utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Kuna msemo kuwa flani anazeeka vibaya, hapa msemo huo unaweza kutumika ukaleta maana
mwenzio Ritz na ZeMarcopolo wameamua kurudi CDM baada ya kuona buku 7 haina thamani ya maisha ya watanzania wewe bado unahangaika lumumba?
Tutamkata mapembe mchochezi mkubwa.huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
Kamkamate wewe.
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
Iwapo mnadhani ni Dr Slaa amehamasisha wananchi wa Mtwara nao waka-react kiasi hicho basi Dr Slaa ni jembe, ni tishio... anafaa!!Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
Wewe ni maskini wa fikra...aina ya bacteria chafu ndani ya chakula!!
Kama huna cha kuchangia kaa kimya! Humu unajivua nguo kwa comments zako
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
Kwenu ni kilimanjaro??? Leo ndio unajifanya unawapenda wana mtwara kinafiki??? Sio nyie mnaosema kaskazini ijitenge??? Acha usanii wa kisiasa mkuuHebu wakuu tuwekeni ushabiki wa vyama pembeni kisha tusaidine jibu la swali hili; Hivi ni kwa nini serikali toka uhuru haikujikita katika kuleta maendeleo nchini kwa kuzingatia usawa katika mikoa yote,wilaya zote na kanda zote! kinyume chake baadhi ya mikoa waliiendeleza zaidi ya mingine? Nimejaribu kufanya tathmini ya mitaa iliyo mingi Mtwara mjini; nyumba zake zina hadhi duni kuliko hata nyumba za kijijini kwetu huko pembezoni kabisa mwa mkoa mmoja hivi hapa hapa Tanzania.Kwa nini hii ilikuwa na iko hivi?
laana kutoka kwa nani..?
Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
Povu la nini we gamba? Iwapo unawashwa si uende mahakamani??? unamtaka nani akukamatie?kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
hahahaaaahuyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
Kumbe huyu ni kilema wa arusha mjini ee??? Anayafanya halafu anakimbilia kwenye media kuchafua wengine, angepataje ushahidi aliotakiwa kupeleka bungeni??Nawewe niwakukamatwa mbona ulilipua watu kanisani kule arusha. Nawewe tunakutafuta.
kwa ushabiki wa namna hii wala hatuwezi kufika popote.kwenu ni kilimanjaro??? Leo ndio unajifanya unawapenda wana mtwara kinafiki??? Sio nyie mnaosema kaskazini ijitenge??? Acha usanii wa kisiasa mkuu
hahahaaaa
kweli sarah alikua sahihi kusema ficha upumbavu wako..
Hivi dini ni nini??
uaidlifu ni nini?
kujitenga na mungu ni kupi??
uovu ndani ya kanisa ni upi hasa??
nadhani kakasamu umepotea