Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

CHADEMA WAMTELEKEZA MGOMBEA UBUNGE WAO CHALINZE

Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.
 
Aliyo ongea Dr Slaa kwa muda aliokuwa studio yana uzito sawa na hoja za mzee warioba alizowasilisha kwa masaa 3! Hayawezi kujibika kwa mipasho wala nahau za ngomani kama alivyofanya mwenyekiti wa ccm, eti" asiye na kitu ni kinyama mwitu..."! Hoja zile zinaweza kueleweka kwa watu waliotulia vichwa na kuitakia mema Tanzania yenye muungano wa Tanganyika (sio Tanzania bara) na Zanzibar. Huku tukiwa na serikali tatu, Tanganyika, Zanzibar na ile ya Muungano.
 
Mungu mkubwa maana pumba za kikwete, na uswahili wake tunazifuta RASMI AKILINI MWA WATZ, WAKUBWA ZILIKIZENI RAIS WANGU Dr Slaa. serikali TATU LAZIMA CCM PENDA WASIPENDE.

raha Tupu jioni ya Leo Njelu Kasaka naye Kama Slaa, huko ITV DK 45 amem-bomoa kabisa Kikwete na Kinana wake
 
Aliyo ongea Dr Slaa kwa muda aliokuwa studio yana uzito sawa na hoja za mzee warioba alizowasilisha kwa masaa 3! Hayawezi kujibika kwa mipasho wala nahau za ngomani kama alivyofanya mwenyekiti wa ccm, eti" asiye na kitu ni kinyama mwitu..."! Hoja zile zinaweza kueleweka kwa watu waliotulia vichwa na kuitakia mema Tanzania yenye muungano wa Tanganyika (sio Tanzania bara) na Zanzibar. Huku tukiwa na serikali tatu, Tanganyika, Zanzibar na ile ya Muungano.

binafsi bado niko road kuelekea home. ungetuwekea alichosema slaa walau kwa maandishi(hints) tufaidike sote
 
umeamua kuishi kitumwa,muda ukifika utakombolewa tu kifikra maana sio kosa lako,ni njaa tu inayokusumbua!!!
Yaani mtu akitofautiana mitazamo na Chaema njaa inamsumbua.
 
Dr Slaa hana tena mvuto wa kisiasa kwa Watanzania; Dr Slaa kwa sasa hata udiwani akigombea kura hapati.

Mtu wa aina hiyo ambae Watanzania hawana habari nae unadhani atakuwa na umuhimu gani kwenye jamii?

Habari ya mjini kwa sasa ni Lissu tu huko CHADEMA.
Pole sana!
 
CHADEMA WAMTELEKEZA MGOMBEA UBUNGE WAO CHALINZE

Zikiwa zimebakia siku zisizozidi sita wananchi wa Chalinze kupiga kura kuchagua mbunge wao, ni dhahiri kuwa Viongozi wa juu wa Chadema wamemtelekeza mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema jimboni humo Bw. Mathayo.

Mwananchi mmoja akilalamikia hili anasema, "..tulidhani Chadema ni Chama ya ukombozi, tukadhani maneno ya kuwa kinabagua na kutoa upendeleo kwa wachaga tu ni propaganda za CCM kumbe kweli bwana! Hivi huyu bwana angekuwa mchaga wasingeleta CHOPA hapa?,huku ni kumtelekeza Mathayo kisa sio mchaga!" Alilalamika kijana wa kimasai wa Chalinze mjini.

Naona upo kikazi zaidi, njaa mbaya sana!
 
Dr Slaa hana tena mvuto wa kisiasa kwa Watanzania; Dr Slaa kwa sasa hata udiwani akigombea kura hapati.

Mtu wa aina hiyo ambae Watanzania hawana habari nae unadhani atakuwa na umuhimu gani kwenye jamii?

Habari ya mjini kwa sasa ni Lissu tu huko CHADEMA.
wewe unachukua maoni ya mama yako na kuayafanya ya watanzania? hayao yanakufaa wewe tangu lini watanzania wakakupa usemaji wao? na umezungumza nao lini kuhusu mvuto wa viongozi sasa wamekuambia nani anawavutia? na ulitumia mbinu gani kuwasiliana nao? acha ujinga!!!
 
Mbona hammwagi nondo alizosema Dr.Slaa? .sio wote tuliopata bahati ya kumsikiliza.. hicho kipindi kina marudio.. naomba kufahamishwa marudio ni lini na saa ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom