Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

Status
Not open for further replies.
WanaKigoma ni watu wa mabadiliko, wanamshangaa Zitto fedha zinamfanya auze utu wake

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

.....true Mkuu Kawasaliti .....mbongo noma ....dhambi ya usaliti itamwandama!!!!
 
Nimeipenda sana hiyo strategy ya CDM. Wanakigoma wanaelewa nini kinachoendelea na wanajitenga na kutumiwa kama chambo ya kuvuruga harakati za mageuzi kwa manufa ya kikundi cha watu wachache. Big up Kigoma, Imani ishimwe!
 
WanaKigoma ni watu wa mabadiliko, wanamshangaa Zitto fedha zinamfanya auze utu wake

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

mkuu kuna tetesi Vibaraka wa Zitto vikisimamiwa na mchange vinaandaa vijana ili kuchafuwa shuhuli zitakazo fanywa na Dr Slaa.
 
Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila

Tokea umekula rambi rambi A Marehemu Mwangosi nimekudharau sana aisee
 
Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila

You got a very sick brain .Unadharau Babu ? Unadhani utakuwa mbeba box siku zote bila kuwa babu ? You calling Slaa Babu vipi Mangula ? Vipi Kinana ? Na wako kadhaa wengi kwenye CCM .Laana kubwa wewe mchumia tumbo .KInana anamaliza Slaa ana anza .Anapita kote aliko fika Kinana pamoja na Mtwara na Lindi utasikia tu maneno
 
Kati ya watu wanaopost kwenye hili jukwaa wakiiponda chadema kwa maandishi ingawa mioyoni mwao wanaipenda wewe ni miongoni mwao, naamini wanasaikolojia watakubaliana na mimi.....................
 
mkuu kuna tetesi Vibara wa Zitto vikisimamiwa na mchange vinaandaa vijana ili kuchafuwa shuhuli zitakazo fanywa na Dr Slaa.

Red Brigade wako Imara sana.Dr Slaa atalindwa na Redbrigade zaidi ya 100 kila atakakoenda
 
You got a very sick brain .Unadharau Babu ? Unadhani utakuwa mbeba box siku zote bila kuwa babu ? You calling Slaa Babu vipi Mangula ? Vipi Kinana ? Na wako kadhaa wengi kwenye CCM .Laana kubwa wewe mchumia tumbo .KInana anamaliza Slaa ana anza .Anapita kote aliko fika Kinana pamoja na Mtwara na Lindi utasikia tu maneno
Kwani babu ni tusi? mbona amimi nina wajukuu kibao tu kama wewe na wananiita babu?

Tatizo Dr anasahau masharti ya daktari kjuwa anahitaji kupumzika ili kumaintain afya
 
Mimi mtu yeyote anayekula Rambirambi ninamdharau sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom