Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Sasa kazi ni moja tu nayo ni kumnadi mgombea huyu makini. Kampeni mbele kwa mbele: mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda - mpaka kieleweke mwaka huu. Hongera Dr. Slaa! Tuko nawe.

Babuyao, kampeni peke yake haitoshi, kazi kubwa ni kuzilinda kura kama karatu na Tarime wafanyavyo, vinginevyo bado ushindi wa kishindo kwa CCM uko palepale. tunahitaji mawakala wazalendo na ikiwizekana watoke Tarime, Karatu, Pemba na Kigoma maana huko inaonekana kweli wana uchungu na Mageuzi.

Tukiendelea kuwatumia hawa wa aina ya 2005 wachumia Tumbo bado tutagalagazwa hii ni angalizo tu.
 
Hatujachelewa. Lipumba aende Sikonge au jimbo lolote analoona atashinda ili tuunganishe nguvu!

Nakuunga mkono kabisa. Kwa sasa Lipumba kugombea Urais ni sawa na beki wa timu kugeuka na kuanza kuwakaba wenzake. Maana Lipumba hata iweje hawezi hata kupata nusu ya kura alizozipata mwaka jana. Ni bora ajitoe na atangaze kumuunga mkono Dr. Slaa.

Kusema ukweli nina matumaini makubwa sana na Dr Slaa, pengine kwa kupita kwake imekuwa ni hamasa kwangu kwenda kupiga kura, manake nilishapanga kutokupiga kura mwaka huu kwa kuwa siona wa kumpigia. Sasa nimemwona!

Nitapiga kura.
 
Tatizo la upinzani, pamoja na Dr. Slaa kukubalika kwa sasa bado vyama vingine vitasimamisha wagombea, hili linanipa taabu sana

Hilo la vyama vingine kusimamisha wagombea ni propaganda za ccm tu ..... katika upinzani wa kisiasa, bila kujali idadi ya wagombea, mgombea bora hushinda (hutakiwa kushinda) katika chaguzi huru na za haki
 
Nimefarijika sana kusikia habari hizi njema! Ninaamini ukombozi wa mtanzania upo jirani. Muda wa mabadiliko ni sasa. Ni muhimu wote tukajiunga na kuwa sehemu ya mabadiliko hayo.

Misemo ya kukatishana tamaa kuwa haiwezekani, kama vile CCM wamesaini mkataba na wananchi haina nafasi kwa sasa. Sasa ni wakati wa wananchi kuchagua maendeleo au kuchagua umaskini ambao umetawala toka enzi na enzi.

Nimehakiki kikadi changu cha kupigia kura nimegundua kuwa ninacho. Hata hivyo kura yangu pekee haitoshi. Tuwahamasishe watu wote mabibi na mabwana, mijini na mashambani, ikiwezekana kwa kufunga safari kwenda sehemu ambazo babu zetu wapo, tuwaambie ukweli huu, na tumaini jipya linalokuja.

Ujumbe huu ukifika kote, ninaamini hizo kura zitatosha tu. Hongera Dr. Slaa, muda wa mabadiliko ni huu, kwa kuwa wewe umeanza mimi nipo nyuma yako, pamoja na wote wanaoitakia nchi hii mem
a.
 
Mimi sikuamini nilidhani ni utani!!!! Lakini nimepiga simu nimeongea na mmoja wao, ni kweli ni kweli. Ukombozi umefika! Kura za JF ni nyingi lakini maskini wengi mlio nje hamtaweza kupiga kura....kazi ni moja kwenda vijiini na kutoa somo.

Hongereni CHADEMA kwa kutuletea tunu hii
 
Ooops, I still cant believe it! Just imagine, sijawahi kupiga kura toka tupate uhuhru, 1961 lakini sasa naona nikikisogelea sanduku la kura, najiona nikikunja kile kikaratasi cha kura na najiona nikikitumbukiza kwenye kile kisanduku cha Dr. Slaa! Kweli Mungu Mkubwa, sikutegemea kupiga kura maishani, siyo hapa nchini Tanzania - nchi yangu ninayoipenda !

Asante Dr. Slaa kwa kukubali ombi letu na hasa ombi langu - the flicker of light that was at the far end of a long and dark tunnel, is now so close I can feel its warmth, what a miracle !
 
Msisahau kutuma neno CHADEMA kwenda 15710. Ndo hongera zetu zitaimarika.

CHADEMA makao makuu, mnaweza kubandika account maalumu ya kuchangia chama?
 
Mbona nimesubiri tbc kutangaza wala sijaona?

Mkubwa
Sio wewe peke yako. Hata mimi nilikuwa nategemea waseme kitu fulani. Sio TBC tu, hata ITV kimya. Wanaogopa reaction ya boss wao?

Wananchi ndio wenye nchi; na watashinda tu. Zilikuwepo dola za kirumi na zikaanguka; sembuse hii CCM ya waswahili wa pwani, ya mipasho?
 
Tungekuwa na tume halali basi Slaa angekuwa preseident kwa sababu tume ni mamluki hata akishunda hawatamtangaza mshindi
 
Mkubwa
Sio wewe peke yako. Hata mimi nilikuwa nategemea waseme kitu fulani. Sio TBC tu, hata ITV kimya. Wanaogopa reaction ya boss wao?

Wananchi ndio wenye nchi; na watashinda tu. Zilikuwepo dola za kirumi na zikaanguka; sembuse hii CCM ya waswahili wa pwani, ya mipasho?
Kama hata vyombo vya habari vinaogopa kutangaza habari hii, basi yaonekana mgombea huyu anatisha kama nini. Duh!
 
Binafsi namfagilia sana Dr. Slaa.
Suala la kukaa kijiweni halipo wakuu!!
Msishangae huyu jamaa akawa rais wetu.
Hata mimi nilikua siamini kama walivyo wengi lakini kwasasa ninaamini kwa asilimia nyingi tu.
Kikwete lazima tumngoe round hii.
wafanyakazi wote tupigeni kura jameni.
Kura yako moja ndo italeta mabadiliko nchini.
nina sababu nyingi sana za kumkubali huyu jamaa.
1. The guy ana machungu na rasili mali zetu
2. He is the pioneer behind the fight of ''mafisadi''
3.
4.
5.

1. The guy ana machungu na rasili mali zetu
2. He is the pioneer behind the fight of ''mafisadi''
3. He practices what he says
4.
 
Jamani kama hii habari ni ya kweli naona saa ya ukombozi ni sasa, msituangushe jamani wapiga kura, let's all go for Slaa!
 
kamalaika
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateFri Mar 2007
Posts8
Thanks : 6
Thanked 6 Times in 3 Posts

Nakubaliana na wewe. These people will never learn. Dr. Slaa, Mbowe wanahitajika sana bungeni kwa sasa.
Kutangaza nia kwa Dr. Slaa kumewaamusha wengi, kamalaika toka March 2007 hii ndiyo post yake ya 8, leo imebidi aseme yaliyo moyoni, 'Bubu ataka kusema' si mchezo,

lakini kamalaika ujue pamoja na Dr kutogombea ubunge mchango atakaotoa si mdogo, na timu ya Chadema itakayoongozwa na kamanda wa anga Mbowe kwenda bungeni inatisha kuna kina Zitto Rwakatare Mdee Mnyika Tundu Lissu na wengine na wengine na.....ni hatari tupu.
 
Nakubaliana na wewe. These people will never learn. Dr. Slaa, Mbowe wanahitajika sana bungeni kwa sasa.

kamalaika
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Fri Mar 2007
Posts 8 Thanks : 6
Thanked 6 Times in 3 Posts
Rep Power 0
Kweli Dr. Slaa ni kiboko, kamtoa hadi nyoka pangoni. Karibu kamalaika :)
 
Tatizo la upinzani, pamoja na Dr. Slaa kukubalika kwa sasa bado vyama vingine vitasimamisha wagombea, hili linanipa taabu sana

Strategically, hakuna chama kinachoweza kushinda nafasi nyingi za ubunge kama hakita simamisha mgombea urais kwa sababu zifuatazo:

1. Mgombea urais aliye popular kama Dr. Slaa anakuwa ni national campaigning figure kwa wabunge wote na madiwani kila sehemu anapotembelea kupiga campaign

2. Kwa kusimamisha mgombea urais inawapa moyo wapiga kura ambao wamekata tamaa na system nzima ya uchaguzi utawala wa CCM, na kuhamasika kupiga kura kwa wingi kwa mgombea urais mbadala na timu yake

3. Kwa kusimamisha mgombea urais local politics mnazi nationalise na kukuza enthusiasm au hamasa kwa mashabiki wenu na wale wote wanaopenda mabadiliko kupitia chama wanachoona kinawafaa. Hili huongeza kura za chama husika na kuwa na national strategy ya kuhakikisha ushindi.

Unapokuwa hauna mgombea urais wananchi wanaona hakuna umuhimu wa kuwapigia kura wabunge ambao hawatakuwa na nguvu from the top (rais) na hivyo kuamua kukaa nyumbani tu. Ukweli ni kwamba CCM haipo katika position ya kukubali matokeo yoyote ambayo hayatampatia ushindi mgombea wao wa urais, (remember, 1995, Ali Ameir alipogomea initial tallies zilizoonesha Seif Sharif Kashinda, kabla hawaja binua meza ya kuhesabia kura na kuja na matokeo yao wenyewe yaliyompa Salmin edge ya 1.2% kama sijasahau?) na baadae kuitoa kafara DTV kwa faini ya shs milioni moja kwa kutangaza matokeo ambayo tume ilikuwa haijayathibitisha?. Kwa style hii ni kwamba Dr. Slaa amesha kuwa sacrificial ya kupata wabunge wengi kwa kuu forgo wa kwake ila kama uchaguzi utakuwa free and fair anaweza kushinda kwa kishindo!
 
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema kwamba Dk. Slaa ndiye mgombea urais wa Chadema mwaka 2010.

9036dj.jpg

Kikao kilichomchagua Dr. Slaa kuwa mgombea urais wa CHADEMA

More to come

Amechemka sana. Kuliko wakati wowote. Au wamemfanyia uhuni wenzake. Basi hata Bunge limeisha utamu wake. I will mis him.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom