kibaya-kenya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 649
- 166
LABDA BABA YAKO NDIO ANACHUJA NAJUA Dr Slaa ni tishio lenu na lazima mwakani mle ya chuya.
Dr.Slaa anazidi kuchuja kila siku.
Dr.Slaa anazidi kuchuja kila siku.
Mkubwa huyu mswahili kikwete, lazima aibike maana tanganyika yangu lazima irudi.
Jiheshimu wewe, unadhani wewe ndio mwenye haki pekee humu kufanya majadiliano?
Hivi kwa namna hii ya kuziba watu midomo, CHADEMA ikiingia ikulu italinda haki ya "freedom of expression" kweli?
Jitambue wewe na uache umsukule.
Ralax wewe mwehu...mbona ume-panic sana!!? Nimetoa mawazo yangu kwa jinsi ninavyo muona Dr Slaa kwa sasa. So, what's the problem with that?
Dr.Slaa anazidi kuchuja kila siku.
Namuona Rais wa wanyonge akilitikisa Taifa
Get a life dude, acha kujidhalilisha kwa kulamba viatu vya babu Slaa.
Eti "rais ya wanyonge"! Pumba tupu. Ikulu ya rais wa wanyonge ipo wapi? Ufipa?
Watu wa aina yako ni vyema mpore hata pumzi zenu ili mtuondolee pumba hapa duniani. Ningekuwa rais ningewanyonga sana wahuni kama wewe mnaofanya uhaini.
Jamani Slaa anatisha..Imebidi mjadala wa Dar usitishwe ili kumpa muda wa kutosha Rais Slaa.
Get a life dude, acha kujidhalilisha kwa kulamba viatu vya babu Slaa.
Eti "rais ya wanyonge"! Pumba tupu. Ikulu ya rais wa wanyonge ipo wapi? Ufipa?
Watu wa aina yako ni vyema mpore hata pumzi zenu ili mtuondolee pumba hapa duniani. Ningekuwa rais ningewanyonga sana wahuni kama wewe mnaofanya uhaini.
get a life dude, acha kujidhalilisha kwa kulamba viatu vya babu slaa.