Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,058
Bado Mnyika su Tundu Lissu ndiye watakaofuatia
Mkuu Ritz, kumbuka wewe siyo wa kwanza kufanya 'uchuro' wa kuitabiria Chadema kusambaratika.Naona Ufipa sasa inasambaratika kama Russia daah!!
Yani m kura yangu ni kwa lowasa hata aongeee Obama
Bila shaka inawezekana mda huu ukawa umeshalala au bado una peruzi peruzi huko na huko kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali Dr.Slaa tumesikia na kuaminishwa kwamba hapo kesho nikimaainisha badae maana ni siku nyingine sasa mda huu ninavyoandika hapa ni 12:57 usiku... utaenda kuzungumza na waandishi wa habari na kuweka wazi msimamo wako Dr.Slaa mimi binafsi ninachokuomba Dr.Ujue chochote utakachoenda kuzungumza kama kwa lengo la kuharibu harakati hizi za mabadiliko Dr.Utakuwa hujatutendea haki kabisa kabisa wanabadiliko..mimi ni mmoja wapo niliyetokea kukuamini na kukupenda sana sababu ya kupambana kwa ajili ya mabiliko lengo kubwa ilikuwa ni kubadili mfumo mzima wa chama tawala wakae pembeni sasa kama kuna njia nyingine ambayo inaweza ikarahisisha hawa jamaa waondoke Dr.Slaa kwa nini unataka utuvunje mioyo yetu kisa ni Urais tu Dr.? nakuomba mzee wangu Slaa utusaidie afadhari kukaa kimya kuliko kwenda kuongea tena lengo ni kusamaratisha UKAWA taarifa zilizopo ni kwamba utaenda kuzungumza kwa udhamini wa ccm...Nina mengi kwako Dr.Slaa lakini lengo kubwa ni kukuomba kutofanya lolote ambalo linaweza likaharibu utaratibu mzima wa mabadiliko haya..Natumaini Mungu atakuongoza Dr.Katika hilo.
wako mtiifu mwanachama hai wa CHAUMA.
my Slaa, my Slaa, plz don't resign.. you are our true hero and fighter.. dont weaken us now..
Binafsi sijaona hiyo dharau... To say the least Ni kwqmba cdm mpya has tried mno kureach to old cdmHIVI KARIBUNI KUMEZUKA TENDENCY YA WATU WANAOJIITA TEAM LOWASSA KUWAKEBEHI NA KUWAKEJELI WALE WANACHADEMA ASILIA WANAOWAPINGA MITAZAMO YAOHUU NI MTIZAMO YAO.
Wengi miongoni mwa chadema asilia ni kama wamesusa hivi na wanahisi kupuuzwa na chama, chadema maslahi kwasasa ndo kila kitu, wanajifanya wao ndo chadema sanaaaaa!
WAKATI AKINA DR SLAA WANAHENYA KUKIJENGA CHAMA WAO WALIKUWA CCM WANAKULA BATA. Baada ya chama kunawiri na kupendeza,wamekivamia, wamekinunua na wanaanza kuleta jeuri. Kwanini wasingeenda kukinunua TADEA AU UMD? ACHENI DHARAU KWA WALE WALIOKIJENGA CHAMA. LEO MMEMTUKANA SANA DR SLAA BAADA YA KUSIKA KUWA ATAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI
Wewe CCM haiwezi kushindwaBila shaka inawezekana mda huu ukawa umeshalala au bado una peruzi peruzi huko na huko kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali Dr.Slaa tumesikia na kuaminishwa kwamba hapo kesho nikimaainisha badae maana ni siku nyingine sasa mda huu ninavyoandika hapa ni 12:57 usiku... utaenda kuzungumza na waandishi wa habari na kuweka wazi msimamo wako Dr.Slaa mimi binafsi ninachokuomba Dr.Ujue chochote utakachoenda kuzungumza kama kwa lengo la kuharibu harakati hizi za mabadiliko Dr.Utakuwa hujatutendea haki kabisa kabisa wanabadiliko..mimi ni mmoja wapo niliyetokea kukuamini na kukupenda sana sababu ya kupambana kwa ajili ya mabiliko lengo kubwa ilikuwa ni kubadili mfumo mzima wa chama tawala wakae pembeni sasa kama kuna njia nyingine ambayo inaweza ikarahisisha hawa jamaa waondoke Dr.Slaa kwa nini unataka utuvunje mioyo yetu kisa ni Urais tu Dr.? nakuomba mzee wangu Slaa utusaidie afadhari kukaa kimya kuliko kwenda kuongea tena lengo ni kusamaratisha UKAWA taarifa zilizopo ni kwamba utaenda kuzungumza kwa udhamini wa ccm...Nina mengi kwako Dr.Slaa lakini lengo kubwa ni kukuomba kutofanya lolote ambalo linaweza likaharibu utaratibu mzima wa mabadiliko haya..Natumaini Mungu atakuongoza Dr.Katika hilo.
