TeamCCM-2015
Senior Member
- Aug 19, 2015
- 112
- 44
Chademo ubwabwa si ndo hao wako na mzee wa madili na Mr.zeroo wanaleta mabadiliko ya ubwabwa wa Nazi tanzania...
Leo hii kamamda si uvute subra unajua anongea nini kesho kama anataka kuanza kampeni na Lowassa?
...vyovyote itakavyokuwa nitabaki tumaini langu litabaki kwa ukawa...
akimwaga mboga na sisi tunamwaga ugali na unga tunatia mchanga,kama noma naiwe!
Hata Dr Slaa alikuwa na mafuriko mwaka 2010. Hili fisadi lenu litaweweseka mwaka huu
HIVI KARIBUNI KUMEZUKA TENDENCY YA WATU WANAOJIITA TEAM LOWASSA KUWAKEBEHI NA KUWAKEJELI WALE WANACHADEMA ASILIA WANAOWAPINGA MITAZAMO YAOHUU NI MTIZAMO YAO.
Wengi miongoni mwa chadema asilia ni kama wamesusa hivi na wanahisi kupuuzwa na chama, chadema maslahi kwasasa ndo kila kitu, wanajifanya wao ndo chadema sanaaaaa!
WAKATI AKINA DR SLAA WANAHENYA KUKIJENGA CHAMA WAO WALIKUWA CCM WANAKULA BATA. Baada ya chama kunawiri na kupendeza,wamekivamia, wamekinunua na wanaanza kuleta jeuri. Kwanini wasingeenda kukinunua TADEA AU UMD? ACHENI DHARAU KWA WALE WALIOKIJENGA CHAMA. LEO MMEMTUKANA SANA DR SLAA BAADA YA KUSIKA KUWA ATAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI
Usajili wa Dr Slaa utatikisa dunia. Ama kama ataamua kutundika daluga itakuwa pigo kwa CHADEMA
mimi nilipomuona yule mzee ni opportunist na si mtu mwenye wito wa kutumikia watu ni pale niliposikia masharti aliyowapa chadema kwa yeye kuacha kugombea ubunge jimbo la karatu na kuwa mgombea urais wa chadema 2010. mzee aliweka sharti ili awe mgombea ni lazima ahikikishiwe maslahi yake endapo angekosa Urais. akata mshahara alipwe kama wa mbunge kila mwezi na marupurupu kibao toka kipindi hicho hajawi kunivutia na hata huwa sielewi watu wanamwonaje ni mkombozi and yet na yeye ni opportunist tuI never trusted him honestly,kuisaliti nadhiri na kiapo kwa Mungu.
Tunamwombea mzee wetu hawezi kukaa na Magamba kiti kimoja hata mara moja.Ni mzee smart na makini.Dr tunakuombea ,haya mabadiloko wewe una heshima kubwa sana sana.kwani wewe umekuwa injini ya hizi mbio ambazo sasa zimefikia mwisho.Tunakushukuru na kukuheshimu mzee wetu.
Itakuwa hatari nchi hii na sintokuja kumwamini mtu kama Dr Slaa atarudi ccm
Nani kakuambia Nyumbu huwa wanageuka nyuma na kurudi kule walikotoka? Sasa kwa taarifa yako, Dr Slaa akiongea negative kuhusu UKAWA mjue mmekwisha. Huyu sio mwanasiasa wa kumdharau hata kidogo. Wewe omba Mungu wako Slaa awe upande wenu, vinginevyo kuanzia kesho mnasambaratika.
Naona Ufipa sasa inasambaratika kama Russia daah!!
Hatimaye katibu mkuu wa Cham cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Wilbrod Slaa ameamua rasmi kuachana na siasa baada ya tafakari ya muda mrefu.
Kesho Slaa anatarajiwa kutangaza uamuzi wake huo ndani ya 'Dar es Salaam Serena hotel' ambao utakuwa ni pigo kubwa kwa vyama vinavyounda UKAWA.
Katika hatua nyingine mwanachama wa CHADEMA anayeamini katika siasa za Dr. Slaa, G Sam ameamua kumuunga mkono kutokana na mizengwe ya uteuzi wa mgombea urais ndani ya chama hicho.
"Nitapiga kura kwa Halima Mdee na mgombea udiwani wa Chadema ila siyo kwa Edward Lowassa" anasema G Sam.
G Sam anamuonea Edward Lowassa kama mgombea dhaifu sana asiyeweza kwenda sambamba na kasi ya chama hicho. Aidha G Sam anakiri kuwa hana tatizo na Edward Lowassa kuhusu mambo ya ufisadi bali ni kutokana na udhaifu unaoonekana waziwazi juu ya mgombea huyo.
Naona Ufipa sasa inasambaratika kama Russia daah!!