mvunjamiwa
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 453
- 117
....kama ni kweli sawa tu, labda tujue kama ni ziara ya kawaida katika ratiba zake za kuimarisha chama au imeandaliwa kwa sababu ya yanayoendelea ndani ya chama kuhusu zito na wenzake? Hilo ni muhimu likawekwa sawa ili kuondoa dhana ya hisia za kuendeleza mapambano dhidi ya zito na wenzake!! Kama ratiba hii ilikuwepo kabla sina matatizo, ila kama imepangwa hii karibuni nisingetamani itekelezwe na kama itatekelezwa basi ni vema Dr. akajikita kwenye masuala yasiyohusiana na sakata linaloendelea kuhusiana na akina zito, hapo ataijengea heshima CDM na yeye mwenyewe. Ufafanuzi wa masuala ya akina zito najua haukwepeki lakini ni yema akafanya hivyo katika vikao vya ndani hususani kwa viongozi wa chama tu na wala sio kwenye kadamnasi hadi hapo siku 14 zitakapokuwa zimewadia.
