Kesho madiwani wanne na wenyeviti wa vitongoji 22.
Keshokutwa tutasikia Madiwani 50 kutoka Iringa, 50 Pwani, 50 Singida, 50 Tabora!
Yaani itafikia CHADEMA watazidiwa na mapokezi ya wageni sijui itakuwaje.
Makamanda karibuni CHADEMA karibuni kwenye harakati za Ukombozi.
Angalizo: CHADEMA Makao Makuu kadi zinahitajika kwa wingi sana, kwa mfano hapa Arusha zinahitajika kadi zaidi ya 2000 zinahitajika, watu wamedertermine kurudisha kadi za ccm tumeshindwa kuwapa za chama tumeishiwa!
Tumani Makene take into consideration plse!