Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,938
- 288,085
jicho la tatu kwa udadisi
kuna manajf anaitwa molemo ameleta taarifa ya kuwa katibu mkuu wa chadema atakuwa na ziara ya kichama mkoa wa kigoma kama inavyoonesha hapa chini
nilipofatilia maojiano ya zitto na kipindi cha makutanoshow zitto alisema nanukuu " nasikia chama kinaandaa ziara mkoani kwengu hasahasa jibo langu kuwaeleza wananchi maamuzi mabovu waliyofanya"
hii kauli imenitia kashikashi mpaka nikarejea kwenye kumbukumbu zangu za 2007 wakati zitto alipofukuzwa bungeni na mudhihir mudhihir akiwa initiator wa zitto kufukuzwa.
Mara baada ya zitto kufukuzwa ndani ya siku 30 ndugu yetu mudhihir mudhihir alipata ajari na kukatika mkono
![]()
![]()
![]()
tahadhari: Dr slaa anaenda kigoma ulinzi wa mungu unaetajika
tahadhari yako imesikika mkuu ,tunakushukuru sana , lakini naomba nikutoe mashaka , ni hivi , hakuna aliye mkuu kushinda mungu aliye hai .