Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

hapo ndio atakuwa amejizika kabisa kwenye ulimwengu wa siasa!! tena usije ukashangaa, watu ndio wakaikimbia CCM.

hivi CCM wameshafanya analysis za kutosha kweli? atakuwa asset au LIability..

Hilo ni moja ya kosa ambalo CCM atakuwa amelifanya, maana moja kwa moja linaonyesha ni jinsi gani Honorable DR. alivyofikia Bei..
na hapo ndio tutafahamu bei yake ilikuwa sh ngapi kwenye hiyo project...

attachment.php
 
Dr silaa anataka kujidhalilisha tuu sio kingine Gwajima kashammaliza kabisa na watanzania tumeelewa kinachoendelea kwa Dr silaa na mkewe na ccm
 
Gazeti ili limekua la chama kimoja, linaona hoja za upande wa pili ni bora kuliko upande mwingine, likiendelea hvi litapunguza wasomaji

Haliwezi kosa wasomaji maana kinachoandikwa hapo siyo udaku.
 
mkuu yaan nimecheka sana hadi nimekuona unavosema hapa giza tu!!yaan by nw toch dili utadhani 2po machimboni!
 
Natamani nipate picha zote za mwanahalisi za ukurasa wa mbele zilizokuwa zinamshambulia lowasa...kuna waandishi ni wanafiki sana

Uandishi wa habari ni kuandika matukio ............. Siyo kwamba ni maoni binafsi!!!

If there is new information on the same topic, why not .............!!?
 
Hapo kwenye nyekundu, bado HAUJATUSHAWISHI, Slaa anapigania anachokiamini, anamnadi Magufuli!
 
Mwacha amnadi tu, sisis ccm tunasema tatizo ni mtu siyo mfumo, chadema na ukawa ni wezi na wauaji, ni hatari kwa usalama wa taifa hamfai kupewa nchi,

Tatizo ni mtu si mfumo? si ndiyo?
Sasa huyo mtu ambaye amekuwa tatizo kwa miaka 10 (kwa maelezo yako) sasa mlimweka kwa kuwa hamkuwa na mtu mwingine wa kumpa nafasi hiyo? Naongelea Mwishimiwa Rais wa sasa! Maana kama mtu ndiyo tatizo na mnadhani Magufuli ndiyo suluhisho, ina maana sasa Rais wa sasa hivi ndiye hafai, ndiyo maana hali ni mbaya?
 
The next president of Tanzania is Edward Ngoyae Lowassa.
 
Mtu akienda kwenye profile yangu...atakuta sijachangia wiki sasa....mimi kazi yangu sasa ni kusoma...na kugonga :"like"" nasubiri trh 25/10 saa moja asubuhi.

By the way...simtukani mtu kuhusu afya yake...maana naona naweza nisifike huko kama nikifanya hivyo

Yaani ina maana umekosa ya kusema kama ilivyo kwa Magufuli ambaye hana mpya anaamua kupiga Push up yeye na wagombea wenzie wa Udiwani na Ubunge. Kila anapoenda anawalazimisha kupiga push up ili kusogeza muda.

Sipati picha itakuwaje na mgombea mwenza naye siku atakapopiga push up. Maana sijamuona akivaa suruali hata siku moja. hahahahahahaha!!!!!!


 
Hahahahahaa....kuna watu waliwahi usema babu ni mtu wa system...
 
Anaenda kuipoteza kabisa heshima yake kidogo iliyobakia
 
Back
Top Bottom