asante sana,mnatusaidia sana kuweka wazi wafuasi wa hiki chama ni watu wa aina gani.Mlikuwa mnapinga kwamba ni propaganda za ccm.Endeleeni kutoa ushuhuda.Na mwingine aje jamani
godlisten nikufundishe kitu
kwanza hongera kwa taarifa
vita vyetu si juu ya damu na nyama
--watapiganaaaaaaaaaaaa lakini awatashindaaaaaaaa
--Mungu awasimamie so wewe kama wewe hata uitaji kwenda huko simama na NENO LA MUNGU ATAWATOA
nimeona mimi hili live....tena hapo central wakati nikiwa natafuta leseni nikazungushwa na wengi sana
wengine wanataka hela ndefu kama wananunua ikulu nikamwomba mungu nikasima na kumuitisha kuanzia rto na wengine wote wawe chini yangu nitakapofika nakuhakikishia nimefika kwa inspector mmoja aliposhindwana na mimi kwenye mahesabu akaniambia nenda kwa rto..kumbe ananipa green light nilipofika nikawakuta kama watu 4 alipokuja kutoka nje akamuuliza kamama kamoja secretary wake hawa wanashida gani mnawajaza hapa ovyo wakasema leseni akatuita wote akatuambia ni nii ni zaidi tukamwambia nakwambia yule baba alichukua karatasi akaomba majina yetu na kuttuliza wewe unataka leseni gani .d.e. kila mtu akataja anayoitaji...akaandika notice twende kwa inspector fulan akatupe leseni tulipofika karatasi nampa inspector alienitolea nje kunipa leseni tena kwa pesa akakuta memo wapeni haraka sana leseni na mwisho akaandika marufuku kuleta watu ofisini mwangu hii siyo sehemu ya kutolea leseni mungu ambariki sana ...nikatoa docs zangu nikaja baada ya siku 4 ...yule inspector akuamini kilichotokea labda nikupe ushuhuda zaidi leo ni mzee wa kanisa ninalosali huyo inspector
na aliletwa na rafiki wa mkewe akaleta ffamilia nzima..so swala sio kuwatoa swala ni kujua mamlaka tulionayo hapa dunian wish ningewaambukiza kila mmoja mamlaka nilionayo hata huyo mbowe na silaa wanachoongea sio wao ni mungu anawatumia so wala msihangaike ni mapito na ninavyoongea...nenda kama unaenda fika pale sema nakutiisha ewe sheria/inspector na kila mamlaka iliochini ya ardhi ya central ukawaaachie watu hawa taja majina kwa jina la yesu wawe huru..ukiishia watu hawa mungu anasikia atawaachia hata majambazi yaliokamatwa usiku wa kuamkia leo so uwe makini unachoongea
MUNGU AKUBARIKI