Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
JICHO LA TATU KWA UDADISI
Kuna manaJF anaitwa Molemo ameleta taarifa ya kuwa katibu mkuu wa chadema atakuwa na ziara ya KICHAMA MKOA WA KIGOMA kama inavyoonesha hapa chini
Nilipofatilia maojiano ya Zitto na kipindi cha makutanoshow Zitto alisema nanukuu " nasikia chama kinaandaa ziara mkoani kwengu hasahasa jibo langu kuwaeleza wananchi maamuzi mabovu waliyofanya"
Hii kauli imenitia kashikashi mpaka nikarejea kwenye kumbukumbu zangu za 2007 wakati Zitto alipofukuzwa bungeni na Mudhihir Mudhihir akiwa initiator wa Zitto kufukuzwa.
Mara baada ya Zitto kufukuzwa ndani ya siku 30 ndugu yetu mudhihir Mudhihir alipata ajari na kukatika mkono
Tahadhari: Dr Slaa anaenda kigoma ULINZI WA MUNGU UNAETAJIKA
Kuna manaJF anaitwa Molemo ameleta taarifa ya kuwa katibu mkuu wa chadema atakuwa na ziara ya KICHAMA MKOA WA KIGOMA kama inavyoonesha hapa chini
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA mkoa wa Kigoma kinaandaa mapokezi makubwa siku ya Alhamisi tarehe 8.12 wakati Katibu Mkuu wake Dr Wilbroad Slaa atakapowasili kwa ziara ya siku nane.
Katika manispaa ya hapa Kigoma matawi mbalimbali yameanza maandalizi ya kumpokea kiongozi huyo baada ya kupokea taarifa rasmi za ujio wa kiongozi huyo.
Viongozi kadhaa wa matawi wakizungumza wamesema wanataka kumpokea Dr Slaa kwa maandamano makubwa kama ishara ya imani ya wanachama wa Chadema Kigoma kwa uongozi wa chama chao.
Pia wamesema lengo lingine la maandamano hayo ni kuonyesha kwamba wanaheshimu maamuzi ya Kamati Kuu na kwamba wanaKigoma wanakipenda chama na siyo watu binafsi.
Dr Slaa anaanza ziara ya siku 8 mkoani Kigoma kuanzia tarehe 5.12 hadi tarehe 13.12 ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo yote.