Dr Slaa na CHADEMA walikuwa na agenda ya siri (must read)

CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
Akili za kitoto hizi!
 
Kuwa muelewa na sio mshabiki, CHADEMA walitaka kujitoa kutokana na Mchakato wa Mabaraza ya katiba kuwa kuingiliwa na mdudu wa uvunjaji wa taratibu na sio mchakato uliokuwa unaendelea kufanywa na Kamati kuu ya Katiba.
Ishu haikuwa katiba bali ni Mabaraza ya katiba.
Duh Pamoja na Kupigwa factor juzi tu bado mnashindwa kuelewa?????. Nitamwambia Mh. atoe mpango wake wa kuwasaidia kwa Standadization kwani naona haiwasaidii.
 
Ni muhimu kujipa muda ktk kuijadili hiyo rasimu ya Katiba yetu mpya tunayoitarajia kuwa itawatumikia watanzania, haya mambo ya Dr Slaa na Prof Baregu hayana nafasi tena, tujipe muda mzuri wa kuijadili rasimu ya katiba.
 
Nikujibu kwa ufupi sana.

Kuikosoa serikali iliyoko madarakani, tena kwa nia ya kuiondoa, ni wajibu na haki ya CHADEMA ya kikatiba. Si hisani ya wachache wanaonufaika na status quo!

Kama wewe umeona uchanya wowote katika mchakato wa katiba moya hadi hapa ilipofikia kwenye draft, jua umeona hoja na mchango wa CHADEMA. Kumbuka wamekuwa custodian wa hili suala tangu 1993. Consistently.

Bila CHADEMA kuweka mguu chini mchakato huu usingefika hapa ulipo. Kumbuka vizuri kila hatua.

Bado CHADEMA itaendelea kusimamia kwa niaba ya wananchi hadi kieleweke.

Watu makini wanataka katiba mpya iliyo bora, si almuradi katiba mpya.
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania

we jamaa b.w.e.g.e sana,umenifanya kdg nivunje kidole kuwahi kubonyeza hiyo link ili nione hiyo agenda ya siri kumbe wewe umekuja na ushigongo hapa,nenda kaandike kwenye magazeti ya kiu au sani,uwazi n.k sio kuja kutupotezea muda wa kujadili mambo muhimu
~Seen today~​
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
Halafu sina uhakika kama umesoma rasimu nzima tofauti na kuegemeza ubongo wako kwenye dondoo za warioba,kasome kwanza ili uwe na hoja ya msingi,usinipotezee muda kwanza nipo sura ya pili nachunguza yaliyomo
~Seen today~​
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
Please Mods,naombeni mchanganye huu ----- pamoja na ianzishwe THREAD nyingine itakuwa na mjadala wa rasimu ya katiba,ambapo watu watakuwa wamesoma yaliyomo na ikiwezekana kila sura kadhaa zibebe thread yake ili tujikite kwenye uchambuzi wa hoja,ni muhimu sana
~Seen today~​
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania

SADAM HUSSEIN.
Umenikumbusha mbali sana.Hivi uko wapi siku hizi kaka maana hili jina tangu tunasoma unalipenda sana.
 
kwanza niwapongeze CDM kwa umakini wao toka mwanzo wa kudai mabadiliko ya katiba.walipotoka bungeni wakati Rais anahutubia ilikuwa nimesage nzuri kwa Rais na kwa ulimwengu nzima kuwa katiba tuliyonayo ni mbovu.kama huwezi kupinga uchaguzi wa Rais ,hakuna tume huru ya uchaguzi basi hakuna demokrasia.CDM wana vision nzuri sana ,kama wasingetishia kuwa wanayofanya kamati ya warioba kuwa sio sahihi hasa uundwaji wa mabalaza ya wilaya basi tusinge pata hiki mnachokisifia leo japo kinamapungufu ya kutosha tu.Tukumbuke kuwa CCM wote kasoro kikwete tu ndiye aliyekubali mabadiliko haya.(kumbukeni kauli za mwaziri wenye dhamana ya katiba na sheria walivyokuwa wanasema).Hivyo basi nawashauri CDM wasilale kwa kuwa hiyo rasimu inaenda kujadiliwa wa CMM waliojazwa kwenye mabalaza ya wilaya kwa sheria mbovu za kamati ya warioba.wataweka wanayotaka turudi kule tulikotoka,kwa sababu hawataki mabadliko.
 
Tatizo la hapa ni kwamba watu wachache wa magazeti ya udaku wanakuja kufanya research yao kwa maswali ya kidaku. Leta facts leta vidhibitishi. Acha habari za Ijumaa wikienda na Risasi nakadhalika.
Great Thinkers put the facts on the table, analyze the problem with available facts and solve it critically.
 
Hii mijamaa ya chadema wanarukia kila kitu wanachohisi kitawapa umaaruf zaidi, mara gesi,mara katiba, mara kuchinja yaan hawana ground kabsa
 
Back
Top Bottom