Dr Slaa na CHADEMA walikuwa na agenda ya siri (must read)

Huwezi elewa that pressure za CDM ndizo zilizofanya wazee hawa kufikiria mara mbili na kuleta resimu ambayo balance matakwa ya watanzania, otherwise mambo yangekuwa tofauti.
 
Huyu jamaa anayeleta thread hii naona ni mvivu wa kufikiri, ulitakiwa kuelewa nini ilikuwa madai ya chadema na umuhimu wake ktika kupata katiba bora. Kumbuka kila hatua katika mchakato huu ina umuhimu wake, hebu jaribu kufikiri pamoja na rasimu kuwa nzuri bado inatakiwa kujadiliwa na Mabaraza ya katiba ndiyo yenye mandate ya kisheria kuichanachana, sasa mabaraza haya yatakwenda na mawazo ya chama kimoja cha siasa unafikiri kutakuwa na katiba hapo. Wewe subiri sasa vikao vya ndani vya chama cha magamba kwa ajili ya kuwafunda wajumbe wake wa mabaraza ya katiba na matokeo yake. Chadema ni chama kinachoona mbali sana waTZ tunatakiwa kuwapa big up kwa hamasa yao katika upatikanaji wa katiba bora.
 
Wabunge walipwe mishahara na
posho kulingana na viwango vyao
vya elimu. Itasaidia sana
kupunguza watu kukimbilia
bungeni kama njia ya kutokea
kimaisha. Mfano Standard Seven
alipwe 295000, Form IV 362000, A
Level 398000, Diploma 415000,
Degree 680000, Masters 800000,
Doctrate 1200000. Gari za
kutembelea ziwe Rav 4 na Noah,
wabunge wa kike wapewe Vitz.
Hapa nadhani wabunge watakua
serious bungeni, na wananchi
wakisema maisha ni magumu
wataeleweka vizuri.
 
Huwezi elewa that pressure za CDM ndizo zilizofanya wazee hawa kufikiria mara mbili na kuleta resimu ambayo balance matakwa ya watanzania, otherwise mambo yangekuwa tofauti.
acha umburula warioba hana sifa ya kuburuzwa ht na ccm wenyewe
 
subiri CDM waje na tamko lao juu ya hii hujuma ya Warioba na watu wake!!
 
Mleta mada unajichanganya,
CCM ndo waliomtuma mwanasheria mkuu kupinga katiba mpya kwa madai kuwa katiba iliyopo inatosha.
CCM ndo waliomtuma tena baadaye waziri kwa madai kuwa hatuna pesa ya kutosha.
CCM hawakuweka katiba kwenye ilani yao ya 2010.
Chadema ndo waliiweka kwenye ilani ya 2010 na baada ya uchaguzi wakaifanya harakati za kudai katiba mpya mpka kikwete akakubali kwa shingo upande. UPO? Hata siku antangaza mchakato wa katiba mpya hakutumia neno mpya bali 'kuhuisha' katina. Kwa hiyo, mkuu wangu, Kinyume chake sasa ndo kweli na sahihi, katiba tunayohangaika nayo inatokana nguvu na hamasa ya chadema. Tafuta jingine.
 
Chadema hawana uzalendo kwa taifa letu; chama hiki kimeweka mbele maslahi ya viongozi; Dr. Slaa alikurupuka,amejirudi, leo watatoa taarifa ya kuunga mkono RASIMU
Kwa kiasi kikubwa kulalamika kwa chadema ndio kumeleta unafuu huu kwenye hii rasimu... nawashangaa sana watz ambao hawaoni uzalendo wa chadema... hivi mnadhani ccm ilikuwa na dhamira ya kutengeneza katiba mpya? hivi mnadhani ccm ina lengo lolote la maslahi kwa umma zaidi ya kulindana mafisadi? hivi mnadhani pasipo chadema nchi ingekuwa hapa ilipo? binafsi namshukuru sana Mungu kwa ajili ya chadema... imewatoa watu tongotongo zito sana na imewastua kwenye bonge la usingizi wa fofofo.... hata sasa bado chadema tunawahitaji waimulike vizuri hii rasimu waendelee kututoa tongotongo... ninaamini kabisa chadema imewarahisishia sana tume ya katiba kutenda kazi yao and am i quite sure kuwa warioba and co wanaikubali sana chadema....
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania

Pressure ya CHADEMA ndiyo iliyofanya wazee hao kuja na rasimu hiyo otherwise mambo yangekuwa tofauti.
 
Mleta mada unajichanganya,
CCM ndo waliomtuma mwanasheria mkuu kupinga katiba mpya kwa madai kuwa katiba iliyopo inatosha.
CCM ndo waliomtuma tena baadaye waziri kwa madai kuwa hatuna pesa ya kutosha.
CCM hawakuweka katiba kwenye ilani yao ya 2010.
Chadema ndo waliiweka kwenye ilani ya 2010 na baada ya uchaguzi wakaifanya harakati za kudai katiba mpya mpka kikwete akakubali kwa shingo upande. UPO? Hata siku antangaza mchakato wa katiba mpya hakutumia neno mpya bali 'kuhuisha' katina. Kwa hiyo, mkuu wangu, Kinyume chake sasa ndo kweli na sahihi, katiba tunayohangaika nayo inatokana nguvu na hamasa ya chadema. Tafuta jingine.
kweli walimu wamiaka hii wanakazi mashuleni mwanafunzi wamiaka hii unamuuliza hiki anajibu kile
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
wakati mwingine napata kizunguzungu nikiona thread kama hizi.
Kwangu mimi JF ni sehemu muhimu ambapo mambo muhimu hujadiliwa lakin inaelekea tunashindwa kutumia muda wetu vizuri au ni wavivu wa kutafakari.
Jambo la kwanza ni kuwa Katiba mpya haikuwa kwenye ilani ya CCM ila ya CDM na serikali ya CCM kuichukua inaonyesha mambo mawili makubwa.La kwanza ni kuwa umuhimu wa vyama vya upinzani unaonekana na pili Kikwete ameonyesha kuona mbali kwani ame pre empty hiyo karata ya CDM na inabidi CDM itafute karat nyingine.Kwa ushindani huu wa kisiasa tunaelekea angalau kupata mabadiliko.
Kwa vyovyote vile isingekuwa kelele za wapinzani,taasisi kama NGO naamini katiba rasimu ya katiba isingekuwa ilivyo;angalia nani angeweza kuugusa muungano kwa jinsi uliguswa katika rasmu hii??
Hapa tuantakiwa tuwashukuru CDM na kuwaomba waendelee kuibana serikali na CCM ili mabadiliko chanya yatokee nchini na si kuilaumu kama ulivyofanya.
 
Hii ni akili ndogo. CDM ililalamikia wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya na si rasimu ya katiba. Kuwa makini.
 
Chadema hawana uzalendo kwa taifa letu; chama hiki kimeweka mbele maslahi ya viongozi; Dr. Slaa alikurupuka,amejirudi, leo watatoa taarifa ya kuunga mkono RASIMU
Taja katika ile Rasimu kama kuna lolote lililopendekezwa na tume yametoka CCM,yote yametoka chadema na wananchi wengine, na ukitaka kujuwa umuhimu wa chadema ni pale mwenyekiti wa Tume specifically amemention serikali ya majimbo kwani vyama au wananchi wengine hakuna waliyopendekeza na Tume haikuwachukua, mbona hayakutajwa, Chadema is the giant engineer of todays politics in Tanzania
 
wakati mwingine napata kizunguzungu nikiona thread kama hizi.
Kwangu mimi JF ni sehemu muhimu ambapo mambo muhimu hujadiliwa lakin inaelekea tunashindwa kutumia muda wetu vizuri au ni wavivu wa kutafakari.
Jambo la kwanza ni kuwa Katiba mpya haikuwa kwenye ilani ya CCM ila ya CDM na serikali ya CCM kuichukua inaonyesha mambo mawili makubwa.La kwanza ni kuwa umuhimu wa vyama vya upinzani unaonekana na pili Kikwete ameonyesha kuona mbali kwani ame pre empty hiyo karata ya CDM na inabidi CDM itafute karat nyingine.Kwa ushindani huu wa kisiasa tunaelekea angalau kupata mabadiliko.
Kwa vyovyote vile isingekuwa kelele za wapinzani,taasisi kama NGO naamini katiba rasimu ya katiba isingekuwa ilivyo;angalia nani angeweza kuugusa muungano kwa jinsi uliguswa katika rasmu hii??
Hapa tuantakiwa tuwashukuru CDM na kuwaomba waendelee kuibana serikali na CCM ili mabadiliko chanya yatokee nchini na si kuilaumu kama ulivyofanya.
mbn povu linakutoka
 
CDM nijanga la taifa wanafaa kupuuzwa!
Kwako wewe na mama yako lakini 80% ya yale chadema wanayaongelea majukwaani na waliyopendekezwa tume imechukua jinsi yalivyo indeed in copy and paste,pole wana CCM hasira zimewakaba hamna la kufanya
 
mbn povu linakutoka
Halijanitoka povu ila kwa kweli tuna mitizamo tofauti na inabidi tukubaliane hivyo.
Wahafidhina wa CCM wangetuletea janga hapa na kwa hili nampa JK credit,aliona mbali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
Mkuu mbona watu makini hawajihusishi sana na Dr Slaa, maana uwezo wake ku comprehend the future uko limited.
 
Back
Top Bottom