Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.

haya nenda kachukue book saba msomi mzima unajidharilisha namna hiyo au pale UDOM ulikuwa unasindikiza watu
 
Slaa ni mtu makini......ni mwiba kwa CCM...sabu ana uzalendo, anajua kujenga hoja, ana weledi wa hali ya juu...sio hawa wenzetu wanaokurupuka kama ng'ombe alie kwenye joto
 
kauli za slaa siyo za kujenga daima huwa ni za kubomoa siku zote sielewi nia yake ni nini.

Mnapenda waongo,wambeya,wang,oa watu kucha,badala ya kuangalia mskabali wa amani mtwara munapayuka tu lini migogoro iliisha kwa mtutu wa bunduki Dr Slaa kasema ukweli serikali na wananchi wakae pamoja wakubaliane,serikali haijaplay her part imeamuru na inataka kutekeleza bila kuwafahamisha wananchi wao ni matusi tu kuwatukana wana Mtwara haya sasa polisi wanageuka vibaka huu ni uongozi kweli
 
wewe nae kama Kakobe tu
Tatizo la Kikwete ni kuongoza nchi kwa nguvu za giza bila kumtegemea Mungu. Sheikh Yahya alipotamka hadharani kwamba amemtumia majeshi ya mapepo ili kumlinda alichekelea na kuyapokea kwa shangwe, hoihoi, vifijo na ndelemo bila kujua madhara yake. Sasa hayo mapepo ndiyo yanayomtafuna!!
 
laana kutoka kwa nani..?

Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
Bado mnabishana tu na watoto wa Mungu?Jibu la swali lako hata wewe unalijua
 
laana kutoka kwa nani..?

Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko

Zanzibar inawapiga kura wachache kuliko Ubungo Miji ya pwani hana umaarufu kwa waislamu wachache waliolishwa sumu kama wewe kwamba Slaa akishinda ataendesha nchi kama kanisa. Tuwe wakweli jamani kwa muhula ule wa kwanza wa Kikwete alivyoboronga ulimuondolea kabisa na kumfanya asiwe na personality ya kuwa Rais wa nchi kama alivyokuwa Mkapa, na huyu jamaa alipoona amefunikwa sana na utendaji wa mtangulizi wake ndo akaingiza propaganda za udini kwamba wanaomsema sana Kikwete wanamsema vibaya kwasababu ya dini yake, lakini ki ukweli mimi naifaham vizuri CCM utendaji wa Mkapa huwezi kuufananisha hata chembe na huyu mswahili, Nyie waislam ni wadhaifu sana kisaikolojia, kipindi watu wanamponda Mkapa kuhusiana na mgodi wa makaa ya mawe pale Kiwila sikuona mkristo aliye leta malalamiko ya udini, wapuuzi kweli nyie
 
HUO WOTE NI UCHOCHEZI NA KILA ASIYEKUWA NA AKILI ANAUPOKEA NA KUUFANYIA KAZI MATOKEO YAK NI KUPOTEZA MUDA, KUKARIBISHA NJAA, KUUMIA NA MENGINE MNGI YA HATARI YA KUDHURU MWILI. DR. AMA PADRI WILBROAD SLAA HANA JIPYA NA HATEMBEI KATIKA NJIA ILIYONYOOKA, YEYE HUJIFICHA NYUMA YA MATATITIZO YA WATU.

TUWENI WAKWELI KUWA WANACHOKIFANYA WANA MTWARA KWA KUSHAWISHIWA SI SAWA MAANA WANAOWASHAWISHI HAWAKUWMO KWENYE VURUGU WAO NA HAWANA MAUMIVU YOYOTE YA MISULI YA KURUSHA MAWE NK WAO MIDOMO TU NA KUWATUMA WANYONGE AKAPAMBANE NA ASKARI. MATOKEO YAKE NI KUUMIZANA WENYEWE KWA WENYEWE NA KUJENGANA UADUI
Mfano.........Unachoma duka la mtu nyuma yako kuna mtu anakuona ambaye ni ndugu ama mwenye Duka baada ya vurugu kutulia utabaki salama NI lazima atalipiza ni kwa naman gani WEWE na MIMI hatujui. Unachoma Gari la wagonjwa, nyumba ya mtu ambaye mke wake ama hawala tu ni Askari..............anahusikaje????????? Watanzania hasa kama unaamini kuwa unazo akili timamu hayan si ya kushabikia. Toa wazo mbadala ili uwasaidie.
 
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
Kweli nyie ni mabingwa wa kusingizia watu, hapo kwenye Bold hivi hata hilo nalo alisababisha Slaa kweli, aliyewambia washeikh, maskofu na wachungaji kwambva wenye mamlaka ya kuchinja nchi hii ni Waislam nadhani ndiye aliyesabiasha mgogoro, tena alizungumzia Hotelini, hawa walikua viongozi wa chama cha magamba, pale Mwanza, naomba nikukumbushe, wa kwanza ni Steven Wassira na bwana Ndikiro, hili la haki ya kuchinja mbona hata Sitta aliliyesema Bungeni alipokua akikaimu nafasi ya PM? Anywa, kusingizia watu wengine nyie mmeisha zoea, hata Nyerere aliisha singiziwa kua eti alifuta mahakama za Kadhi kumbe hata hazikuwepo.

