Dr Slaa na CHADEMA walikuwa na agenda ya siri (must read)

Dr Slaa na CHADEMA walikuwa na agenda ya siri (must read)

CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania

WEWE NA NANI WENYE MASHAKA MKUU SADAM HUSSEIN?

The Listener - Ex Detective
 
Mi-thread kama hii ilikuwaga inafutwaga wakati mwingine huwaga siwaelewagi mamodeleta wanavyofanyaga na kusimamiaga kazi.
 
wakati mwingine sioni umuhimu wa vyama vya siasa yani ni kupinga kila kitu

Kwa hiyo ulitaka tuongozwe na Jeshi au Mfalme siyo???

Tatizo lenu huwa hamjui hizi siasa za bongo ziko hivi kwa vile CCM wanataka ziwe hivi ................ kama wangeachana na tamaa za madaraka wangetujengea utamaduni mzuri sana ............. lakini huko walikotupeleka kuna siku hata wao watajilaumu sana na watakuwa ndiyo wapiga kelele wakubwa duniani.......... mark my words!!
 
Mh. Mboye uko wapi?? eti wanaunda timu ya kundaa katiba si Weledi, tunaomba uwachague wako wenye uweledi, alafu kuhusu kususia iliishia wapi. baada ya kukuta tume atetereki pamoja na kutaka kumwondoa pr. Beregu kushindakana mkaishia mitini au mlidhani mnatengeneza katiba ya chadema nini???, alafu kunawana jf hapa mlikuwa mnasapoti mbowe eti berugu yuko kimaslahi. JK tutakukumbuka Daimaaaaaaaaaaaaaaaaaa. mungu akupe maisha marefu kwani kwa busara zako tumewe kupata tume makini ya kutupeleka tunapaotaka,
Mimi nadhan hamkuelewa vizuri kwa nini chadema walikuwa wanataka kujitoa. Muundo wa mabaraza ya kata ilikuwa sababu kubwa sana. Vile vile huwezi kurukia kwamba rasimu hii ni nzuri kabisa. Bado tunahitaji kusoma kati kati ya mistari na kuafakari kwa kina.
 
Chadema hawana tatizo na rasimu bali wana tatizo na uundwaji na taratibu zilizopelekea kupatwa na mabaraza ya katiba na hasa upande wa tanganyika.msipotoshe ukweli
 
Rasimu ya Katiba is a sensitive matter.

Tume kwa kiasi kikubwa sana imesimamia maslahi ya taifa.

Sasa ni wajibu wa jamii kujadili rasimu kwa maslahi ya taifa.

Mijadala ya kishabiki ya kichama haina manufaa at this point in time.
 
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
Mkuu nimejaribu kupitia post zako nyingi zimejaa chuki kwa Dr Slaa mara padri mara babu lakini penda usipende kama hii Rasimu ya katiba itapita kama ilivyo Dr Slaa atakuwa Rais wetu. Tujaribu kuweka dini zetu mbali kwenye suala muhimu kama hili
 
MUST READ?!!!!!
Kwa kipi cha maana ulichoandika?!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Rasimu ya Katiba is a sensitive matter.

Tume kwa kiasi kikubwa sana imesimamia maslahi ya taifa.

Sasa ni wajibu wa jamii kujadili rasimu kwa maslahi ya taifa.

Mijadala ya kishabiki ya kichama haina manufaa at this point in time.
Mkuu ZeMarcopolo mwanzoni tulikuwa tunadanganywa misikitini kuwa dr Slaa ni Mkristo atatumaliza sisi waislamu lakini ni bora ningempa kura yangu kuliko CCM hii ambayo imechimbiwa kaburi na hii rasimu ya Katiba
 
Last edited by a moderator:
Kumbe watu hawajui kuwa hii rasimu si katiba bali mapendekezo na dira ya kutuongoza kupata katiba mpya.

Chadema walipinga mbinu za kuwajaza ccm kwenye mabaraza ya katiba ambayo ndiyo yatachanganua kwa undani hiyo Rasimu iliyotolewa jana.
 
Labda mimi sikuelewa kipindi hicho, nilielewa kuwa CDM walipinga mchakato wa kupata wajumbe wa mabaraza ya katiba na sio kupinga tume ya katiba. Sababu ya kupinga mchakato huo ilikua ni kunusuru kupata katiba ambayo itakua imekaa ki-CCM CCM. Sasa kama tume ililiangalia hilo na ikalifanyia kazi, kuna umuhimu gani wa kuleta chokochoko?? Mnakidhalilisha chama chenu, wenzenu wapo busy kuipitia hiyo RASIMU ya katiba ili kujua penye tatizo na kupaweka sawa, nyie mpo BUSY kupiga majungu!!
 
Nyie majangili ndio mburula....elimu mmeuwa,madini,mazao ,viwanda,hata fya zetu mnacheza nazo.ndio maana hata wewe umesoma shule za kata ndio maana huna fahamu wa kuchanganua mambo.....eti form iv.........ziro 700.NASHANGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.CCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCMMMMMMMMMMMM'KWISHA KAZI
 
Iko wapi hiyo ajenda ya siri? Usilete ushigongo wako kwenye mambo serious!ungeweka alama ya kuuliza mwisho wa sentensi yako ungeeleweka,sasa wewe unakuja kijumlajumla oo chadema walikuwa na ajenda ya siri!! Ukiulizwa ni ajenda ipi,hata huijui,explosive mind.

Na ukweli ni kwamba pressure yao imesaidia angalau wameweka vile vipaumbele muhimu.
 
Hiyo ya CDM haikuhusu ata kidogo na ukiangalia hiyo katiba iliandaliwa rasimu kama tatu na ambayo uendana na matakwa ya cdm ndio imesomwa though kuna suala la majimbo ndo aipo ila CDM WASINGE LICHIMBA BODI BITI WANGECHAKUA. na magamba walivyo na ulafi wa madaraka hawawezi kutoa maoni eti spika na naibu wake wasitoke ndani ya chama.FIKIRIA VIZURI.
 
Du... kweli maisha yamekuwa magumu sana sasa, yaani buku 7 inatafutwa kwa nguvu namna hii....
 
Wagonjwa wa akili wengi siku hizi! Bahati mbaya mateja wanaosaidiwa na JK ni wenye macho mlegezo, kiuno chembamba na tattoo kwenye paja kama Ray C. We utajifia kama Ngwair
 
cdm bwana utafikiri ubongo umeliwa na virus wasahaulifu walimwita baregu anapenda posho ndo mana kakomaa kujitoa leo mnajishebedua hapa
 
Back
Top Bottom