Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

Status
Not open for further replies.
Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila

mtani lukosi usicheze na pesa ya mjane ni nouma!
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.

Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.

Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.

Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.

Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.

asante kamanda molemo kwa taarifa tunamtakia dr.slaa ziara njema najua upande wa pili watajaribu kufanya jambo ili kutoa taswira wanayoitaka.maisha lazima yaendelee!
 
Mzee Gustaulo ambae ni baba yako mzazi halisi anazidi kusikitika kwa ukaidi unaomfanyia, laana yake iwe juu yako

wewe si ujibashane na chris, yanini kufika kwenye personal affairs zake, Ya baba yake yanatusu nini hapa, Kama mnashindwa kumjibu ni bora mkanyamaza.

hii tabia ya kuwaingilia wenzunu majumbani mwao na kuleta habari za kifamilia za uzushi ni kutokuwa na ethics kabisa.

Asiyefundushwa na wazazi wake atafundishwa na ulimwengu (u r one of them)
 
Vigezo gani umetumia maana watu wa Kigoma ni ndoto kumpokea Dr. Slaa watakuwa wamejitukana maana Dr.Slaa na kundi lake la wala ruzuku za CDM ni maadui wa wananchi wa Kigoma na ndio maana hata vijana wao waliowatuma kuja kuwachunguza wana Kigoma na kujenga hoja za kuhalalisha maamuzi ya kamati kuu kumvua madaraka Mheshimiwa Zitto wanazomewa kila eneo waendalo na ndio maana hawadhubutu kwenda Ujiji.
 
KARIBU... haya leta hoja za kipepo pepo!...
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.

Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.

Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.

Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.

Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.

Acha kupotosha umma mkuu, nilikuwa Kigoma mjini leo wanachadema wametoa tamko kuwa Dr. Slaa asikanyage Kigoma na ikiwa atakiuka agizo hilo asiwalaumu. Kigaila yupo hapa Kigoma anafanya vikao vya ndani akilindwa na polisi. Tusimdanganye kiongozi huyu akaenda huko kwa shangwe halafu akaishia kwenye maafa, tuache ushabiki na kutaka kusikia tunachotaka kusikia tuupe muda uhalisia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom