Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

Status
Not open for further replies.

pepsin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
3,486
Reaction score
6,172
Nafsi yangu inaenda kutulia punde.
Dr Slaa anaenda kuzindua rasmi kampeni za uchaguzi.
CCM kwaheri
Kikwete kwaheri
Magufuli kwaheri
Mfumo fisadi kwaheri

Tunaenda kusimika utawala wa kujali haki za kiraia na binadam
Tunaenda kung'oa mifumo ya kinyonyaji na kiungu-mtu
Karibu Dr Slaa,the legend of political transformation in Tz

Source.JJ Mnyika,front page Nipashe
 
Habari njema mkuu, namkubali sana mzee wetu Dk Slaa kwa kuifikisha CDM hapa ilipo.
 
Ajiandae kutubu nini kakuchukulia mke ?kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu .pole slaa yuko fiti kufunga magufuli yote na kumwaga pombe zote.
 
Nafsi yangu inaenda kutulia punde.
Dr Slaa anaenda kuzindua rasmi kampeni za uchaguzi.
CCM kwaheri
Kikwete kwaheri
Magufuli kwaheri
Mfumo fisadi kwaheri

Tunaenda kusimika utawala wa kujali haki za kiraia na binadam
Tunaenda kung'oa mifumo ya kinyonyaji na kiungu-mtu
Karibu Dr Slaa,the legend of political transformation in Tz

Source.JJ Mnyika,front page Nipashe

Hii news inanibariki sana, Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom