Naomba hiyo jumatano ikifika kama Dr Slaa hajapanda jukwaani, mod wakutendee haki.
Naomba hiyo jumatano ikifika kama Dr Slaa hajapanda jukwaani, mod wakutendee haki.
Kama kweli itatokea hivyo, basi slaa atakuwa amedhihirisha wazi nia yake ovu aliyokuwa nayo katika kuleta mabadiliko ya kweli. Na atakuwa amedhihirisha kwamba ni kweli alipewa pesa n ccm ili avuruge na kusambaratisha Ukawa.Apande Slaa hata na Jane Mushumbuzi hawabadili kitu zaidi ya kujionyesha kuwa ni watu wazima hovyo.
Inavoonekanamzee mihogo kumbe lilikuwa kachero LA ccm ndani ya chadema aibuu. hawezi badili mawazo yetu
Inavoonekana
Slaa akifanya hivyo ataonesha unafiki wake hadharani.
Hata wale wafuasi wachache aliobakia nao watauona usaliti wake.
Na atathibitisha rasmi kuwa ana chuki binafsi na Lowassa na sio zile blah blah zake alizoziongea pale Serena.
Wanafiki wa kwanza ni chadema walitupigia kelele kwa zaidi ya miaka 7 kuwa Lower sir ni fisadi na hafai kuwa rais halafu leo wanamuuzia chama agombee urais.
Apande Slaa hata na Jane Mushumbuzi hawabadili kitu zaidi ya kujionyesha kuwa ni watu wazima hovyo.