Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

Dr. Slaa ana matatizo ya kisaikolojia...

Kwanza karibu,
Mada ni vurugu za mtwara, hoja ni kwa nini watu wa mtwara wametelekezwa? Tatu, kwa nini mnaficha mikataba ya kuchimba gesi yao? Je, lini mtayaweka hadharani?
 
Kwa hiyo, yale majimbo waliyoshinda ccm pale moshi tuseme kuwa wanaccm walipigiwa kura na wakwere kwa kuwa akina kinabo na Kweka wako chadema wote.
Tuambie Kwa nini mmewasahau watu wa mtwara, ndo mada ya uzi huu.

Hivi kwa nini mnataka kuleta machafuko? Kwa nini Dr Slaa anasema atahakikisha nchi haitawaliki?

Kwa hiyo nyie watu wakaskazini ndiyo mnawakumbuka watu wa Mtwara?
 
Kwanza karibu,
Mada ni vurugu za mtwara, hoja ni kwa nini watu wa mtwara wametelekezwa? Tatu, kwa nini mnaficha mikataba ya kuchimba gesi yao? Je, lini mtayaweka hadharani?

Mbona unataka kuwapangia watu vitu vya kuongea hii ni forum acha watu wafunguke.
 
huyu mzee anahangaika tu amechoka kuchochea suala la kuchinja sasa kahamia kwingine,swali dogo hivi mzee slaa na jk nani aliyejitenga na mungu,kwa sababu mzee slaa aliasi dini na kufanya uovu mwingi ndani ya kanisa sasa uko wapi uadilifu wa slaa.

WEWE unahitaji msaada wa mambo 5 tu ili uwe huru nayo ni;

1.fikira pevu,

2.msimamo thabiti juu ya mambo ya kijamii yenye maslahi chanya kwa wazalendo.

3.upeo wa hekima na adabu,

4.kukataa roho y akukataliwa,

5.Kujifunza kwa bidii misingi ya haki,utu na demokrasia ya kweli.

TAFAKARI CHUKUWA HATUA.

Rais Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na matukio yanayotokea sasa nchini.
 
Hivi kwa nini mnataka kuleta machafuko? Kwa nini Dr Slaa anasema atahakikisha nchi haitawaliki?

Kwa hiyo nyie watu wakaskazini ndiyo mnawakumbuka watu wa Mtwara?

WEWE unahitaji msaada wa mambo 5 tu ili uwe huru nayo ni;

1.fikira pevu,

2.msimamo thabiti juu ya mambo ya kijamii yenye maslahi chanya kwa wazalendo.

3.upeo wa hekima na adabu,

4.kukataa roho y akukataliwa,

5.Kujifunza kwa bidii misingi ya haki,utu na demokrasia ya kweli.

TAFAKARI CHUKUWA HATUA.
 
Hizo kura laki 2 za znbar nazo unahesabu? Kwa taarifa yako jk aliiba kura zaidi ya million moja. Mimi naamini siri itafichuka tu huko tuendako.
Jenerali Ulimwengu aliuliza hili swali pale Movenpic kama kuna aliyekuwa na idadi ya kura za urais kwa kila jimbo kila mtu kimya! Kweli labda ua unaweza kufichua makubwa
 
Parochial thinking and arguing at the dimension of your nose. Kwanza unalazimisha timing na tamko la nchi haitawaliki ili ukidhi matakwa yako ambayo nachelea kuyahita devilish. Kuenedelea kugangania kauli ya nchi haitawaliki ni kutaka kuficha udhaifu wa serikali unaoonekana mchana kweupe. Kauli hiyo ndiyo inafanya polisi wambambike mtu kichwa cha mtu, wapakie bhangi kwa gari la polisi/umma, washiriki kusindikiza bidhaa ya magendo ili kukwepa kodi, wapige watu wasio kuwa na hatia virungu na mabomu? Nguvu nyingi ya vyombo vya dola inatumika katika vitu vya ajabu badala ya kutumi elimu, ethics na skills kulinda usalama wa raia. Nimesahau utoshwaji wa twiga na meno ya ndovu. Hii yote ni kauli ya Dr.Slaa? Kama ni kweli basi nchi hii haipaswi kuwepo

I could not agree with you more
 
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema Rais Jakaya Kikwete anapaswa kuomba hekima kwa Mwenyezi Mungu kutokana na matukio yanayotokea sasa nchini.

Alisema hali inayotokea sasa ni matokeo ya wananchi kupuuzwa na kutokusikilizwa katika suala zima la uwekezaji unaofanyika sehemu mbalimbali za nchi. Dk. Slaa alitoa kauli hiyo jana katika kijiji cha Giroda Babati vijijini, wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika ziara yake ya siku tisa ya ujenzi wa Chama mkoani Manyara.

Kabla ya kutoa kauli hiyo Dk. Slaa aliwaomba wananchi wasimame kwa muda wa dakika moja, kuomboleza vifo vilivyotokea mkoani Mtwara.

Aliongeza kuwa kuendelea kuwapuuza wananchi wa Mtwara ni kuendelea kucheza na jipu linalopaswa kutumbuliwa na kwamba njia sahihi ni kukaa na kuwasililiza wananchi katika uwekezaji na kufikia muafaka pasipo kutumia nguvu. Alisema wanachotaka wananchi wa Mtwara ni kujua namna watakavyonufaika kwa kile alichoeleza kuwa katika uwekezaji wowote wanufaikaji wa kwanza wanapaswa kuwa wananchi.

Alisisitiza kuwa katika hali ya Mtwara kulihitajika busara za kawaida za kutatua msingi wa tatizo badala ya wananchi kupigwa mabomu, risasi na kisha kukamatwa.

