Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Aloo kumbe hamna watu maana watu wakiwa wengi panajulikana ,watu hawafiki hata mia mnapiga makelele ,nasema subirini ngangari wakianza mambu yao ,eti si mnawaelewa ,hawana msalietume wanasmokeout mpaka watoto wadogo ,wazee kwa vikongwe ,afu izo kashkash zao mji mzima unatikisika ,yaani nakumbuka ni jinsi gani hiki CUF kilivyojaaliwa ,watu wanakipenda natural ,tusiandikie keyboard ,ni kalibi kampeni zitaanza ,hapo ndio mtaelewa kuwa mlenda si mchuzi !