Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

Wafuasi wa Dr Slaa wamekuwa kama wamerukwa na akili vile.

Yani wamefikia hatua ya kumuita babu Slaa rais!?

Sasa sijui wamesahau matokeo ya tume ya uchaguzi mwaka 2010 pale Dr Slaa alivyopata kichapo cha haja kutoka kwa jemedali, amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, Dr wa ukweli, his excellence Dr Kikwete.

Huyo Slaa mtaendelea kumpigia jeramba huko vichochoroni ila Watanzania wenye akili timamu wanajua nani yupo magogoni.
 
Tuache ushabiki na watu tuache kujitoa ufahamu na tusiwe watumwa wa fikra lazima sasa kuna vitu kama mtu mzima na una akili zako timamu sio lazima ukae darasani ufundishwe juu ya huyu Dr.Slaa..huyu mzee ni Gifted jamani...huyu ni zaidi ya kiongozi....Hongera sana Dr.Slaa..huyu mtu hata kama akiongea masaa zaidi ya saba kamwe hutochoka kumsikiliza,kuna wakati hadi roho inauma why huyu mtu hakuwa Rais wa nchii hii!
 
Dr Slaa anashukuru kwa muda, anasema ni muda muafaka kujadili jambo kama hili, anasema Katiba kwa tabia zake ni chombo cha kisiasa, kwa bahati mbaya watu wengi hawajui, watu wengi wanasema wanasiasa wameuteka mjadala wa katiba, naomba niweke sawa kwamba suala la katiba kimsingi ni suala la kisiasa, wengi watakumbuka kwamba mjadala wa katiba pamoja na jinsi nilivyolieleza mimi kwamba nilibeba kwenye ilani ya chadema 2010, lakini kumbuka kwamba suala la katiba liliombwa toka mwaka 1992, takriban miaka 20, wakati huo sikuwa mwanasiasa, hivyo huu mjadala haukuanza leo, kuna watu walikamatwa wakati ule kwasababu ya mfumo wa chama kimoja. Katiba kwa kawaida ni chombo kinachowaambia watawala kwamba sisi wananchi tunataka mtuongoze hivi, siyo watawala wawaambie wananchi tutawaongoza hivi.

Inapofika mahali kwamba waliopo ndani ya bunge wanajiona wapo juu ya wananchi, ni lazima wale walioanzisha mchakato sasa tuingilie, tumeona siku 42 bunge letu bado linajadili kanuni. Tuliishauri serikali maandalizi mahususi yafanyike, sasa kitendo cha kutumia siku 42 ni kiburi cha serikali kwa watanzania
 
Asante sana mkuu yaani leo nitalala usingizi mololoooo sijui kama sitaamka saa sita mchana.

BACK TANGANYIKA
 
CCM kwa kuogopa serikali 3 wameamua kufanya kila aina ya propaganda! Viwanjani, wizara ya habari na michezo nao wamekuwa waandaa midahalo.

Mkuu Mtoi huyo Prof. Shivji naona hayo maccm yanamtumia vibaya, mwenyewe nilijiuliza hata aina ya vijana waliokuwepo jana waliwapata wapi
 
Last edited by a moderator:
Tuache ushabiki na watu tuache kujitoa ufahamu na tusiwe watumwa wa fikra lazima sasa kuna vitu kama mtu mzima na una akili zako timamu sio lazima ukae darasani ufundishwe juu ya huyu Dr.Slaa..huyu mzee ni Gifted jamani...huyu ni zaidi ya kiongozi....Hongera sana Dr.Slaa..huyu mtu hata kama akiongea masaa zaidi ya saba kamwe hutochoka kumsikiliza,kuna wakati hadi roho inauma why huyu mtu hakuwa Rais wa nchii hii!

Yes!! Dr.slaa is a leader
 
CHADEMA WAMTELEKEZA MGOMBEA UBUNGE WAO CHALINZE

Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.

wewe ni wa kupuuzwa tu,hulijui ulitendalo!!!
 
Rais aliyepokwa urais!
Mpokaji anamhanya sana maana anajua haki ya mtu hucheleweshwa tu!
 
sema moyoni kwako. unamsifia mbulu mwenzako

upo kibaraka wa nepi kutetea buk 7,,, njaa mbaya sana!!! Dr Slaa anafaa kuliongoza taifa hili kwa sasa kuliko kipindi chochote kile kuwahi kutokea,hoja zake zimeshiba tofauti sana na zile za kisanii kutoka kaole!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom