Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

Status
Not open for further replies.
WanaKigoma ni watu wa mabadiliko, wanamshangaa Zitto fedha zinamfanya auze utu wake

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mungi ukabila na ukanda ndio sera yako utakufa navyo mkuu acha njaa tupo nyuma ya ZZK daima mbele nyuma mwiko
 
...

.....chadema ni mkombozi wa wananchi

onyo

.....ukipambana na chadema jiandae kupambana na wananchi

Labda wananchi ya Hai kwa wachaga waliolala kuliko wachaga wote full mafala maana wengine nimesoma nao pale pale
...watamkumbuka sana Fuya Kimbita kwa kumchagua zuzu wa div 5
 
Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila

Wewe mdogo wangu Baba ya Baba yako anao umri gani? Why dont you pretend to have respect to elderly people. It lookd like you are one among the uncultured fellow? Why dont you ask your lovely Party to go around the country explain to all Tanzanians why are we poor in the midst of tremendous natural resources? Can you explain to us why are we not developed, Because the found fathers of the nation once said "For Tanzania to develop we basically needed four things, PEOPLE. LAND, GOOD POLICIES, AND GOOD GOVERNANCE" What is missing under the leadership of CCM for more than a half of the century?

Let us talk issues and not personalities, You are suffering from a disease called Slaaism, Mboweism and CHADEMAISM.

Pole Kamanda,
Njoo tujenge nchi bila Mafisadi ili tunufaike na raslimali zetu achana na madalali wa kuuza raslimali kwa wageni huku wakiwatukana watanzxania eti hawawezi kuwekeza kwenye gesi wafanye biashara ya Juice, eti tutumie Koroboi kama hatuwezi gharanmma za Umeme.

Pole kaka mkataa mila za kwao ni Mtumwa Nyerere alisema tuwe na SiaSA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA. Ninyi endeleeni kuwategemea wachina na Wamarekani "Ukicheka na Nyani utavuna mabua" KATHIBITISHE HAYA NIKWAMBIAYO BUHEMBA, NORTH MARA, NZEGA, MERERANI.

Wewe SHUHUDIA MAMBO YA MENNO YA TEMBO, MISITU, NA MADAWA YA KULEVYA. Mchelea mwana kulia hulia mwenyewe, Kama angalau unayo akili ya kutosha utanielewa ila "La kuvunda halina......."
 
Safi sana, hii ni ishara tosha kuwa DR anajiamini na ni mtu makini mwenyewe principles
 
Watu wa Kigoma sio wajinga wao wapo Kwa ajili ya Chadema na sio Kwa ajili ya Zitto washaona kama kweli Zitto alikuwa kiongozi safi na mpenda mabadiliko Kwa miaka yote aliyokuwa Mbunge jimbo lake linaongwazwa na madiwani wengi wa Maccm ana diwani mmoja tu sasa hapo kama una akili utafahamu Zitto yupo Kwa maslahi yake mwenyewe na sio wananchi wa Kigoma ndio maana wamemsitukia.Kile kijamaa Kwa kupenda pesa kiliuza udiwani kwenye kata zote za jimbo lake lakini diwani mmoja kasema wewe tembea mbele hapa hupauzwi.
 
Zitto ni jiwe lililowashinda washi. Kaskazini yote makamanda mmeungana kumshambulia kwa chuki zenu za kikanda, kidini na kikabila. Ila huwa siku zote haki ya mtu haipotei hata ikiwa mission atashindwa kuikamilisha wapo kina Zito wengine watazaliwa na watapigania kuisimamisha haki na kuondoa dhulma chadema mnayofanya. Ni ishu ya muda tu.
 
asante kamanda molemo kwa taarifa tunamtakia dr.slaa ziara njema najua upande wa pili watajaribu kufanya jambo ili kutoa taswira wanayoitaka.maisha lazima yaendelee!

Dr. Slaa atapigwa mawe akienda kigoma maana yeye na Mbowe hawajaonyesha heshima kwa Zitto..
 
Mzee Gustaulo ambae ni baba yako mzazi halisi anazidi kusikitika kwa ukaidi unaomfanyia, laana yake iwe juu yako

Mkuu Yeriko tunakutegemea sana katika harakati za kudidimiza haya mamisukule ya CCM , so ukinasa kawaraka kengine kawasaliti au mamluki ukalete hapa mapema waendelee kuumia! Endele kupiga ramli mara CDM itakufa 2010, 2013 ! Tutayaondoa magugu yote !
 
.....true Mkuu Kawasaliti .....mbongo noma ....dhambi ya usaliti itamwandama!!!!

Acheni kushabikia maneno mnayolishwa na slaa, mbowe na Lissu, why cant u guys make your own analytical thinking and come up with a concrete conclusion? Nyie mnapoona mawazo tofauti na viongozi mnaanza kuongeo ooh gamba mara traitor, sijui fisadi, mhaini.. Guys think big Mbowe na Slaa wanawatumia
 
Naona babu atachoka kabla hata ya huo uchaguzi wenyewe 2015 kwa safari, manake badala ya M4C sasa ni safari za kuzunguka nchi nzima kujieleza kwa nini wamemfukuza Zitto na Kitila

Sphincter at work
 
Acha kupotosha umma mkuu, nilikuwa Kigoma mjini leo wanachadema wametoa tamko kuwa Dr. Slaa asikanyage Kigoma na ikiwa atakiuka agizo hilo asiwalaumu. Kigaila yupo hapa Kigoma anafanya vikao vya ndani akilindwa na polisi. Tusimdanganye kiongozi huyu akaenda huko kwa shangwe halafu akaishia kwenye maafa, tuache ushabiki na kutaka kusikia tunachotaka kusikia tuupe muda uhalisia.

Bora uwambie ukweli ataoata aibu na ndipo atakapoamini kuwa walifanya makosa kwa maamzi ya kipuuzi waliopitisha
 
HUYU Molemo hana jipya kazi yake ni kuropoka tu,ndo maana Mrema alimshinda ubunge
 
Last edited by a moderator:
Aise we chalii unaongea au unanung'unika njoo Arusha uone mabadiliko mmemwaga miliioni 6 uhacbu Chadema kikamwaga sera tukachukua uongoz angalieni na mjue mungu kaiandaa Chadema kwa ajili kuifilic ccm baada ya maombi ya nyerere kufika mezani pa bwana na hamtakufa bila kufilicka
 
anachokifanya dk slaa n kujshuku aende kigoma apate chamoto hata sahau amuulze mkapa alivyo mwagiwa mchanga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom