anasaini mikataba ya ushoga na atalaaniwa..
Usipoteze muda na bundle lako la internet kuandika pumba mitandaoni.
Hivi huoni aibu kusema mambo ambayo hayapo!!!?
Jiheshimu, unatia aibu sana.
anasaini mikataba ya ushoga na atalaaniwa..
Akili mbovu kabisa, hujamasikiliza nini anasema unakuja na upuuzi wako eti hana mvuto pathetic!!! nenda MMU.
Sent from my iPhone using JamiiForums app.
Kaburungu na Rugaijamu
Kuna haja gani ya kujibizana na watu ambao mnajua wamekuja hapa makusudi kuwaondoa kwenye mjadala.
Daktari anaendelea kushusha nondo za ukuu wa katiba.
Kaburungu na Rugaijamu
Kuna haja gani ya kujibizana na watu ambao mnajua wamekuja hapa makusudi kuwaondoa kwenye mjadala.
Daktari anaendelea kushusha nondo za ukuu wa katiba.
Jiheshimu wewe, unadhani wewe ndio mwenye haki pekee humu kufanya majadiliano?
Hivi kwa namna hii ya kuziba watu midomo, CHADEMA ikiingia ikulu italinda haki ya "freedom of expression" kweli?
Jitambue wewe na uache umsukule.
huyu mzee hapa anapiga nondo. Anasema wananchi wameshirikishwa kinadharia. Anamshangaa rais kwenda kutoa hotuba kupingana na maoni ya wananchi. Tena kwa kuelekeza. Mwananchi solomon anakubaliana na daktari slaa kuwa katiba inapaswa kutokana na wananchi na kwamba hotuba ya kikwete ilichanganya wananchi.
Rais Slaa anafunguka kwelikweli hapa.Anaeleza kwa kirefu historia ya mchakato wa Katiba ilivyopita katika milima na mabonde mengi.
chadema tuunde serikali yetu ya tanganyika bana,,ccm wanatuzingua sana