Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

Slaa akifanya hivyo ataonesha unafiki wake hadharani.
Hata wale wafuasi wachache aliobakia nao watauona usaliti wake.
Na atathibitisha rasmi kuwa ana chuki binafsi na Lowassa na sio zile blah blah zake alizoziongea pale Serena.

Tunasubiri pia ushahidi wa GWAJIMA kule Afrika kusini na mzigo aliopewa na maafisa salama.Asipoangalia mawe yatamhusu labda CCM wamwongezee usalama
 
Dr Slaa akitaka kuwa na amani ni kutofanya anachotaka kufanya. Vyema ukae kimya kama ulivyokusudia usidanganyike na wanaokupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Yaani ubaya wa upinzani kwako ni Lowassa tuuuuuu au kuna lingine? Dr Slaa ulikuwa mtumishi wa Mungu haya ndio maagizo Mungu aliwaagiza kama kondoo akipotea muache apotee au alisoma 'mrejesheni kwa upendo' tafakari kabla ya maamuzi
 
Kingunge naanza lini kumnadi Lowasa?

nina maswali mengi najiuliza,
nani alimlipia coverage Kingunge kurusha kipindi chake?
Nani kamnunua huyu mzee?

Huyu mzee ni msaliti kwa chama chake

Itakusaidia ukijua aliyemlipia?

Ni kampuni yangu imemlipia! Sema lingine!
 
Endeleeni kuota kufumba na kufumbua Jaji Lubuva anamtangaza 1st Runner 32% EL na Winner JPM 66% mtatafutana, vijiweni Jua litakuwa kali? Itakuwa kama gemu ya Mau U.........
fantasies za magamba bana:iamwithstupid:
 
Sio Slaa tu anayejidhalilisha,hata CCM yenyewe inajidhalilisha.Ghafla adui amekuwa rafiki.Hivi katika mazingira hayaa,ni nani atakayemsikiliza Dr.Slaa akimnadi Magufuli wakati anajua obviously kwamba the whole thing ni utapeli,and what ever he says is out of desire for money.Kweli nimeamini siasa ni mchezo mchafu.At long last mission accomplished na sleeper agent karudi kwao.
Dr silaa anataka kujidhalilisha tuu sio kingine Gwajima kashammaliza kabisa na watanzania tumeelewa kinachoendelea kwa Dr silaa na mkewe na ccm
 
Baada ya mambo kuwa magumu ndani ya ccm hasa baada ya kuona nguvu ya lowassa ikizidi kuongezeka kwa kasi, sasa aliyekuwa katibu mkuu wa chadema, Dr. Wilibrod Slaa atamnadi mgombea wa urais wa ccm Dr. Magufuli.

Habari kutoka lumumba zinasema kwamba, awali Slaa ilikuwa atumike kuinadi ACT-Wazalendo lakini ikaonekana kwamba asingeweza kushwawishi wapiga kura katika kipindi hiki cha kampeni kuikubali ACT.

Lengo la kuinadi ACT lilikuwa kupunguza kura za upinzani hasa katika mikoa ya kigoma, tabora, ruvuma, kagera na mikoa ya kaskazini, lkn ikaonekana kwamba bado asingefanikiwa kushawishi wananchi.

Hivyo Dr Slaa atatumika kumnadi magufuli chama ambacho yeye amekuwa akikipinga na kusema tatizo sio mgombea bali mfumo wa chama chake ndio mbovu.
Sasa tunashuhudia Slaa akisimamia asichokiamini.

source: mwanahalisi

Dah! Hiyo "source" sasa! Hiyo si ndio ulitufunulia maovu ya Lowasa kwenye richmond, leo hii Source hiyo hiyo ya Kubenea ndio inamsafisha lowasa na yeye pia ni mgombea wa chadema ubungo! sasa kuna ajabu gani Dr slaa akimpigia kampeni magufuli wakati kubenea sasa.anamkampenia lowasa!! hakuna tatizo. mtalia sana ukawa na utapeli wenu you bunch of killers!
 
Si kidogo, kupanda jukwaani bila kusaidiwa hawezi. Kuna mpuuzi mmoja wa Geita kasema eti alijinyea Chato stendi, upo?!

IMG_0178.JPG
Ndugu yangu Hapa Lowassa alikuwa anaongea kwa simu na ya kikazi huku yeye akiwa kashika simu yake akimweleza aliyekuwa anaongea nae ujumbe uliopo kwenye simu yake. Tusipotoshe watu ndugu.
 
50 Kisha Bwana akanena na Musa hapo katika nchi tambarare za Moabu, karibu na Yordani, hapo Yeriko, na kumwambia,

51 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mtakapovuka mto wa Yordani na kuingia nchi ya Kanaani,

52 ndipo mtakapowafukuza wenyeji wote wa hiyo nchi mbele yenu, nanyi mtayaharibu mawe yao yote yenye kuchorwa sanamu, na kuziharibu sanamu zao zote za kusubu, kuvunja-vunja mahali pao pote palipoinuka;

53 nanyi mtaishika hiyo nchi kuimiliki na kuketi humo; kwa kuwa mimi nimewapa ninyi hiyo nchi ili mwimiliki.
AMEN
 
Baada ya mambo kuwa magumu ndani ya ccm hasa baada ya kuona nguvu ya lowassa ikizidi kuongezeka kwa kasi, sasa aliyekuwa katibu mkuu wa chadema, Dr. Wilibrod Slaa atamnadi mgombea wa urais wa ccm Dr. Magufuli.

Habari kutoka lumumba zinasema kwamba, awali Slaa ilikuwa atumike kuinadi ACT-Wazalendo lakini ikaonekana kwamba asingeweza kushwawishi wapiga kura katika kipindi hiki cha kampeni kuikubali ACT.

Lengo la kuinadi ACT lilikuwa kupunguza kura za upinzani hasa katika mikoa ya kigoma, tabora, ruvuma, kagera na mikoa ya kaskazini, lkn ikaonekana kwamba bado asingefanikiwa kushawishi wananchi.

Hivyo Dr Slaa atatumika kumnadi magufuli chama ambacho yeye amekuwa akikipinga na kusema tatizo sio mgombea bali mfumo wa chama chake ndio mbovu.
Sasa tunashuhudia Slaa akisimamia asichokiamini.

source: mwanahalisi

Nadhani Dr alipaswa kunyamaza kama mwenzie Prof. Nashawishika kuwa Dr ndiye mroho wa madaraka na anaona kuliko EL aende ikulu, ni bora tukose wote! Naamini historia itamhukumu vilivyo hapo "kutakapopambazuka"
 
Ndugu yangu Hapa Lowassa alikuwa anaongea kwa simu na ya kikazi huku yeye akiwa kashika simu yake akimweleza aliyekuwa anaongea nae ujumbe uliopo kwenye simu yake. Tusipotoshe watu ndugu.
Hivi mimi nimesema alikuwa anafanya nini?!
 
Kuna habari kwamba ataongea kwenye mikutano ya campaigns ya act kama "mgeni" na kumpaka lowassa kupitia mikutano ya act wazalendo, nia ni kumpunguzia kura lowasa na kumpaisha magufuri

Naona umesoma kwenye gazeti la Rostam Aziz MTANZANIA....ACT Wazalendoo
 
Ndo nnazidi pata matumaini kua Lowasa atakua raisi.
Mipango mingi sana michafu juu yake but anaruka vizuiz kwa spd ya hatari.
Viva ukawa viva.
 
Back
Top Bottom