Tanzania inakombolewa , PEOPLE'S POWER = CDM
Kila mwenye macho, masikio, haitaji kuambiwa au kuonyeshwa wakati umefika uliosubiriwa muda mrefu wa kuirudisha nchi mikononi mwa wenye nchi . Nilisubiri niko sekondari, sikupata, vyama vya upinzani vikaingia.
Nyerere akasema , ninaona chama pekee cha upinzani ni CHADEMA.
Na sasa CDM inachukua nchi, kila mtanzania halisi ni wakati wetu wa mwanzo mpya, hongera wapiganaji, tupo pamoja, kuwang'oa hawa magamba.