusanya kodi zetu za nini kama hamuwezi kutupatia basic needs?

Na wewe HM Hafif acha ushabiki wa kizamani.

Ndugu yangu jazba za nini.

Kumbuka nchi hii inaendeshwa kwa kufuata utawala wa Sheria. Sasa sisemi umwondoe basi wewe au hao Chadema wajaribu tu kutaka kumwondoa waone nguvu za Doula zitaafanya nini.

Ile ya Arusha ilikuwa cha mtoto, Mnajazwa upepo tu ngojeni siku ukitolewa .
 
JK asifanye kosa la kumghasi kwa namna yoyote Dr.Slaa...Tena sasa tushamjua mchawi wetu, maana ashaonyesha kuwa na hasira na maandamano ya cdm, kwahiyo kwa lolote litakalotokea, hana pa kutokea, maana ashaonyesha hadharani kuumia sana mtu mzima!...kazi yake sasa aombe sana kwa Mungu Slaa asishikwe na mafua, wala tumbo, maana sisi tushajua kuwa mbaya wetu ni nani!

Chadema muulizeni mbunge wa Arusha town Godbless Lema kilimtokea nini. Sasa Dr Padre Slaa atawekewa kiboko zaidi ya kamanda Zuberi na atajuwa kilicho mnyoa kanga manyoya.
 
Hata kama Dr slaa atakamatwa maandamano yataendelea tena yataongezeka, Naamini Mbowe, Lissu, Lema, Mnyika, Mdee na viongozi wa CDM wataendeleza awareness campaign.
 
wanawasha moto wanawasha moto plse mtasababisha ya libya hapaaa kuandamana ni haki ya msingi juma kilaza unazidi kuchemsha tuu. hivi huyu rais asiyekubalika vipi jamani?
 
Hi ni ishara mbaya kwa JK, mauaji ya arusha yalifuatia hotuba yake na taarifa za kiintelejinsia za Mwema. Leo tena anatoa hotuba inafutiwa na kukamatwa kamanda wa Amani Dr. Slaa. kweli JK hana mshauri maana kila Mtanzania amashuhudia mandamano yanafanyika mikoa mitatu bila shida yoyote kutokea. Ametua hotuba ndo watu wanakamatwa, timing mbovu kabisa. kwa mtindo huu CDM wanafagilwa njia na ukihiyo wa CCM.
 
I cant get this things, je haya ndiyo maagizo yaliyoachwa jana kwa kishindo??
 
issue hapa ni kuboresha maisha ya watanzania na kuimarisha uchumi, sio kujaribu kuwaziba watu midomo kwa kisingizio cha uvunjifu wa amani. Walishasema watanzania wasahaulifu, wataichagua tu CCM 2015 , mbona wanahofu sasa? Waliviita vyama vya upinzani, vyama vya msimu , vipi msimu bado haujaisha?
 
Wameshtuka wamewaachia...wapo njiani wanaelekea bukoba kwa maandamano ya leo
 
Slaa ni Agent tu,
Wananchi ndio wa kubadilisha mawazo na imani.
Wasihangaike nae, labda akivunja sheria,
Manake kwa hali iliopo sasa hivi, hasira za hali ngumu na utofauti unaojionyesha wazi wa hali ya maisha kati ya masikini na tajiri hasa kwa kigezo cha kazi mtu mzima anayofanya kila siku.
Kama mie ningekuwa mganga wao, ningehakikisha nawapa masharti CCM/Wateule wao wahakikishe umeme unawaka, maji yanatoka, umwagiliaji unapanuka, la sivyo watakufa.
 
Nyie Chadema kuweni wakweli Banaaa.

Si msema wanahojiwa kutokana na kauli zao walizozitoa katika mikutano yao zenye kuashiria uvunjifu wa amani na uchochezi.

na ikibainika Nguvu za Doula lazima ziwaangukie kwa kishindo kikubwa sana mpaka wajute kuzaliwa nchi hii.


Hueleweki mkuu, inaelekea unaandika kiushabiki tu!!
 
Nyie Chadema kuweni wakweli Banaaa.

Si msema wanahojiwa kutokana na kauli zao walizozitoa katika mikutano yao zenye kuashiria uvunjifu wa amani na uchochezi.

na ikibainika Nguvu za Doula lazima ziwaangukie kwa kishindo kikubwa sana mpaka wajute kuzaliwa nchi hii.
wewe Unaropoka tu. kwani Tanzania, mwanajeshi, TISS au mwenye madaraka ni wewe tu! Hata uwe na jeshi na silaha gani utawekewa no-fly zone kama ya Ghadaffi. Hizo akili duni inakutosha wewe na mkeo tu
 
Back
Top Bottom