Amerudi amechoka balaa:what: angalia asijeshindwa kupanda jukwaani😀
mtu wa ovyo kabisa aliewahi kutokea ktk siasa za nchi hii
Dr mihogo si kastaafu siasa? Teh anahangaika kama anataka kutaga vile....
matapeli
waongo
wezi
wauaji ni
ccm hilo halina ubishi
Amekula hela za watu lazima azifanyie kazi! Huyu mzee anajiaibisha mpaka basi!
Si alisema kastaafu siasa za chama atapanda jukwaa la ccm kumnadi Magufuli???
Slaa atakuwa hajitegemei kwa mawazo.
Si kidogo, kupanda jukwaani bila kusaidiwa hawezi. Kuna mpuuzi mmoja wa Geita kasema eti alijinyea Chato stendi, upo?!Amerudi amechoka balaa:what: angalia asijeshindwa kupanda jukwaani😀
Kingunge naanza lini kumnadi Lowasa?
nina maswali mengi najiuliza,
nani alimlipia coverage Kingunge kurusha kipindi chake?
Nani kamnunua huyu mzee?
Huyu mzee ni msaliti kwa chama chake
Hivi, hilo gazeti la mwanahalisi lenye source ya hiyo habari, si ndio hilo hilo lililokuwa limetuaminisha watanzania kuwa Lowasa ni fisadi, na ndio gazeti pekee lililoandika ile list of shame? au ni gazeti jingine?
Kama Mwanahalisi na Kubenea walivyoamua kulamba matapishi yao ya kumwita Lowasa ni fisadi sasa hivi wanasema ni msafi, Wacha Dr. Slaa ampigie kampeni yule anayeona anafaa, Kubenea yeye ndo ana haki ya kugeuka ila wengine hawana?
Mmeshikwa pabaya kweli mwaka huu
Magufuli 4 Change