Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

Ni wepi sasa kati ya viongozi wa serikali na wa vya upinzani walioshiwa? Umetoa mfano wa mmoja wao tu kati ya wengi waliopo bila ulinganifu wowote. Kwa sisi wananchi viongozi wetu wa kwanza (Primary) ni wa serikali. wengine ni nafasi ya pili (Secondary) ambao nafasi yao kijamii ni ndogo sana.
 
Kuna watu walitaka kauli za Mbowe na Slaa, sasa wamezipata, wanaanza kuporomosha matusi badala ya kuchangia kwa ustaarabu!
 
Ni wepi sasa kati ya viongozi wa serikali na wa vya upinzani walioshiwa? Umetoa mfano wa mmoja wao tu kati ya wengi waliopo bila ulinganifu wowote. Kwa sisi wananchi viongozi wetu wa kwanza (Primary) ni wa serikali. wengine ni nafasi ya pili (Secondary) ambao nafasi yao kijamii ni ndogo sana.

Hao wa serikalini ndio wenye jukumu la kutumikia wananchi wao, na inapaswa watu wa aina ya Slaa waheshimu mamlaka ya nchi na waache kabisa kuchochea wananchi na matamko yao kama ili alilotoa juzi kuhusu sakata la gesi Mtawara.
 
Rais wa JMT Dr.W.Slaa Mungu mwema azidi kukulinda, Maana ww ndio mkombozi wetu wa kutetea wanyonge.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kuna viongozi kadha kwenye jamii zetu wameishiwa kabisa mawazo na hawana jipya kabisa, kutokana na hali hiyo wamebaki kujitutumua kwa kusikilizia matukio ili na wao waonekane bado wamo kumbe ni mfa maji haishi kutapatapa.

Viongozi hawa wanakaa kutwa nzima kuombea matukio kama haya ya kuatarisha amani ili tu na wao wajizolee umaarufu wa kisiasa na waonekane wapo upande wa wananchi, katika kutimiza azma yao hiyo wana hakikisha wana jenga chuki kati ya wananchi na viongozi wao.

Dr Slaa juzi hapa kwenye sakata la gesi huko Mtwara, badala ya kutoa kauli kama kiongozi tena wa chama kikubwa cha ushindani, ndio kwanza ana rudia ile kauli yake ya nchi haita tawalika. Huyu babu amedhihirisha kuishiwa mawazo mapya na anabaki kukukuruka tu kwa vitamko vyake visivyo na tija kwa taifa.

Dr Slaa kwenye sakata la gesi ukae kimya na uiache serikali iliyopo madarakani ambayo kimsingi ndio imeingia mkataba wa kulinda usalama wa wananchi na mali zao iweze kufanya kazi yake hiyo. Serikali hii ndio yenye jukumu la kusimamia raslimali za nchi na kuhakikisha zinafaidisha raia wote nchi hii.

Haya njoo huko Lumumba uchukue Posho yako ya siku kwa kazi nzuri na ukiendelea kukaza buti unawezakuchukuwa nafasi ya Nape
 
Binafsi sikubaliani na dhana ya wananchi kupuuzwa na kwenda kuharibu mali za wenzao ambao kuzipata kwao ni kwa kuunga unga na kuua watu wengine. DR. Slaa pia anahusika kutokana na kauli zake na za chama chake katika kutia utambi wananchi, lazima akumbuke nchi ni ya watu wote na atabeba dhamana katika kila jambo linalotokea leo. Kama watu wanabifu na JK basi wawaambie wakachome nyumba zake na si za raia wasio na hatia.

Dr. Slaa na baadhi ya wabunge wa chama chake hawahubiri amani na kuona vurugu ndio mtaji wao kisiasa, lazima wakumbuke wanaweza chukua nchi bila chokochoko wanazozileta wao na washirika wao. Tunawaona na kukiona mnachokifanya mkumbuke na nyinyi hamtokuwa salama pia kikichafuka.

