Dr Slaa na CHADEMA walikuwa na agenda ya siri (must read)

Mburula wewe haya ni mapendekezo tu, katiba yenyewe bado,
subiri vikao vya wana MACCM( Mabraza ya Katiba) wapitie hii kitu alafu uje uone majibu yake.
 
Kweli nimeamini CDM chama maarufu maana bila ya watu kukitaja hawajalala hii inafurahisha saaaaaaana
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania

Kichwa cha Habari kinavutia lakini Mawazo mepesi!
 
Kuna mambo mengi sana ambayo hayajapatiwa ufumbuzi na wala hii Rasimu haina majibu ya maswali magumu
1. Kwa nini IGP aendelee kuteuliwa na Rais
2. Kwa nini Jaji Mkuu na majaji wateuliwe na Rais wakati tunataka Rais akifanya madudu afunguliwe mashitaka
3. Wakuu wa mikoa na Wilaya vipi
4. Swala la Wabunge wawili kila jimbo ni balaa kwa Tanzania na hakuna nchi inayofanya hivi.
 
Watanzania wengi tuna matatizo ya kuelewa na ni watu tusiopenda kushughulisha akili zetu, CHADEMA hawakuzungumuzia tume bali walizungumuzia mchakato mzima wa upatikanaji wa mabaraza ya katiba , kumbuka kazi ya tume ni kutoa maoni, maoni hayo yanaweza kukubaliwa au kukataliwa kupitia mabaraza hayo ya katiba, tusubiri wavivu wa kufikiri mtasikia hao waliopandikizwa na ccm kwenye hayo mabaraza wanatoa maamuzi gani, ccm haya tuliyoyasikia sisi jana wao waliyaona mapema ndo maana wakaanza kuhaha ili kunusuru hali hii
 
Katika hali ya kawaida tume imejitahidi kufanya kazi nzuri, isipokuwa katiba ina mchakato mrefu mpaka ipatikane , subirini ndo mtajua uzuri na ubaya wa maccm
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania

Nionavyo mimi na kwa maoni yangu HAKUNA AGENDA YOYOTE YA SIRI kama unavyotaka kufikiri wewe na kuwaelekeza wengine kufikiri huko!!

CHADEMA kama chama cha upinzani kinatekeleza jukumu lake la msingi la kuipa changamoto na kuimulika ipasavyo serikali pamoja na chama kinachoongoza serikali. Vyama vya upinzani ni kama watchdogs wakati wowote kukiwa na halufu ya hata kivuli tu cha mwizi (hapa ni CCM na Serikali yake) ni kupiga kelele hadi mwenye nyumba (hapa ni wananchi) aamke na kuangalia usalama wa boma la nyumba yake!!

So, ni wazi kabisa kuwa kelele za CHADEMA ambazo kwa namna yeyote walikuwa wanawakilisha na mpaka sasa na hata kesho na milele wanawakilisha kelele za umma (wananchi) zimesaidia ingalau kuja kwa rasimu hii ya katiba ambayo inagusia kubadilisha maeneo mengi ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wananchi ktk katiba ya sasa na wakati huohuo yakiwanufaisha watawala ambao wanataka kuuteka mchakato mzima wa uundwaji wa katiba!!.....Na kwa hatua hii tu ya kutolewa kwa rasimu ya sura hii tunafahamu kabisa kuwa Ma-CCM HAWAKO HAPPY na ni lazima wataanza kuandaa move nyingine!!

Rejea hotuba ya M/kiti wa tume Jaji Warioba kila alipotaja maeneo ambayo ni ngao ya CCM kama MUUNGANO,MAMLAKA YA RAIS,UCHAGUZI NA TUME YA KATIBA,BUNGE na mengine yanayofanana na hayo, hakuwa akiacha kusema kuwa "......tume kwa kuzingatia maslahi ya Taifa inapendekeza.....". Hii maana yake ni moja tu,hoja za za CHADEMA zilisomeka vyema na kueleweka kwa watawala na kuacha kuingilia tume!!

Hata hivyo HII NI RASIMU tu, katiba yenyewe bado na kwa maana hiyo hawa jamaa wasiotaka mabadiliko ya kweli,wasiotaka katiba inayotoa usawa kwa kila raia wanaweza kufanya upuuzi wowote kuharibu upatikanaji wa katiba ya WANANCHI

Mwisho naamini msimamo wa CHADEMA wa kupigania katiba ya kweli, katiba ya wananchi,katiba itakayotengeneza barabara ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA bado uko palepale whether wanaongza serikali au katika nafasi waliyonayo sasa, iwe kwa mvua au kwa jua!!. CHADEMA ni lazima wawalazimishe watawala hawa,wakoloni weusi CCM kutuletea KATIBA BORA kwa kutokuleta mikingamo na mizengwe ya aina yoyote.CCM YA KIKWETE KATIBA MPYA haikuwa agenda yao,so long as waliiparamia, then they must do it in the RIGHT WAY!!.

BINAFSI nampongeza jaji na wanatume wote kwa kutowasikiliza CCM. Lakini bado kuna mabaraza ya katiba ambako wamejipenyeza kwa wingi.....sasa na huko tutapambana nao!!
 
Mimi kwa mtazamo wangu naona umekurupuka kuandika hiki ulichokiandika, Mchakato wa katiba bado upo katika hatua za mwanzo bado kuna mlolongo wa wadau wengi watakaohusika kuweza kuyapitisha hayo yaliyo katika hiyo Rasimu na inatakiwa ujue hayo yaliyoandikwa sio lazima yakubaliwe na je kama ambayo yatakuwa yanamaslahi na taifa lakini hayana maslahi na CCM yatapita? kwani wengi wa wadau wataohusika ni wale ambao kwa njia moja au nyingine wapo CCM kwa hiyo msimamo wa CDM bado upo palepale hadi mchakato wa wajumbe wa mabaraza ya Katiba utakuwa huru.
 
Nionavyo mimi na kwa maoni yangu HAKUNA AGENDA YOYOTE YA SIRI kama unavyotaka kufikiri wewe na kuwaelekeza wengine kufikiri huko!!

CHADEMA kama chama cha upinzani kinatekeleza jukumu lake la msingi la kuipa changamoto na kuimulika ipasavyo serikali pamoja na chama kinachoongoza serikali. Vyama vya upinzani ni kama watchdogs wakati wowote kukiwa na halufu ya hata kivuli tu cha mwizi (hapa ni CCM na Serikali yake) ni kupiga kelele hadi mwenye nyumba (hapa ni wananchi) aamke na kuangalia usalama wa boma la nyumba yake!!

So, ni wazi kabisa kuwa kelele za CHADEMA ambazo kwa namna yeyote walikuwa wanawakilisha na mpaka sasa na hata kesho na milele wanawakilisha kelele za umma (wananchi) zimesaidia ingalau kuja kwa rasimu hii ya katiba ambayo inagusia kubadilisha maeneo mengi ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wananchi ktk katiba ya sasa na wakati huohuo yakiwanufaisha watawala ambao wanataka kuuteka mchakato mzima wa uundwaji wa katiba!!.....Na kwa hatua hii tu ya kutolewa kwa rasimu ya sura hii tunafahamu kabisa kuwa Ma-CCM HAWAKO HAPPY na ni lazima wataanza kuandaa move nyingine!!

Rejea hotuba ya M/kiti wa tume Jaji Warioba kila alipotaja maeneo ambayo ni ngao ya CCM kama MUUNGANO,MAMLAKA YA RAIS,UCHAGUZI NA TUME YA KATIBA,BUNGE na mengine yanayofanana na hayo, hakuwa akiacha kusema kuwa "......tume kwa kuzingatia maslahi ya Taifa inapendekeza.....". Hii maana yake ni moja tu,hoja za za CHADEMA zilisomeka vyema na kueleweka kwa watawala na kuacha kuingilia tume!!

Hata hivyo HII NI RASIMU tu, katiba yenyewe bado na kwa maana hiyo hawa jamaa wasiotaka mabadiliko ya kweli,wasiotaka katiba inayotoa usawa kwa kila raia wanaweza kufanya upuuzi wowote kuharibu upatikanaji wa katiba ya WANANCHI

Mwisho naamini msimamo wa CHADEMA wa kupigania katiba ya kweli, katiba ya wananchi,katiba itakayotengeneza barabara ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA bado uko palepale whether wanaongza serikali au katika nafasi waliyonayo sasa, iwe kwa mvua au kwa jua!!. CHADEMA ni lazima wawalazimishe watawala hawa,wakoloni weusi CCM kutuletea KATIBA BORA kwa kutokuleta mikingamo na mizengwe ya aina yoyote.CCM YA KIKWETE KATIBA MPYA haikuwa agenda yao,so long as waliiparamia, then they must do it in the RIGHT WAY!!.

BINAFSI nampongeza jaji na wanatume wote kwa kutowasikiliza CCM. Lakini bado kuna mabaraza ya katiba ambako wamejipenyeza kwa wingi.....sasa na huko tutapambana nao!!
nan atasoma pumba zako
 
ukifata jazba za babu unaweza kuleta madhara makubwa sn naona bora wakalee wajukuu
 
Hii ni kinyume chake!!!......Na mkuu,Umejuaje kuwa hizi/hii ni pumba? Si umesoma au umeota????

I thought una akili za kutosha na ungeendelea kutetea utumbo wako!!!
wemburula mbona povu linakutoka
 
Iko wapi hiyo ajenda ya siri? Usilete ushigongo wako kwenye mambo serious!ungeweka alama ya kuuliza mwisho wa sentensi yako ungeeleweka,sasa wewe unakuja kijumlajumla oo chadema walikuwa na ajenda ya siri!! Ukiulizwa ni ajenda ipi,hata huijui,explosive mind.
Usiumize kichwa. Wako watu humu ambao kwa bahati nzuri wameweza kumudu stadi za KKK basi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom