Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

Dr.Slaa live ITV akichambua hotuba ya Kikwete

slaa anatakiwa aseme,huyo ngaluma nani na ni ipi connection yake na escrow,sasa anapotubandikia majina hata haweki ushahidi maana yake anatuona wote vilaza hapa
haa haa dr. Amezungumza mambo mazito na muhimu kwa taifa letu. Usitake kutafuniwa kila kitu.
 
Tena huko ndiyo kabisaaa, hawataki hata kumsikia, Uzanzibari uutoe wapi wewe. Utauota tu.

huo ndo ukweli na this time kura zetu tutalinda kwa nguvu zote...mafisadi hii ndo awamu yenu ya mwisho na segerea inawasubiri....
 
Mzee anapenda kufitinisha viongozi wa serikali na wananchi wao.

Suala la Escrow Rais alitumia muda mwingi kulielezea na kila Mwananchi alielewa!

Usitulazimishe kuemuelewa yule mtetezi wa majambazi.Hakuna alichoongea chenye ukweli zaidi ya MIPASHO tu.

Unejisemea nafsi yako na siyo watanzania.Tuelewa wazi RAIS ni muhusika mkuu kwenye hili.Hakuma mahali mtu aliyefilisika akakubaliwa kisheria kununua shares,hiyu Singasinga ni mufilisi aliwezaje kununua shares?

Inawezekanaje anunue shares kwa pesa ya ESCROW?Tusidanganyane.Muda wa kutuhadaa umekwisha,ni nafuu angetuomba radhi kwa kuandika barua ya kuruhusu wizi huu.

Rais amefungwa remote na Singasinga,duh
 
Wewe wacha porojo, padri mzinzi Waislaam hatumpi kura. Hilo ni wazi na ukweli.

We kibibi faiza Leo slaa unamwona mzinzi!!ila uzinzi was tezi dune huuusemi?hakuna prezidaa mziznzi kama huyu full vimada.
 
Wewe wacha porojo, padri mzinzi Waislaam hatumpi kura. Hilo ni wazi na ukweli.
anachaguliwa kama slaa sio kama padre. halafu uzinzi inategea. hebu nijuze faiza, eti uislaam zaidi ya wake wanne ukiwa safarini ukimtamani mwanamke unamtafuta shekhe anakuoza halafu kesho unatoa talaka unaendelea na safari. kama huo sio uzinzi ni nini? uislaam is very convinient au sio. udini ni adui mkubwa wa amani.
 
kwanza nawahurumia wtumishi wote kwa kumpigia debe huyiu babu,huyu mzee atavuruga nchi sasa hivi mkimendekeza na vipension vyenu ndo vitaota mbawa,sasa tu anahangaika hivi je november akipigiwa bao tena hataamua kweli kuwapa vijana silaha walete vita huyu?.maana mwakani ndo jaribio lake la mwisho kuingia ikulu akishindwa lazima atapigana course hana cha kupoteza kwani hata umri wake uko dakika za majeruhi
 
Mzee anapenda kufitinisha viongozi wa serikali na wananchi wao.

Suala la Escrow Rais alitumia muda mwingi kulielezea na kila Mwananchi alielewa!

Rais anajifitinisha mwenyewe kwa kuambatana/kutetea MAJANGILI na MAJAMBAZI.
 
kinachoonekana kwa sasa badala ya rais kutegemea idara ya usalama kufikia maamuzi yeye anategemea upepo au pepo ..sijui hasa ..kipi hasa ...
Ndio maana anadaiwa kuwa na wateule wengi tu ambao hawakufanyiwa vetting na usalama wa taifa .....yaani anatangaza tu....nao wanabaki wanashangaa ...na kubakia kumfanyia mtu vetting ambaye ameshaapishwa .....tazameni kuna wateule wengi tu hatuwezi kuweka majina hapa ambao ....wana rekodi za uhalifu ...au hata udhaifu wa afya ..ikiwemo hata afya ya akili ....
Kuna wateule makanjanja ...ambao wake zao walijilipuaga uingereza kama wakimbizi toka rwanda ....
Kuna wasaidizi wa rais ambao wana hadhi kubwa lakini ukitazama cv zao ni matusi kwa carrier officers ambao wamepanda through ranks ....tazameni watu kama mtawa na gurumo ...just kwa kuwa walikuwa wasaidizi kwenye ofisi yake ya mbunge ...inawapa access ya kushika madaraka makubwa ikulu .....
Some of these units are paramillitary ..huwezi tu kuleta mtu from nowhere ...lazima ukubali watu unaopangiwa ...na ukachagua miongoni mwa hao waliopendekezwa ...

Haikuchangaza sana hivi karibuni...ilipobainika kuwa waziri mmoja amepata kutuhumiwa wizi na hata picha zake zilitoka magazetini anatafutwa .....au mwingine alipata kuiba pesa za mwajiri wake ...

Whatelse do we expect
 
  • Thanks
Reactions: jme
Huyo ndiyo doctor slaa. Sio doctor Wa kichina kama kikwete ambae kapewa doctor baada ya kufanya magendo ya kuuza tembo wetu
 
Watanzania siku hizi mnaumwa tezi dume mbn hamuongei issue..yaani nyie fitina, mipasho tu..watu wa lumumba vp mwenyekit wenu amewaambukiza au
 
Back
Top Bottom