Kama hausiki alipaswa kuyasema hayo hakiwa Mtwara na sio kwao huko wanapopikia mizengwe kila mara.

Hivi AMANI ipi ambayo Dr.Slaa unataka ahubiri ndugy yangu? Kama huna cha kuandika si unyamaze? Dr.amesema wanamtwara wasikilizwe na wapewe elimu na sio kuwapiga kwa mabomu wewe unasema ahubiri amani. Nini zaidi ya mazungumzo. Kwa hiyo wewe unaona mkupiga watu amabomu ndio njia ya amani. Basi kama hiyo ndiyo amani basi neno amani ni la kuonea aibu.

Halafu ndugu yangu pamoja na wenye mawazo kama wewe msiwe watumwa wa historia. Be flexible, dynamic and optimistic. Neno "nchi haitawaliki" lilitamkwa on contextual basis. The then prevailing circumstances dictated such remarks and there was as it still is nothing malicious about it. Bora anayekwambia ukweli leo ukiwa na madaraka kuliko anyekushangilia wakati ukiwa na madaraka na madaraka yakiisha anaaanza kukusimanga. Jenerali Ulimwengu amelisema sana kwamba he had the gusts and courage to call a spade a spade during Mkapa's era and eventually got himself in trouble. Lakini afadhali yeye kuliko waliomtukuza mfalme na kukataa kumwambia kuwa huu uchi ili kulinda maslahi yao lakini alipoondoka wakawa wa kwanza kumsimanga kwa majina mabaya na kutushia kufuta historia yake. Hivyo wanapoiambia serikali ukweli msichike wala msikuze tamk lao. Hawa ni afadhali kuliko wanalinda matumbo yao. Na tuwe wakweli ingekuwaje Tanzania bila watu jasiri kama Dr.Slaa? Pesa ya RADA ingekuwa kitendawili, EPA isingejulikana, Richmond, Buzwagi, Kiwira na yenye kufanana nayo visingejulikana na hatua kuchukuliwa though at snails' pace anda at low pace. Najua utakataa lakini historia ya Dr.Slaa na makamnda wengine hata walioko CCM itaandikwa. Kumbuka ujasiri wa Samweli Sita kumwambia Rais Kikwete kuwa wakati mwingine anahitaji kuwa mkali.

Kwa hiyo ndugu yangu give a credit where it's due. Dr.Slaa ana mchango wake na Kikwete anao mchango wake chanya katika mustakabali wa nchi yetu na ndio maana hatujapigana. Kunapokuwa na dalili za kuleta machafuko ni mazungumzo wala sio mabomu hata wanaolalmika wametumia force. Lakini mpaka kufikia hapo ina maana kilio chao hakijasilizwa. Lakini la msingi nisiandike gazeti acheni kukuza mambo. Kule kwetu huwa wanasema "usiseme nimeona mtumbwi badala ya kusema nimeona nyoka" Nyoka mwite nyoka lakini usimwite mtumbwi maana unakuwa umetia chumvi. Matukio mengi yannashirai kutoweka kwa amani na imani kwa vyombo vya ulinzi hususani polisi. Je yanatokana na kauli ya Slaa. Rejea vitendo haramu vilivyofanywa na polisi kuanzia kina Zomba, wizi wa mishahara ikisindikizwa na polisi hadi mishahara yao wenyewe, kubambika kesi, juzi kujaribu kumbambika mtu kichwa cha maiti, kusindikiza magendo ili kukwepa ushuru, kupakia bhangi kwenye gari la polisi na mengine mengi na sasa uone amani na imani viko wapi. Kuna mkono wa kauli ya Slaa?
 
Dk Slaa kisima cha busara na hekima tunamwamini sana na lazima atuongoze awamu ya tano!!!!!!!
 
Kwa hali ilivyo sasa hapa nchini, kuna viongozi kadha kwenye jamii zetu wameishiwa kabisa mawazo na hawana jipya kabisa, kutokana na hali hiyo wamebaki kujitutumua kwa kusikilizia matukio ili na wao waonekane bado wamo kumbe ni mfa maji haishi kutapatapa.

