Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,275
Sasa hiyo ajenda iko wapi? SADAM HUSSEIN
Last edited by a moderator:
kwani umelazimishwa kusoma si usome uzi mwingine
Acha kukurupuka, kukosoa na kutoa maoni ya uundwaji wa mabaraza ya katiba ni siri nzito?
Anayo ya bibi yakosiri gani aliyonayo babu?
Mimi nadhani bora anayetukana kuliko anayejifanya mlinzi wa tembo kumbe ndiye anayengoa meno ya tembo. Huo ni msemo mpana usiuchukulie poa..... Ni mada pana!Mkuu SADAM HUSSEIN usipate shida hao jamaa matusi ndiyo Identity (ID) yao. Wewe unafikiri siku hizi tunapatashida kutambua huyu ni mwanachama wa chama gani? Watukanaji humu JF wanajulikana chama wanachotoka.
Mimi nadhan hamkuelewa vizuri kwa nini chadema walikuwa wanataka kujitoa. Muundo wa mabaraza ya kata ilikuwa sababu kubwa sana. Vile vile huwezi kurukia kwamba rasimu hii ni nzuri kabisa. Bado tunahitaji kusoma kati kati ya mistari na kuafakari kwa kina.
CHADEMA walitaka kujitoa katika mchakato wa katiba mpya ambapo kwa ushahidi katika gazeti la raia mwema PROF BAREGU alipigiwa simu na DR SLAA kama mjumbe wa CHADEMA katika tume ya katiba ajitoe ambapo PROF BAREFU kwa kuwa ni mzalendo alimjibu DR SLAA ni bora Tanzania kwake kuliko maslahi ya chama. Sasa kupitia vyombo vya habari jana mwenyekiti wa tume ya katiba alitangaza rasmu ya katiba mpya ambayo kimsingi imejibu malalamiko ya wananchi kwa kiasi kikubwa
swali,
1.je CHADEMA hawakuwa na agenda nyingine ya siri kwa kutaka kuijtoa tunapata mashaka?
2.je CHADEMA wataiponda au wataikubali je wakiikubali hawatakuwa wasaliti kwani walishafikria kjitoa na kamati kuu ilikaa kujadili suala hili
3. CHADEMA wanapaswa kuelewa katiba ni ya watanzania na watanzania wa sasa ni waelewa
Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania
Mimi nadhani bora anayetukana kuliko anayejifanya mlinzi wa tembo kumbe ndiye anayengoa meno ya tembo. Huo ni msemo mpana usiuchukulie poa..... Ni mada pana!
siri gani aliyonayo babu?
wakati mwingine sioni umuhimu wa vyama vya siasa yani ni kupinga kila kitu
Chadema hawana uzalendo kwa taifa letu; chama hiki kimeweka mbele maslahi ya viongozi; Dr. Slaa alikurupuka,amejirudi, leo watatoa taarifa ya kuunga mkono RASIMU
acha matusi ndo style ulofunzwa kwenu kumtukana babayako
Ona akili zao zilivyo vunda, kufuta thread ndio itasaidia nini?Mi-thread kama hii ilikuwaga inafutwaga wakati mwingine huwaga siwaelewagi mamodeleta wanavyofanyaga na kusimamiaga kazi.
wakati mwingine sioni umuhimu wa vyama vya siasa yani ni kupinga kila kitu
wakati mwingine sioni umuhimu wa vyama vya siasa yani ni kupinga kila kitu
wakati mwingine sioni umuhimu wa vyama vya siasa yani ni kupinga kila kitu
Chadema hawana uzalendo kwa taifa letu; chama hiki kimeweka mbele maslahi ya viongozi; Dr. Slaa alikurupuka,amejirudi, leo watatoa taarifa ya kuunga mkono RASIMU
acha matusi ndo style ulofunzwa kwenu kumtukana babayako
chadema imepata kizunguzungu
Mh. Mboye uko wapi?? eti wanaunda timu ya kundaa katiba si Weledi, tunaomba uwachague wako wenye uweledi, alafu kuhusu kususia iliishia wapi. baada ya kukuta tume atetereki pamoja na kutaka kumwondoa pr. Beregu kushindakana mkaishia mitini au mlidhani mnatengeneza katiba ya chadema nini???, alafu kunawana jf hapa mlikuwa mnasapoti mbowe eti berugu yuko kimaslahi. JK tutakukumbuka Daimaaaaaaaaaaaaaaaaaa. mungu akupe maisha marefu kwani kwa busara zako tumewe kupata tume makini ya kutupeleka tunapaotaka,
Mkuu SADAM HUSSEIN usipate shida hao jamaa matusi ndiyo Identity (ID) yao. Wewe unafikiri siku hizi tunapatashida kutambua huyu ni mwanachama wa chama gani? Watukanaji humu JF wanajulikana chama wanachotoka.
Ona akili zao zilivyo vunda, kufuta thread ndio itasaidia nini?