Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

Dr Slaa Live on Startv - March 31, 2014

hoja za dr Slaa haziwezi kujibiwa na mizigo,hata ukoo wote wa panya ukikusanyana hapo Dom hauwezi kuzijibu,sanasana utaibuka na mipasho tu ili kumuenzi mkuu wa magamba!
 
Patience ZERO kawaida ya madictator na mafashist ni kuuwa watu na kunyonga, hatushangai kibaraka wa Lumumba wewe!!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, kama kuna yoyote anajua hicho kipindi marudio yake yatakuwa ni lini na saa ipi atujuze tafadhali.
 
babu kagonga age 70 badala ya kucheza na wajukuu zake ndio anstafuta Mtoto, watoto sijui wamuite Baba au babu.
 
hao vijana waliokuwepo si ndio haya mabuk 7 yaliyoamua kukalia akili!

Haswaa, kuna dada mmoja mzanzibar aliropoka sanaaa nadhani yule ndiye HAMY-D akili zao hata kwa kukaza na spana bado haziwezi kuwaza kama binadamu wa kawaida
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna mtu atanisaidia link ya youtube ya mjadala huu
 
sema moyoni kwako. unamsifia mbulu mwenzako

basi na mimi naomba nikusifie mtoto mtamu,sauti kama Fetty,ziwa konzi kama Isha Mashauzi,tumbo kama Lulu,mkia kama Snura,mwanya kama Aminata Keita,urefu kama Magese.ila punguza papara kama Sepetu,uma make mane kama JD
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom