Magwanda bana kila maneno mawili lazima wamtaje Nape, kama unampenda kampikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa!ritz hao ndio saizi yenu wanyanyaseni mtakavyo,MWAMBIENI NA NAPE KABISA.
Magwanda bana kila maneno mawili lazima wamtaje Nape, kama unampenda kampikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa!
Nape na wewe kwangu nawaona waganga njaa tu
Dar wasomi wengi na wanajitambua!Namuunga mkono sweetlady dar kuna watoto wa kiume tu,kazi yao kusikilizia mikoani wana misimamo gani kuhusu CDM,huku ngoma inogile kaeni na maneno yenu ya bila vitendo.

ahsante kwa taaarifa mkuu.............hata hapa Iringa leo jioni kamanda mbowe nae amevuruga vichwa vya sisiem tena
Wewe unataka cha maana kiwe nini Mbege na Mtori!yaani wewe kitu cha maana kwako ni pilao. ,,, umaskini wa fikra, chuki na unafiki
jf hate preacher

Nafurahia sana haya mashambulizi ya CHADEMA kwasasa...maana kila kona wapambanaji wanapigana kiume!! Natamani niache kazi niungane na kundi hili lililojitolea muanga kwa ajili ya watanzania zaidi ya mil.40....Mbona CCM hawasemi tena ile kauli yao ya vyama vya msimu...?
Hapo umeongea mkuu. Tatizo watu wengi wanaingia tu kusupport maandamano bila kujua viongozi wao kila wakiandamana wanalipwa per diem ya tsh 600,000Acha kaz uoelewe mjn hp unadhan mwenzako slaaa anaandamana bure ,m12 ndo inamkimbiza puta
Wewe unataka cha maana kiwe nini Mbege na Mtori!
Vipi ile Saccos yenu ya Wachagga inaendeleaje?
Ha! Ha! Ha! Kweli kabisa unachosema na mimi siwezi kuja huko nije kufanyaje wakati mmechaguana Wachagga watupu.hakuna kilaza kule kama wewe , .., upuuzi na chuki mwiko kule. kabila lako la chuki, wivu, dhiki na ujinga litakutesa mpaka uamue kwenda elimu ya watu wazima
teh teh teh

Wewe unataka cha maana kiwe nini Mbege na Mtori!

Vipi ile Saccos yenu ya Wachagga inaendeleaje?

Magwanda bana kila maneno mawili lazima wamtaje Nape, kama unampenda kampikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa!

Nape na wewe kwangu nawaona waganga njaa tu

Hivi hi thread vip tena. Asubuhi tuliambiwa kamanda Lema anajiandaa kwenda Igunga. Au nilielewa vibaya?

Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha mjini Godbless lema ambapo kwa pamoja walihutubia maelfu ya wakazi wa monduli waliojitokeza katika viwanja hivyo sambamba na kumuombea kura diwani wa cdm bw Mganga Gilbert katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.

Acha kaz uoelewe mjn hp unadhan mwenzako slaaa anaandamana bure ,m12 ndo inamkimbiza puta
Ha! Ha! Ha! Kweli kabisa unachosema na mimi siwezi kuja huko nije kufanyaje wakati mmechaguana Wachagga watupu.
Nilipita siku ile pale Rombo Hotel naona mkutano unaendeshwa kwa lugha ya Kichagga tu. Nikaondoka zangu