Dongo La Kiemba
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 1,830
- 1,265
Natamani nipate picha zote za mwanahalisi za ukurasa wa mbele zilizokuwa zinamshambulia lowasa...kuna waandishi ni wanafiki sana
Natamani nipate picha zote za mwanahalisi za ukurasa wa mbele zilizokuwa zinamshambulia lowasa...kuna waandishi ni wanafiki sana
Magufuli 4 Change
Tulieni dawa iwaingie, Kingunge amestaafu siasa, anachosema yupo tayari na tarehe 7 anaanza kumnadi Lowasa ni kitu gani?
Magufuli for Change
Bora wangetulia tuu. Wanazidi kuchochea hasira za peoples.....
Mkuu upendo wa agape ndio ukoje maana wengine hatuujui.
Magufuli 4 Change
kwani mkuu hujaona source ya habari yanguu??
Kama kingunge alivyokula hela za Lowasa.
hadi sasa goli moja moja, tuangalie tu kati ya Dr. Slaa na Kingunge nani ana mashiko ya kuwashawishi watu wa upande mmoja kuhamia upande wa pili kutokana na credibility zao
Ku*ya anye kuku, akin*ya bata kaharisha eeenh
Mtaisoma namba mwaka huu, Magufuli for Change
..............