Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Halisi, Jul 20, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema kwamba Dk. Slaa ndiye mgombea urais wa Chadema mwaka 2010.

  [​IMG]
  Kikao kilichomchagua Dr. Slaa kuwa mgombea urais wa CHADEMA

  More to come
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  eeeeeh!!!
   
 3. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  unasemaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....
   
 4. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Bora angegombea Ubunge ingelipa!!!!
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dr. Slaa ni Member nadhani atakuja hapa kuelezea mikakati na nini kifanyike ili CCM ipate tabu katika huu Uchaguzi
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Nime i delete kwa sababu imekuwa by passed by events.
   
 7. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Itampa fursa ya kuijenga Chadema lakini sio ushindi wa kiti husika
   
 8. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Amejiandaaje kukaa miaka mitano kijiweni, simshauri kwa kuwa atapunguza msisimko bungeni
   
 9. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wow, hii itakuwa bad news kwa CCM
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Du!,
  Nimepata tetesi sasahivi wanamuandaa Prof. Mwesiga Beregu!. Kama kweli ni Dr. Slaa, CCM ikubali isikubali, JK mwaka huu, kazi anayo.
   
 11. T

  The Informer Senior Member

  #11
  Jul 20, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zilizopatikana hivi sasa ni kuwa Dk. Wilbrod Slaa ndiye mgombea Urais wa Chadema 2010. Tanzania imepata mkombozi!
   
 12. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #12
  Jul 20, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mkuu, it's Slaa...
   
 13. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  source plzz!
   
 14. LUSAJO L.M.

  LUSAJO L.M. JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 223
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hizi ni habari njema kwa upinzani na si njema sana kwa Chama Tawala. Nadhani uchaguzi huu utawa na ushindani wa ukweli. Bravo kwa Chadema kwa uteuzi huo makini.

  Husiana na kupunguza msisimko wa Upinzani bungeni sidhani kama hilo litatokea maana ninaamini kwamba Bunge linalokuja baada ya Uchaguzi litakuwa ni Bunge lenye upinzani wa hali ya juu sana. Muda wa Mabadiliko ni huu umewadia.
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  dah!
   
 16. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kulipa nini mkuu? This is not a bussiness na Nimjuavyo Dr. W Slaa haangalii sana Maslahi yake Binafsi bali anaangalia Maslahi ya Taifa zaidi, so CHADEMA needs a strong presedentila candidates ili wawe na Wabunge wa kutosha. Na Dr. Slaa is the right candidate

  Go Slaa
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Well - nilikuwa bado na "hang-over" ya JackD lakini sasa najisikia nafuu

  This might not necessarily mean kuwa Dr Slaa atakuwa the next President But at least some voters have got "a person" to vote for kwenye presidential position.
   
 18. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kwa mara ya kwanza leo amevaa MAGWANDA (combat) ya chadema
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,563
  Likes Received: 18,294
  Trophy Points: 280
  Asante, na ile post yangu nimeshaidelete
   
 20. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa anatufaa kila mtu kwa nafasi yake awe mpiga debe wake
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...