Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

Kama kingunge alivyokula hela za Lowasa.

hadi sasa goli moja moja, tuangalie tu kati ya Dr. Slaa na Kingunge nani ana mashiko ya kuwashawishi watu wa upande mmoja kuhamia upande wa pili kutokana na credibility zao

Ku*ya anye kuku, akin*ya bata kaharisha eeenh

Mtaisoma namba mwaka huu, Magufuli for Change

Sasa mzee silaa anauwezo wa kumshawishi nani katika kipindi hiki?mjiandae kupiga push up jukuani sio kushawishimtu.mnajidanganya mchana kweupe.
 
Kwa hali ya sasahivi mvuto wa kisiasa wa slaa Ni mdogo kuliko wa hashim rungwe au mama Anna mgwira kwahivyo hakutakuwa na mtikisiko wowote wa kisiasa akipanda jukwaani.
 
Ili tuhuma ziwe na mashiko inabidi kuwe na uthibitisho. Wewe uliwahi kuthibitisha? Au unamjua yeyote aliyewahi kuzithibitisha?

Na Lowassa kasema waziwazi, akiwa nje ya system, kwamba mtu yeyote anaweza kwenda mahakamani kumshitaki. Wote mmefyata mikia kama vijibwa koko.

Kwahiyo mmfyata mkia mkatoa hadi majina kwenye website ya chama na siku hizi hakuna hata anayeongelea ufisadi tena huko chadema ''kweli chama kimeuzwa''
 
Ili tuhuma ziwe na mashiko inabidi kuwe na uthibitisho. Wewe uliwahi kuthibitisha? Au unamjua yeyote aliyewahi kuzithibitisha?

Na Lowassa kasema waziwazi, akiwa nje ya system, kwamba mtu yeyote anaweza kwenda mahakamani kumshitaki. Wote mmefyata mikia kama vijibwa koko.

Hata yule jamaa anayejiita Kubenea nae sku hizi haandiki tena habari za kumchafua lower sir nae kafyata mkia?

Kazi mnayo.
 
apande jukwaan na amtetee ila ni huyuhuyu slaa aliyesema akiwa rais atamburuza magufuli mahakamani kwa kugawa nyumba za serikali kwa mahawara
 
dr slaa ametangaza hadharani kuwa ameachanga na siasa,sasa jukwaa la siasa anashiriki la nini tena?
 
Hahaa ajiandae kuzomewa sana, nazani anashauliwa vibaya sana na Josephine,
Ukawa bwana! Juzi juzi hapa mlikuwa mnamuona Dk.Slaa ni kichwa cha trein/garimoshi, leo hii mnamugehuzia kibao kwamba Dk.huyo wa uhakika si lolote si chochote na matusi juu, sasa kwa hulka zenu hizi za kukosa msimamo mnabadirika badirika kama monsoon winds, hivi mna mategemeo ya kupigiwa kura na Watanzania ambao hawasukumwi na saikolojia ya fuata MKUMBO ambayo kisayansi ni asili mia 30% tu ya wapiga kura wote?

Wenzenu walisha fanya homework siku nyingi tu,ndio maana wametulia kama maji kwenye mtungi.
 
Na atokee tu. Anafikiri bado kuna watu watamsikiliza tena. ameshachuja na kupotea kabisa.
 
Huenda ndipo atakapoiua zaidi ccm kwa Wananchi for the Tanzanians of today are not utopians any more.
 
Endeleeni kuota kufumba na kufumbua Jaji Lubuva anamtangaza 1st Runner 32% EL na Winner JPM 66% mtatafutana, vijiweni Jua litakuwa kali? Itakuwa kama gemu ya Mau U.........
 
Tukiweza kubadili chama tawala kikaingia chama kingine tutagundua mengi maovu na tutasonga mbele
 
baada ya mambo kuwa magumu ndani ya ccm hasa baada ya kuona nguvu ya lowassa ikizidi kuongezeka kwa kasi, sasa aliyekuwa katibu mkuu wa chadema, dr. Wilibrod slaa atamnadi mgombea wa urais wa ccm dr. Magufuli.

Habari kutoka lumumba zinasema kwamba, awali slaa ilikuwa atumike kuinadi act-wazalendo lakini ikaonekana kwamba asingeweza kushwawishi wapiga kura katika kipindi hiki cha kampeni kuikubali act.

Lengo la kuinadi act lilikuwa kupunguza kura za upinzani hasa katika mikoa ya kigoma, tabora, ruvuma, kagera na mikoa ya kaskazini, lkn ikaonekana kwamba bado asingefanikiwa kushawishi wananchi.

Hivyo dr slaa atatumika kumnadi magufuli chama ambacho yeye amekuwa akikipinga na kusema tatizo sio mgombea bali mfumo wa chama chake ndio mbovu.
Sasa tunashuhudia slaa akisimamia asichokiamini.

Source: Mwanahalisi
akili ya kuambiwa changanya na yako
 
Mbona huzungumzi kuhusu Star tv.Uhuru TBC !tena baadhi ya vyombo hivyo walituaminisha ni vya uma
 
Back
Top Bottom