Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.

Usihukumu usije ukahukumiwa. Kipimo upimacho ndicho utapimiwa.
 
Bora umenipa link hii

Ngoja nimalizie kazi ya mkoloni afu nipitie, najua nitapata kitu

Tena usome kabisa hiyo Gas Final Report ambayo serikali iliomba ushauri, wakashauriwa tena mwezi wa pili mwaka huu kuwashirikisha wananchi katika suala zima la gesi, lakini bado wanatumia "carrots and sticks" approach.

Kama na wewe kilugha hakipandi, basi nimetasfsiri yale mapendekezo ya muhimu sana hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...na-bunge-mnayakumbuka-haya-2.html#post6421968

Pia kwa taarifa tuna member mpya humu na jina lake ni Wizara ya Nishati na Madini.
 
Last edited by a moderator:
Rais Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na matukio yanayotokea sasa nchini.
 
laana kutoka kwa nani..?

Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko
kura za zanzibar waligawana na cuf,idadi ya watu wa mikoa ya mwambao combined ni sawa na idadi ya wakazi wa mwanza.jk ana asili ya wizi kakiri mwenyewe alikuwa anaiba ubwabwa jeshini
 
Hao wa serikalini ndio wenye jukumu la kutumikia wananchi wao, na inapaswa watu wa aina ya Slaa waheshimu mamlaka ya nchi na waache kabisa kuchochea wananchi na matamko yao kama ili alilotoa juzi kuhusu sakata la gesi Mtawara.

Ukisema kuwa Dr.Slaa anachochea wananchi kupinga gesi kupelekwa bagamoyo....ni wazi dhahiri unamaanisha kuwa Rais sio kiongozi wa wananchi....kwa sababu moja ya sifa ya kuwa kiongozi wa nchi ni kukubalika kwa walio wengi....kukutii na kukusikiliza hata kuhamasika na yale unayowashauri kufanya!
 
Unajipofusha na kuziba masikio kwa pamba ee??? Kuiba mke wa mtu na kuvunja ndoa, kuasi kanisa na kula pesa za ujio wa papa huku ukijiita padre kwako ni mazuri hayo??

hayo pia yapo Mtwara???

chekicheki, waweza kuta jamaa keshakula na mkeo wewe unapiga keyboarding humu
 
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.

Na JK ni janga lipi au la dunia. Hahahaha umevaa miwani ya mbao
 
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
Kwaani inatawalikaa ile ilikuwa laana kutoka kwa Ndesa Pesa...
 
hyaya ni mawazo mfu yaliyokosa uhai wa dhati,mbona hujaongelea chama kinachochea vurugu na kupanga mauaji kinauhalali gani wa kuendelea kuwa chama cha siasa.

unamaanisha ccm?maana waziri membe ametajwa kuhusika na vurugu.
 
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.

Mna poliCCM, JWTZ, TISS, Magereza, Mgambo, Wapambe, Mashushu na pesa za kifisadi kwa nini mnashindwa kumkamata Dr. Slaa na kubaki kutoa kauli nyepesi nyepesi kila kukicha ?
 
Naona akili zako hazina tofauti na Wassira zee la kulalala bungeni na kusema uongo. Muwache rais wetu Dr.W.Slaa atulie. Muda wenu ukifika wa kujielezea, mafisadi wote mtaozeana Jela tukianzia na huyu Kikwete na Mkapa.

Subirini Dr.W.Slaa aingie rasmi Magogoni kama hamjaikimbia hii nchi, na tutawafuata popote mlipo na account zenu zote za nje zitafungwa. Hiyo siku inakuja na haipo mbali


hahahaha mikwara mingii kama walivyo pro cdm wenzako JF they are nothing rather than keyboard warriors mna sound tough behind keybord


KeyboardWarriors.jpg


 
Kwa taarifa niliyonayo kutoka kwa mmoja wa wakurugenzi wa kitengo fulani ndani ya TISS, JK alijua, alitambua, alielewa na kukubali kuwa Dr. Slaa alikuwa ameshinda ule uchaguzi 2010. LAKINI watu wa TISS pamoja na baadhi ya mawaziri kwenye Wizara zilizokuwa zinahusika na usalama wa nchi kwa njia moja au nyingine walimlazimisha/shinikiza JK kuendelea kusimama huku TISS wakifanya faulo za ajabu kuiba kura na kuchezea matokeo. JK kwa kinywa chake alitamka kuwa AMECHOKA huku TISS wakimjibu "NO WAY".