Viongozi hawa wanakaa kutwa nzima kuombea matukio kama haya ya kuatarisha amani ili tu na wao wajizolee umaarufu wa kisiasa na waonekane wapo upande wa wananchi, katika kutimiza azma yao hiyo wana hakikisha wana jenga chuki kati ya wananchi na viongozi wao.

Dr Slaa juzi hapa kwenye sakata la gesi huko Mtwara, badala ya kutoa kauli kama kiongozi tena wa chama kikubwa cha ushindani, ndio kwanza ana rudia ile kauli yake ya nchi haita tawalika. Huyu babu amedhihirisha kuishiwa mawazo mapya na anabaki kukukuruka tu kwa vitamko vyake visivyo na tija kwa taifa.

Dr Slaa kwenye sakata la gesi ukae kimya na uiache serikali iliyopo madarakani ambayo kimsingi ndio imeingia mkataba wa kulinda usalama wa wananchi na mali zao iweze kufanya kazi yake hiyo. Serikali hii ndio yenye jukumu la kusimamia raslimali za nchi na kuhakikisha zinafaidisha raia wote nchi hii.

Pasco na wewe una maneno mengi..Naona kwenye hii ID ya HAMY-D unajitahidi sana kumponda Dr Slaa na CHADEMA,Kwenye ID yako ya Pasco unabance mambo ya Chadema.Bado sijaelewa unawatumikia je wale maadui ,Six na EL.Tunakufatilia nyendo zako
 
Huwa nashindwa kuchangia maana kuna watu wana id zaidi ya tano we angalia hata comment zao.hivi unajisiaje unapochangia pumba pekeyako page nzima na kujijibu.hata kama umetumwa inachosha sana
 
Kweli Dr.Slaa amewakamata hadi inafikia hatua Lumumba kuajiri vijana wasiojua nini wanakifanya ni aibu sana.Kuna mtu akilala akisikia tu Dr.Slaa usingizi unaisha
 
Natamani ningekuwa na uwezo wa kufungua mioyo ya watu nione kama wasemalo ndilo lililo mioyoni mwao.

Wala huitaji kufungua mioyo yao. Unaweza kuwajua tuu kwa kuangalia threads wanazochangia.

Alichosema Dkt Slaa hakina tofauti na tunachohoji hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwete-muhongo-na-bunge-mnayakumbuka-haya.html

Mfano angalia posts kama hizi kwenye hii thread. Utanote wengi wameanza maneno "Huyu, Huu, Hiyo." In writing language this means a lot.

huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.

kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.

Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???

Huyu mzee kauli zake huwa ni kuongeza tatizo badala ya kutatua, kweli laana ya kuiba wake za watu ni mbaya sana

Hiyo ya kusimama dakika moja ni mbwembwe ya kisiasa tu, wizi mtupu....unatoa kauli tata na za kichochezi halafu unawahadaa watu eti wasimame dakika moja, mbona umeliasi kanisa??? Weka mbali na wake za watu

Huyu naye apunguze unafki kidogo,lakini ndiko kwenye siasa panamfaa, maana dini ilimshinda pinda alikwenda mtwara akaa nao na kufikia muafaka na rais ali adress issue hii kwa public through speech yake ya mwezi,sasa tunataka wafanye nini zaidi? Jk alisema kama kunakuwapuuza watu wa mtwara basi yeye atakuwa mtz wa mwisho kufanya hvyo. Huyu slaa aangalie sana kauli zake maana ikitokea bahati mbaya wakaingia ikulu watu wanataraji mabomba ya maziwa

Tatizo nyie vijana wa Bavicha mnapenda kuropoka sana kama kiongozi wenu Dr Slaa.Watu wanachoma nyumba za makazi ofisi magari polisi kuwadhibiti Dr Slaa unasema wamepuuzwa lakini watanzania wapenda amani wameishakushtukia toka aseme watahakikisha nchi aitatawalika tena.

Lakini waliondika haya hawajakanyaga kwenye hii thread: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwete-muhongo-na-bunge-mnayakumbuka-haya.html

Unafikiri ni kwa nini? Wengi watakuambia eti hizo ni thread za magriti thinka. Wao wanapenda zile nyepesi nyepesi za "huyu", "huyo", "yule", "nyie", na siyo "why", au "how".

Huitaji kisu wala shoka kupasua mioyo yao, ili kujua yaliyo mioyoni mwao. Their writing language tells everything.

Kama hujui kutumia writing language ya mtu kujua kama anachokisema ndicho anachokiami, inabidi uende kozi.
 
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.
hivi anayelindwa na majini na aliyeacha upadre, nani aliyejitenga na mungu?
 
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
uchochezi ni kuwapa watanzania elimu ya uraia, wa kukamatwa ili bidi kikwete kwa kuwarubuni wananchi wa mtwara kwa kuwahaidi maisha bora, na baadaye kuwapelekea polis wana mtwara kwenda kuwabaka wake zao na kuwaibia mali zao! Kikwete ni janga kwa taifa letu na ccm yake!
 
Akamatwe aliyepeleka askari wezi na vibaka huko Mtwara.akili ndogo haiwezi tawala akili kumwa kamwe.Najua wewe sio kosa lako ni njaa yako.kwani upo hapa kuandika ili watoto wako na wewe mwenyewe uweze kwenda choo.Sasa tunakuomba hili ni swala la Taifa sio Njaa yako.Na ni issue serious.siku laumu tena kwani wamekosea kukupa ajira kuja kuandika hapa kwani walitakiwa wakuintavyuu kwanza.pesa unazopewa ni ufisadi mwingine wa ccm.
 
Bora umenipa link hii

Ngoja nimalizie kazi ya mkoloni afu nipitie, najua nitapata kitu

Wala huitaji kufungua mioyo yao. Unaweza kuwajua tuu kwa kuangalia threads wanazochangia.

Alichosema Dkt Slaa hakina tofauti na tunachohoji hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwete-muhongo-na-bunge-mnayakumbuka-haya.html

Mfano angalia posts kama hizi kwenye hii thread. Utanote wengi wameanza maneno "Huyu, Huu, Hiyo." In writing language this means a lot.

Lakini waliondika haya hawajakanyaga kwenye hii thread: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kwete-muhongo-na-bunge-mnayakumbuka-haya.html

Unafikiri ni kwa nini? Wengi watakuambia eti hizo ni thread za magriti thinka. Wao wanapenda zile nyepesi nyepesi za "huyu", "huyo", "yule", "nyie", na siyo "why", au "how".

Huitaji kisu wala shoka kupasua mioyo yao, ili kujua yaliyo mioyoni mwao. Their writing language tells everything.

Kama hujui kutumia writing language ya mtu kujua kama anachokisema ndicho anachokiami, inabidi uende kozi.
 
Huu ni mtihani mwingine wa kifikra kwa slaa, hivi anadhani ataendelea kuwahadaa wananchi kupitia matatizo yao hadi lini??? Kwa hiyo anashangilia vifo vya askari na mali za umma zilizoharibiwa???
aliye haribu mtwara ni jk kwa kuwatuma polis kwenda kufanya ubakaji mtwara, na kuiba mali za wananchi! Kikwete ameshindwa kuongoza tanzania!
 
Pasco na wewe una maneno mengi..Naona kwenye hii ID ya HAMY-D unajitahidi sana kumponda Dr Slaa na CHADEMA,Kwenye ID yako ya Pasco unabance mambo ya Chadema.Bado sijaelewa unawatumikia je wale maadui ,Six na EL.Tunakufatilia nyendo zako

Huyo jaama kaamua kufanya mambo ya kitoto ya vijana wa Lumumba, ila hatusumbui kwa kuwa njaa imehamia kichwani mwake.
 
Back
Top Bottom