Kuhusu kuasi dini yake, nguzo mojawapo ya Uislam ni kuhiji Makaa (kama unauwezo) hivi Kikwete ni lini ameshika nguzo hiyo? msiwe wanafiki kiasi hicho, kuacha Upadree sio kumuasi Mungu, mnapenda chuki tu, ifike wakati mfikiri, hivi dini inayoeneza chuki na kusingizia wengine ni kweli ya Mungu au shetani, swali tu dogo, huitaji akili nyingi kujua!
 
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
...Tumuombee asichoke aendelee kuchochea serikali iache kupiga risasi na kuua wanachi.
 
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.

Hata kama lengo lako ni kupata buku 7 za Lumumba muda mwingine jaribu kupitia thread zenye mada muhimu kwa taifa upate kujua ama kupata mwanga wa kile kinachojiri ndani ya nchi na duniani kwa ujumla. Kuendelea kwako kutafuta thread zinazohusu CDM na viongozi wake unazidi kujipumbaza.

Kwa leo hebu jaribu kufuatilia michango inayotolewa kwenye hii thread hapa chini unaweza ukajifunza japo kidogo na sio lazima uchangie:

On Mtwara: Kikwete, Muhongo na Bunge - Mnayakumbuka haya?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwete-muhongo-na-bunge-mnayakumbuka-haya.html
 
Mkuu [MENTION]kobello,[/MENTION] mbona hoja ya[MENTION] Mikael P Aweda[/MENTION] iko wazi.

Msome vizuri hasa kwenye red mkuu wangu.




Aweda ameweka kila kitu wazi.

1. Amekuuliza wanamtwara siyo watanzania? kama watanzania je hawana haki ya kudai kutekelezewa haki zao za msingi kutoka raslimali zinazopatikana katika mazingira yao kwanza na baada ya hapo zikawanufaishe na ndugu zao mikowa mingine. Serikali inapotosha kwamba wanamtwara wanazuia gesi huu ni uzushi na uwongo mkubwa.


2. swala la pili Aweda anauliza kwanini serikali inaficha mikataba? iwe ya madini, kubinafsisha ardhi au gesi?? nasiyo inawaficha wananchi tu bali inawaficha hata wawakilishi wa wanachi yaani wabunge wao! Aweda anapendekeza mambo yawekwe hadharani ilitufahamu tunapata nini kwanini tunapata hicho na siyo zaidi.

-Je tunaendelea kupewa asilimia za mrahaba chini ya 5% na 95% kuondoka na wawekezaji? mkuu kobello unafahamu tutapata % kutoka mapato ya gesi?

-Je tunalipa gharama shahihi za unzenzi wa mitambo na bomba kwa ujumla (Value for money related to the actual cost of the project) au tunaibiwa kwa kulipa mara kumi au zaidi ya gharama halisi??

-Je wananchi kwanza wa maeneo husika na pili wanzania kwa ujumla watapata faida staihiki au magumashi kutoka mikataba hii??

Haya ndiyo mawazo na matazamo wa mkuu Aweda, hujaelewa nini bwana Kobello? [/COLOR]
linalojengwa ni bomba la kupeleka gesi kwenda kutumika kwenye viwanda vilivyopo dar es salaam,na pia matumizi mengine kama kupikia wananchi na pia kuzalishia umeme utakaoingia kwenye grid ya taifa...sasa hapa mrahaba sijui mrabaha unatokea wapi?na gesi itakayopitia hilo bomba ni asilimia 6 ya gesi yote.

Pia ni wazi kuwa kama kutakua na sababu ya kuexport kupeleka nje meli zitapakia gesi hapohapo mtwara ,kwani itakua ni upuuzi gesi iende dar halafu ndo ipakiwe melini kwenda nje.
Sasa kinachonishangaza hapa ni kuwa ujenzi wa bomba unahusiana vipi na mrahaba.
 
Siyo mikataba yote ni lazima iwekwe wazi. Kibiashara baadhi ya makampuni hayataki kuweka mikataba yao public ....kuna mikataba ya kijeshi kati ya serikali (hao IMF na WB wanashupalia hili) na serikal au na mashirika binafsi, na haiwekwi public.
Hata hivyo, linalojengwa ni pipeline, sasa wewe unatyaka mkataba gani? Wakujenga pipeline?? AU WA MATUMIZI YA GESI?? Mimi bado sijaelewa tatizo ni nini hasa.

