Elections 2010 DR.Slaa Kuunguruma Jangwani Kesho tarehe 07/08/2010

THE GREAT MISTAKE OF BONGO POLITICS..........mi huwa nasema SIASA ZA MJINI.......kuwa na watu wengi,kutangaza sana,mikutano,semina,vipeperushi ....vyote hivi hufanyika mijini hali wakiacha sehemu nyingine za nchi....YOU CANT BE A PRESIDENT OF DAR-ES-SALAAM ONLY.....! kosa walilofanya CUF ndo kosa CHADEMA wanalifanya.....CUF ilikuwa mbagala,mtoni na temeke kwa ujumla....wakienda fanya mkutano hata kibaha FUSO zinatoka mbagala kupeleka watu kibaha...hatimaye CHALI KIFO CHA MENDE.........! SO DO CHADEMA
Point nzuri sana hii na mimi nakubaliana na wewe asilimia mia kuwa kura za ushindi zinapatikanika vijijini zaidi na siyo mijini.
Huko vijijini wameshiba chumvi, sukari na vijisenti kidogo na kuwabadilisha kimawazo na fikra ni vigumu sana. Anakopita huyu Dr. ni mijini, labda tusibiri kampeni ikiinza rasmi. Inatakiwa kuchochea kuni nyingi vijijini maana ndo waliko wapiga kura waliozea chama kimoja hata kama wako kwenye umaskini wa kutupwa na rasilimali ya nchi inafaidiwa na wachache.
 
Utandawazi ni finyu sana huko vijijini,one will never change the game just for 2~3 months,game ilizoeleka for more than 30 years.
 
Mungu amtangulie Dr Slaa, Dar es Salaam ongozeni mapambano ya kumkomboa mdanganyika. Siku zote Dar imerudi nyuma mbali na kuwa na wasomi na wachamabuzi makini wa masuala mbalimbali, lakini pia Dr imejaa mafisadi wanaoogopa kukiondoa chama tawala CCM kwani ufisadi wao utakuwa ndio kikomo
 
Kama kuna yeyote aliyeko mitaa ya Jangwani au kwenye msafara wa Mh. Rais mtaarajiwa, naomba mtuwekee taarifa zake hapa.

Siko karibu na Dar, nategemea zaidi mtandao wetu huu wa JF kunipa breaking news.
 
Yes; anafika hapo jangwani saa ngapi; hata mie niko mbali nategemea pia ni vema afike na kule mwembeyanga alikolipulia mabomu makubwa 11 ya mafisadi
 
THE GREAT MISTAKE OF BONGO POLITICS..........mi huwa nasema SIASA ZA MJINI.......kuwa na watu wengi,kutangaza sana,mikutano,semina,vipeperushi ....vyote hivi hufanyika mijini hali wakiacha sehemu nyingine za nchi....YOU CANT BE A PRESIDENT OF DAR-ES-SALAAM ONLY.....! kosa walilofanya CUF ndo kosa CHADEMA wanalifanya.....CUF ilikuwa mbagala,mtoni na temeke kwa ujumla....wakienda fanya mkutano hata kibaha FUSO zinatoka mbagala kupeleka watu kibaha...hatimaye CHALI KIFO CHA MENDE.........! SO DO CHADEMA
Hivi hawa watu wote wanatoka mjini au wa JF kama wengi mnavyosema
Hapa ni Songea

Hapa ni Mtwara
 
jamani hana stylist huyu mtu? hilo shati la namna hiyo hapana kwa kweli....................wapiga kura wasiofungamana na chama chochote hasa wanawae atawakosa hapo
 
Ili umma wa wa Tanzania kupata ushindi wa dhati kipindi hiki tunataka CCM na Waliolewa madaraka wote wanaowaunga mkono wafikirie hivi....

1. Dr Slaam hawezi kushinda kwa kipindi hiki... amekuja kama mvua... etc !!

2. CCM ni chama kilichoshikilia Nchi kwa muda mrefu na Wa Tanzania hawawezi kumuamini Slaa na CHADEMA just over night na kuleta mabadiliko...

3. CCM et al Wataiba kura na kutumia mbinu zote chafu kuzuia Chama cha upinzani kuchukua nchi...

4. Ok hata kama huyo Dr Slaa atashinda... ITs ok..Kushinda kura sio kushinda kuingia IKULU ...so? Ashinde kura ..lakini tutamfix ...CCM ndo tulioshikilia mpini...Ikulu Haruachiliiiii...

FIJIFIKRA KAMA HIVI .... Tunavikaribisha sana ... !!!

Kwani ndio Uchochoro wa kupitaia kujenga mageuzi .. why? I cant give an xplanation at the moment!!!

Hata tukiwaeleza kuwa Ushindi wa Dr Slaa utaletwa mikononi kwa upuuzi wa kutosha wa CCM uanoonekana wazi kila mahali kwa sasa ... no body can believe this... !!

..... Ni kweli CCM sio smart kama watu wengi wanavyodhani.....

kuna makosa very uncoscious watayafanya.... na ni lazima watayafanya hata wakiibiwa wimbo wa aina gani.... watayafanya tu, walipofikia ...hawawezi kujirudi....

Makosa watayafanya kwa sababu Huu ni wakati wao kuyafanya ... na wa sio kwa sababu Dr Slaa ni mzuri sanaaa ...lakini CCM na wafuasi wao wote wamelala kwa namna ambayo ninachokisema hapa wanakiona hakiwezekani....na ndio maana ninaandika nikijua upeo wa USINGIZI WAO HAUAMSHIKI TENA....THEY ARE DONE!!!!!!

Watachukulia kila kitu mzaha ..na huo mzaha waonauchezea ...ndio KIFO CHAO....!!

I am talking Sense???

Of coz its NON _ SENSE..... AND THAT IS WHAT ALL THE SMART PEOLPLE WANT THEM TO BELIEVE .... na hicho ndicho kigezo amabacho kitawamaliza...!! CCM na wenzao hawako kwnye nafasi ya tafsiri sahihi ya kipi ni sahihi na kipi sio sahihi wanavichangaya...!!

Mabadiliko? Katika hali yeyote ile CCM hawawezi kuyazuia!!!!!! Just wait and see!!!!
 
Hapa uzembe unafanyika upande wa idara ya mawasiliano kwa umma maana wengi tulitaka kujua atafika saa ngapi na barabara gani itatumika ili twende kumpokea rais wetu mtarajiwa.
 
hakuna watu huko
we muongo kweli haijapita hata saa moja umetuambia kwenye thread nyingine kuwa bado uko zanzibar ulihudhulia mkutano wa slaa jana, hivi umeshafika dar na kuelekea jangwani moja kwa moja kumsikiliza slaa, kweli unaumia sana.
 
Naomba msaada nikumbushe ile blog ya Friends of slaa naitafta siioni
 
Malaria sugu bwaaaana unavituko unajua!!! Ila si kosa lako endelea endelea tu hata mzee Moi alijuuuuuta kuwafahamu akina Kibaki. Una uhuru wa kutukatisha tamaa lakini moto unakuja, sera zinatoka hapa hapa jamvini na moto tutawasha humu humu tena kwenye thread zako hizi hizi.
Twende kazi!!
 
Hivi hakuna mtu huko mkutanoni? Au ni wasikilizaji wazuri wa hutuba hawezi hata kuandika kijimeseji hapa jf!
 
Back
Top Bottom