“Ni jambo la aibu kuwapiga mabomu wananchi wanaodai kunufaika na rasilimali za nchi yao hapa kunahitajika elimu ya kuwafahamisha haki zao ni zipi na siyo mabomu.,alisema Dr Slaa.

Source:Tanzania Daima.
Ni jambo la busara wananchi kuchoma ofisi na nyumba za watu ili kudai kunufaika na rasilimali za nchi yao; hapa kunahitajika elimu kwa serikali kutowazuia wananchi kuchoma nyumba na ofisi za watu. < MAKUBWA HAYA DAAAH>
 
Mbona unataka kuwapangia watu vitu vya kuongea hii ni forum acha watu wafunguke.

Hata kama ni forum kuna utaratibu wa kufuata, huwezi kuleta michezo, mzaha au uchumi hapa, kuna majukwaa mengine humu.
Pili, hapa kuna mada kuhusu Mtwara na mada siyo mtu aliyetoa maoni yake. Swali la msingi ni kwa nini serikali imewatelekeza watu wa mtwara na kuwafichia mikataba ya uchimbaji wa gesi iliyoka ktk ardhi yao? Sasa hawajui watafaidikaje kwa kuwa mikataba ni siri ya jk na mawaziri wake. Je, hii ni sahihi?.
 
Jenerali Ulimwengu aliuliza hili swali pale Movenpic kama kuna aliyekuwa na idadi ya kula za urais kwa kila jimbo kila mtu kimya! Kweli labda ua unaweza kufichua makubwa

Siku hiyo nilikuwepo, watu watu wote walikaa kimya kama wamemwagiwa maji. Hiyo ni siri kubwa ya JK na tume yake ya uchaguzi.
 
WEWE unahitaji msaada wa mambo 5 tu ili uwe huru nayo ni;

1.fikira pevu,

2.msimamo thabiti juu ya mambo ya kijamii yenye maslahi chanya kwa wazalendo.

3.upeo wa hekima na adabu,

4.kukataa roho y akukataliwa,

5.Kujifunza kwa bidii misingi ya haki,utu na demokrasia ya kweli.

TAFAKARI CHUKUWA HATUA.

Nakushauri huo msaada wako wapelekee Bavicha.
 
sina dini ila namwamini mungu mmoja wangapi mnaenda kanisani na misitini halafu waovu wakubwa.

Afadhali wao wanaenda wanapata neno/maneno ya uzima japo ni waovu kuliko wanaojidai hawaendi na muda ambao wangeenda wangeutumia vilivyo kuliko kukaa chini na kutengeneza uongo. Idle mind is the house of the devil because instead of thinking and delivering a friendly and constructive message, one will impose something to someone as long as it suits one's devilish and malicious intentions instead of forging reliable and viable solution
 
Kwa hiyo watu wasiokuwa watumishi wa kanisa au misikiti wamejitenga na mungu? ushauri wa Dr ndio suluhisho la kidiplomasia na si risasii..listen them! Kuwe na transparency kwenye mikataba watu waelewe faida zake...simple! USHIRIKISHAJI UMMA-Maendeleo kwa kila mtu!
au umesahau Mtwar wengi ni CUF na slogan yao inasema HAKI SAWA KWA KILA MTU!!

Mkuu kwani mijitu hii inaelewa basi!
 
WEWE unahitaji msaada wa mambo 5 tu ili uwe huru nayo ni;

1.fikira pevu,

2.msimamo thabiti juu ya mambo ya kijamii yenye maslahi chanya kwa wazalendo.

3.upeo wa hekima na adabu,

4.kukataa roho y akukataliwa,

5.Kujifunza kwa bidii misingi ya haki,utu na demokrasia ya kweli.

TAFAKARI CHUKUWA HATUA.

Penye red umeficha kitu kuhusu Ritz, sijaelewa.
 
Nadhani ni vyema 2015 tukamchagua Dr. Slaa tuone hao wananchi wanataka kuwaelewaje. Jana niliweka wazi kuhusu kiini cha swala la mtwara Dr. Slaa anadandia treni bila kujua inaenda wapi kama vile anatengeneza kipindi na Mr. Bean. Huyu Mzee anapaswa kufanya na kuongea vitu kama Rais Mtarajiwa na siyo kukurupuka na kutoa maneno as if hana washauri.

Ushauri wangu swala la kitaifa halina siasa. Kama ni umaarufu wa kisiasa asubiri aingie madarakani afukuze polisi na usalama wa taifa wote aanze kusuka upya nchi hii kwa kadiri anavyowaza yeye na Chama chake maana kwake wale wote wasiounga mkono chama chake siyo watanzania. Aweke mikataba yote wazi, awaondoe mabeberu na kuwanyonga mafisadi wote wa ukweli na wanaotokana na siasa.
 
Hivi kwa nini mnataka kuleta machafuko? Kwa nini Dr Slaa anasema atahakikisha nchi haitawaliki?

Kwa hiyo nyie watu wakaskazini ndiyo mnawakumbuka watu wa Mtwara?

Hivi kwa maoni yako, kwa nini JK na serikali yake hawataki kuonesha mikataba ya uchimbaji gesi kwa watu wa mtwara na wabunge? Hili ndilo linalosababisha vurugu. Je, ni sawa?
 
Nakushauri huo msaada wako wapelekee Bavicha.

Ritz, Kanda ya Ziwa wana msemo kuwa kuwa nyani alijampia jiwe na mwisho kiliambia "hata kama umekaa kimya umeuamia".Same implies to you. The 5 points stated ingawa umezijibu with one uncorrelative sentence umekuwa touched as the respective points are quite informative
 
Back
Top Bottom