sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,895
- 5,308
kwanza anatakiwa akamatwe kwa uchochezi na kauli mbiu zake za uchochezi mfano nchi haitatawalika,mpaka kieleweke.slaa ni janga la kitaifa.
Mkuu kuna uzi humu jamvini unaelezea jinsi membe alivyo nyuma ya huu mtanange huko mtwara vp yeye hatakiwi kukamatwa kwa uchochezi?