Siku ya siku someone from TISS will come out na kumwaga hiki nilichoandika hapa. Najua nitabezwa lakini ukweli utabaki palepale kuwa JK yuko hapo kwa kushinikizwa tu.
 
Kwenye elimu anayosema Dr.Slaa hana maana kuwa Wanamtwara hawajaelimika bali anasema serikali itoe elimu
Unajichanganya!

Ukisema watu wapewe elimu kuhusu x, y, z maana yake hawana elimu ya x, y na z.

Slaa kasema serikali itupe Wananchi elimu ya haki yetu, maana yake, anaamini, wananchi hatuna elimu ya haki zetu.

Which is nothing short of ridiculous, watu wanakufa wakidai haki ya rasilimali zao huwezi kusema hawana elimu ya haki zao!
 
Katika watu ambao wakisikia jina Slaa nyongo zinawatoka ni pamoja na wewe....Pole

sijui huyu njiwa alikuwa wapi huyu ... nadhani alikuwa aningia humu kwa id ile ya ze makopolo.....

Ni kweli mkuu, hawa watu wakisikia hilo jina wanapata pressure
 
Last edited by a moderator:
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na matukio yanayotokea sasa nchini.

Alisema hali inayotokea sasa ni matokeo ya wananchi kupuuzwa na kutokusikilizwa katika suala zima la uwekezaji unaofanyika sehemu mbalimbali za nchi. Dk. Slaa alitoa kauli hiyo jana katika kijiji cha Giroda Babati vijijini, wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika ziara yake ya siku tisa ya ujenzi wa Chama mkoani Manyara.

Kabla ya kutoa kauli hiyo Dk. Slaa aliwaomba wananchi wasimame kwa muda wa dakika moja, kuomboleza vifo vilivyotokea mkoani Mtwara.

Aliongeza kuwa kuendelea kuwapuuza wananchi wa Mtwara ni kuendelea kucheza na jipu linalopaswa kutumbuliwa na kwamba njia sahihi ni kukaa na kuwasililiza wananchi katika uwekezaji na kufikia muafaka pasipo kutumia nguvu. Alisema wanachotaka wananchi wa Mtwara ni kujua namna watakavyonufaika kwa kile alichoeleza kuwa katika uwekezaji wowote wanufaikaji wa kwanza wanapaswa kuwa wananchi.

Alisisitiza kuwa katika hali ya Mtwara kulihitajika busara za kawaida za kutatua msingi wa tatizo badala ya wananchi kupigwa mabomu, risasi na kisha kukamatwa.

“Ni jambo la aibu kuwapiga mabomu wananchi wanaodai kunufaika na rasilimali za nchi yao hapa kunahitajika elimu ya kuwafahamisha haki zao ni zipi na siyo mabomu.,alisema Dr Slaa.

Source:Tanzania Daima.

Nashangaa sana kiongozi anapotaka hekima kutoka serikalini huku akikwepa kushauri wananchi wawe na hekima pia. Watu wanavunja madaraja, wanachoma nyumba za polisi, wanachoma nyumba za waandishi wa habari, wanachoma nyumba za wabunge na mawaziri, wanachoma nyumba na ofisi za vyama, wanachoma mahakama, wanachoma magari, wanachoma ofisi za serikali, wanamiliki mabomu ya kienyeji, wanaharibu miundo mbinu, bado unataka wabembelezwe, wanyenyekewe kama yai.
 
laana kutoka kwa nani..?

Hivi bado mnadhani slaa alishinda ... Znz kura hazikutosha.. Miji ya pwani hana umaarufu.. Labda kaskazini huko

Slaa alishinda kwa kishindo ushahidi upo ipo siku utawekwa hapa jukwaani kwa tawkimu,. Slaa alitumia busara sana kutokuwaamuru wapiga kura wadai kura zao zlizozoibiwa kwa ushirikiano wa tiss na nec!!huyu ni daktari wa ukweli anaweka sana utaifa mbele!
 
na bado suala la katiba mpya JK atajuta kuwa rais wa Tanzania aka mr fastjet,mzaramu yake ngoma uongonzi atauweza wapi,ndio maana mwalimu NYERERE alikuwa ataki huyu mr BOY2MEN awe rais
 
Back
Top Bottom