Watz wanataka mikataba yote iwekwe wazi, kampuni isiyotaka mikataba yake iwekwe wazi siyo lazima waje Tz, wanatuharibia amani ya nchi yetu.
Pili, inawezekana wewe hujui, lakini serikali imeshaingia mikataba mingi na wachina kuhusu gesi - siyo ujenzi wa bomba tu. Hata hiyo bomba lenyewe gharama imezidishwa mara 3 kama alivyosema Mbunge Ndugulile jana hapa JF. Ukweli ni kwamba Mimi wewe, watz wote wakiwepo wanamtwara tuko gizani kuhusu mikataba hiyo. Hili ni tatizo kubwa sana.
 
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???

hivi nyie viijana wa CCM mlio JF ni vichaa au wazima make mnavochangia kama mpoo jalalani mnaokota makopo
 
Huyu naye apunguze unafki kidogo,lakini ndiko kwenye siasa panamfaa, maana dini ilimshinda pinda alikwenda mtwara akaa nao na kufikia muafaka na rais ali adress issue hii kwa public through speech yake ya mwezi,sasa tunataka wafanye nini zaidi? Jk alisema kama kunakuwapuuza watu wa mtwara basi yeye atakuwa mtz wa mwisho kufanya hvyo. Huyu slaa aangalie sana kauli zake maana ikitokea bahati mbaya wakaingia ikulu watu wanataraji mabomba ya maziwa

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Huyo mizengwe kaenda mtwara kawahadaa wanamtwara wakashtukia upuuzi wake. Ndugu gesi ni mali ya taifa lakini safe za kutunza mali ya taifa ziko dar tu? Mtwara siyo sehemu ya Tanzania? Na je mali nyingine za taifa zimeinufaisha vipi Mtwara hasa ukizingatia kwamba Mtwara na Lindi ndio mikoa duni kabisa hapa Tanzania. Uvumilivu umetushinda kama noma basi iwe. Why second class citizens in our
 
Frankly speeking; Kwenye mikataba ya gesi ambayo ilishasainiwa kutakuwa kuna mambo ambayo waliosaini wanajua yakifahamika wazi kwa jamii itawagharimu na dhio maana pamoja na watu kushinikiza mkataba iwekwe wazi, serikali inakwepa na italikwepa hili mpaka tone la mwisho.Tusubirie!

Nina uhakika mpaka sasa serikali inatambua tayari mistake ambayo ilishafanyika lakini kazi ipo kwenye kurudisha mambo sawa na kuhakikisha yanakwenda vizuri bila kuvujisha kile kilichoko kwenye mikataba ili kuwanushuru waliosaini mikataba hiyo.Kwa hiyo mengine haya tu ni mbio za sakafuni ila tatizo sugu liko hapa.
 
Zanzibar inawapiga kura wachache kuliko Ubungo Miji ya pwani hana umaarufu kwa waislamu wachache waliolishwa sumu kama wewe kwamba Slaa akishinda ataendesha nchi kama kanisa. Tuwe wakweli jamani kwa muhula ule wa kwanza wa Kikwete alivyoboronga ulimuondolea kabisa na kumfanya asiwe na personality ya kuwa Rais wa nchi kama alivyokuwa Mkapa, na huyu jamaa alipoona amefunikwa sana na utendaji wa mtangulizi wake ndo akaingiza propaganda za udini kwamba wanaomsema sana Kikwete wanamsema vibaya kwasababu ya dini yake, lakini ki ukweli mimi naifaham vizuri CCM utendaji wa Mkapa huwezi kuufananisha hata chembe na huyu mswahili, Nyie waislam ni wadhaifu sana kisaikolojia, kipindi watu wanamponda Mkapa kuhusiana na mgodi wa makaa ya mawe pale Kiwila sikuona mkristo aliye leta malalamiko ya udini, wapuuzi kweli nyie
wewe unaongea vitu bila hata kuweka ushahidi wa unachokisema,umekaririshwa.
 
Wanadhani suluhisho ni kupeleka wanajeshi waue raia!hao wanajeshi watakaa huko mpaka lini?ukiona serikali inatumia jwtz kuwadhibiti wananchi wanao dai haki zao,ujue imekosa uhalali wa kuongoza nchi.Tatizo hawa mafisadi wameshakula hela ya mchina (mradi ujenzi wa bomba la gesi)hivyo wanashindwa la kufanya.
 
Tatizo lako wewe unaongea sana hebu tupe mchanganuo wa michango ya M4C toka muanze kuwachangisha wananchi mmekusanya kiasi gani ni matumizi yake.

Mimi nilikuuliza kwa nini serikali inaficha mikataba, wewe wewe ukatoa majibu haya in red. Kwa hiyo, kwa kauli yako, wewe umekubali kwamba kuna wizi kwenye mikataba inayofichwa na unadhani mimi nisihoji sana wizi wenu kwa kuwa unadhani na sisi tuko kama ninyi.
 
Hizo kura laki 2 za znbar nazo unahesabu? Kwa taarifa yako jk aliiba kura zaidi ya million moja. Mimi naamini siri itafichuka tu huko tuendako.

mlipewa bia mkalewa mkasinzia wkt Kikwete anaiba kura au???
 
Back
Top Bottom