wako mtiifu mwanachama hai wa CHAUMA.
Ni wewe lijiinga tu, hakuna mtanzania anayempenda mgonjwa mwizi fisadi lowasa, CCM LAZIMA ishinde!! Shenziii nyieUnapoteza muda wako bure, Watanzania tumeshaamuwa mabadiriko fullstop.
Mkuu wewe na wengine mnaosubiri kutokee 'machafuko' ndani ya chadema sababu ya huvo chokochoko zenu za cdm asilia na cdm sijui maslai mtasubiri sana.HIVI KARIBUNI KUMEZUKA TENDENCY YA WATU WANAOJIITA TEAM LOWASSA KUWAKEBEHI NA KUWAKEJELI WALE WANACHADEMA ASILIA WANAOWAPINGA MITAZAMO YAOHUU NI MTIZAMO YAO.
Wengi miongoni mwa chadema asilia ni kama wamesusa hivi na wanahisi kupuuzwa na chama, chadema maslahi kwasasa ndo kila kitu, wanajifanya wao ndo chadema sanaaaaa!
WAKATI AKINA DR SLAA WANAHENYA KUKIJENGA CHAMA WAO WALIKUWA CCM WANAKULA BATA. Baada ya chama kunawiri na kupendeza,wamekivamia, wamekinunua na wanaanza kuleta jeuri. Kwanini wasingeenda kukinunua TADEA AU UMD? ACHENI DHARAU KWA WALE WALIOKIJENGA CHAMA. LEO MMEMTUKANA SANA DR SLAA BAADA YA KUSIKA KUWA ATAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI
Nyieee wajiinga mnalipwa kumshabikia mwiziMkuu unga mkono mabadiliko.... Mpe Lowassa kura yako
Dr. Slaa navyojua hivi sasa yuko Israel kenda Kuhiji. Karudi lini? Mbona kamba zenu jamani zimezidi..Kile kimya kirefu cha Dr. W. P. Slaa kitakwisha baada ya kuzungumza na vyombo vya habari hapo kesho tarehe 01.09.2015.
Sote hatujui atasema nini ila tuombe Mungu shetani ampitie mbali asirudi Misri.
Stay tuned.
Updates:
Atazungumza saa NANE mchana na matangazo yake yatarushwa live na Azam 2
Hatimaye katibu mkuu wa Cham cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Wilbrod Slaa ameamua rasmi kuachana na siasa baada ya tafakari ya muda mrefu.
Kesho Slaa anatarajiwa kutangaza uamuzi wake huo ndani ya 'Dar es Salaam Serena hotel' ambao utakuwa ni pigo kubwa kwa vyama vinavyounda UKAWA.
Katika hatua nyingine mwanachama wa CHADEMA anayeamini katika siasa za Dr. Slaa, G Sam ameamua kumuunga mkono kutokana na mizengwe ya uteuzi wa mgombea urais ndani ya chama hicho.
"Nitapiga kura kwa Halima Mdee na mgombea udiwani wa Chadema ila siyo kwa Edward Lowassa" anasema G Sam.
G Sam anamuonea Edward Lowassa kama mgombea dhaifu sana asiyeweza kwenda sambamba na kasi ya chama hicho. Aidha G Sam anakiri kuwa hana tatizo na Edward Lowassa kuhusu mambo ya ufisadi bali ni kutokana na udhaifu unaoonekana waziwazi juu ya mgombea huyo.