Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Tangu umeiba hela za rambirambi za Marehemu Mwangosi umekuwa mtupu kumkichwa!
Laana za rambirambi zinamtafuna huyo boya
Tangu umeiba hela za rambirambi za Marehemu Mwangosi umekuwa mtupu kumkichwa!
Wapika matamko ya kumtetea tapeli wa kisiasa Zitto waendelee kutoa, sasa tumeamua kwenda mwandiga kabisa
mkuu kuna tetesi Vibaraka wa Zitto vikisimamiwa na mchange vinaandaa vijana ili kuchafuwa shuhuli zitakazo fanywa na Dr Slaa.
wenzenu ccm walimuondoa hiza tambwe ninyi bado mnacho tu kikundi cha uongo.eti kigoma wameandaa mapokezi,lbd tujulishane upo kigoma sehemu gani maana mimi nipo ujiji
Gamba lingine hili..
Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila
Aende ndio atamjua Zitto ni nani Kigoma. Ninaona kuhairisha au kutoenda kabisa kabisa
Na kwa hili nalo unataka kusema unamuonea huruma! maCCM yanajidai kutoa ushauri mzuri pale yanapoona mipango yao itaharibika.Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila
Kigoma Slaa unaenda kupima upepo sio? Tutaona matokeo yake.
Mimi mtu yeyote anayekula Rambirambi ninamdharau sana.
Acheni kushabikia maneno mnayolishwa na slaa, mbowe na Lissu, why cant u guys make your own analytical thinking and come up with a concrete conclusion? Nyie mnapoona mawazo tofauti na viongozi mnaanza kuongeo ooh gamba mara traitor, sijui fisadi, mhaini.. Guys think big Mbowe na Slaa wanawatumia
Labda wananchi ya Hai kwa wachaga waliolala kuliko wachaga wote full mafala maana wengine nimesoma nao pale pale
...watamkumbuka sana Fuya Kimbita kwa kumchagua zuzu wa div 5